kero ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania KERO Krismasi imeisha tumerudi kwenye mgao wa maji! Kama tulipata huduma vizuri Krismasi ina maana mgao huu ni makusudi?

    Wakuu, Msemaji wa Mbezi Beach nimekuja kwa mara nyingine. Kwa Mbezi maji yanakatika kila siku na wakati mwingine inaweza kuwa siku mbili na zaidi. Muda wa kukatika ni kuanzia jioni (kwenye saa kumi hivi) mpaka kesho yake kwenye saa nne au tano hivi. Kwahiyo kwa siku mara mnyingi maji hutoka...
  2. P

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Aweso kama kuna mgao wa maji Dar mtuambie, maji unayojitapa yapo ya kutosha hatuyaoni mtaani

    Wakuu, Nakuja kwenu Afisa Maji wa kujiteua mwenyewe kwa wakazi wa Mbezi Beach na Dar kwa ujumla. Kiukweli Dar kuna upungufu mkubwa wa maji, yaani kadri siku zinazovyoenda hali inazidi kuwa mbaya. Kama sisi wa Mbezi Beach sasa hivi ni kupata maji kwa masaa mamache yanasepa, ukitoa taarifa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Maji na Umeme Kahama

    Mimi ni mkazi wa Kahama Mjini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu sekta mbili: Kahama Urban Water Supply (KUWASA) na Tanesco Kahama. Huduma ya umeme imekuwa kero, kwani umekuwa ukikatika mara kwa mara bila taarifa maalum, hadi mara 5-9 kwa siku. Hali kadhalika, huduma ya maji pia...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Responded Baada ya kelele za kutosha JF hatimaye maji yaanza kutoka na presha inaridhisha, maeneo mengine bado hayajifika muwafikie na wao

    Wakuu, Pongezi sana JamiiForums kwa kutupazia sauti mpaka maji yameanza kutoka na presha ipo vizuri tofauti na siku tatu za nyuma kabla ya maji kukata kukabisa. Nimeona Waziri amekuja kujibu na kusema kati ya sehemu kuna huduma ya uhakika ya maji ni Mbezi Beach! Huu ni uongo mkubwa Wizara ya...
  5. P

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Siku ya 4 Mbezi Beach hatuna maji, mpaka sasa hatupewi majibu ya kuridhisha hali inazidi kuwa tete. Si mje mng'oe na hizi mita zenu tujue moja

    Wakuu, Msione kila siku napiga kelele mkadhani nazingua, leo naweka baadhi ya screenshot muone majibu ya DAWASA ya kipuuzi na wananchi tunavyolilia huduma utafikiri tunaipata bure! Pia soma: √ - Waziri Aweso: Tatizo la Maji Mbezi Beach Mkoani Dar Es Salaam limeisha. Kulitokea Hitilafu Kweli...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kukatika maji hovyo Nyamanoro, Ghana na Kona ya Bwiru-Mwanza

    Kuna kukatika maji haya maeneo wiki nzima kwa sasa na hakuna taarifa maalum kwa wateja kutoka Mwauwasa,kuna mdau yoyote anajua kinachoendelea? Kilichopo ni kwamba unaweza stuka ghafla maji hamna na hujahifadhi. Nafikiri kama kuna changamoto taarifa ziwekwe wazi na ratiba ifahamike ili kila mtu...
  7. Mjasiria Akili

    JamiiForums Tanzania KERO Kifuru maji hayajatoka kwa muda mrefu

    DAWASA wamekuwa hawatutendei haki wakazi wa maeneo ya Kifuru kwa ukosefu wa maji kwa muda mrefu, na mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote ya sbb za ukosefu wa maji.
  8. lugoda12

    JamiiForums Tanzania KERO YA MAJI

    Hivi Serikali inafikiria nini hii kero ya maji ambayo imekuwa janga kubwa kwa wakazi wa baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam? Yale marekebisho ya Ruvu juu bado hayajaisha na ni mwezi mzima sasa umeisha!
  9. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Kero ya Maji baadhi ya mitaa ya Dar es Salaam

    Hili tatizo la maji katika baadhi ya mitaa jijini Dar es Salaam limenifanya nikumbuke kipindi cha utawala wa Rais awamu ya nne (4). Ni zaidi ya siku kama sio 4 na 5 maji hakuna, vipi huko kwenu?! 🙆🏾‍♂️🤔
  10. Rcrusso Jr

    JamiiForums Tanzania KERO Kasino Kwa Msango Gulani, Kimara Suka tuna ukosefu wa maji kwa karibu miezi miwili

    Nikiwa kama mwananchi eneo hilo (Kasino Kwa Msango Gulani) Tafadhali tunaomba Serikali iingilie kati mana viongozi wanashindwa tusaidia hili, tuna ukosefu wa maji kwa miezi miwili kasoro sasa na ubaya ni kwamba bill zinakuja ila maji hayafiki tupo kama jangwani sasa. Hakuna yoyote anaeongelea...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa Simba kata ya Kilungule, Bunju Beach hatuna maji zaidi ya wiki 3, DAWASA hawatupi majibu ya kueleweka

    DAWASA tunaomba majibu ni kwanini hatupati maji kwa kipindi chote hicho na bila taarifa, na pia wakipigiwa simu wanadai wanashughulikia lakini hakuna chochote kinachoendelea. Imekuwa ni changamoto ya kujirudia rudia isiyopata utatuzi. Maji yatatoka wiki moja halafu watatuma bili baada ya hapo...
  12. P

    JamiiForums Tanzania KERO Maji yanatoka Mbezi Beach lakini presha ni ndogo sana hata kama una tenki la akiba ni kazi bure, maeneo mengine Dar hali ikoje?

    Wakuu kwema, Nilikuja na uzi hapa baada ya kukosa maji karibu siku 5 bila taarifa yoyote, baada ya malalamiko kupelekwa Insta maji yakaanza kutoka, lakini toka yaanze kutoka presha ni ile ile, ndogo sana. Mpaka leo hii maji yanatoka kidogo kidogo sana kiasi kwamba hata kama mtu una tenki la...
  13. K

    JamiiForums Tanzania KERO Madale Mbopo maji yanatoka machafu, tunaomba mamlaka ichukue hatua

    Naishi madale Mbopo, maji yanayotoka kwenye mabomba maeneo haya ni machafu mno. Naiomba mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (DAWASA) ichukue hatua. Pia soma: - DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa Wizara ya Maji
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Usimamizi mbovu mradi wa maji kijiji cha Uhindi kata ya Uyowa, Kaliua

    Mimi ni mkazi wa kijiji cha Uhindi, kata ya Uyowa, wilaya ya Kaliua, mkoa wa Tabora, kero yangu ni kuwa hapa kijijini kuna mradi wa maji kwa ufadhili wa Benki ya Dunia. Mradi huu kwa sasa umetelekezwa pesa ambayo waliachiwa kwa ajili ya kuendeleza mradi imeliwa na hakuna udhibiti ukusanyaji...
  15. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es Salaam, ni wakati muafaka kuitokomeza CCM katika uchaguzi wa serikali ya mitaa kutokana na kero ya maji.

    Kutokana na hujuma inayofanywa na DAWASA katika suala zima la kupatikana kwa maji, ni vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni vyema kuikataa CCM kusimamia utawala wa mitaa yetu.
  16. USSR

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaani kwako kuna maji?

    Nakuliza wewe mwanaJF maana maji yamekuwa dhahabu, kupatikana wa nadra hapa Tanzania hususan Dar es Salaam. Waione Wizara ya Maji USSR
  17. H

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kero ya maji safi jijini Dodoma, Waziri Aweso ingilia kati

    Yapata wiki tatu sasa jiji la Dodoma hususan mitaa yote ya Kisasa maji hayatoki. Cha kushangaza sio mamlaka ya maji Dodoma (DUWASA) au mamlaka za Serikali Wilaya na Mkoa wa Dodoma waliojitokeza kutoa ufafanuzi juu ya changamoto hii ambayo sasa imegeuka kuwa kero na hadha kubwa kwa wananchi...
  18. 888I

    JamiiForums Tanzania KERO Oljoro: Wakazi wa Kitongoji cha Songambele kijiji cha Lorokare tunateseka na ukosefu wa maji

    Wakaazi wa kitongoji Cha Songambele Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Bado wanapitia adha kubwa ya maji kwani wanatumia korongo la msimu Kupata maji ya kutumia kwa kufukua mchanga. Maeneo mengi katika Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara yanachangamoto ya upatikanaji wa Maji safi na hii...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Maji Malamba Mawili Msikitini yaanza kutoka kila wiki

    Awali nilileta lalamiko la kutokuwepo huduma ya maji kwa muda mrefu bila sababu yoyote huku magari ya kuuza maji yakiwa yanaranda mitaani kuuzia watu maji kwa gharama kubwa. Tazama hapa: KERO - Maji Malamba Mawili ni mgao mkali, baadhi ya Wakazi walio kwenye miinuko wana miezi hawapati maji...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Changamoto ya upatikanaji maji kata ya Buhongwa Mwanza-Nyamagana

    Jamani sisi watu wa Mwanza wilaya ya nyamagana kata ya Buhongwa na vitongoji vyake vya Sahwa, Bulale nk. maji ni pasua kichwa. Hakuna Maji na hata yakitoka ni mara moja kwa week ama mara tano kwa mwezi. Mradi wa Maji wa Sahwa una zaidi ya miaka 4 sasa hakuna kinachoendelea. Mradi wa maji wa...
Back
Top Bottom