kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Mwanafunzi wa Kenya afungwa jela kwa vifo vya moto shuleni

    Msichana mmoja raia wa Kenya amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la kuua bila kukusudia kufuatia moto katika bweni la shule na kuua wenzake tisa. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 18 alitenda kosa hilo mwaka wa 2017 akiwa na umri wa miaka 14 katika mwaka wake wa kwanza wa...
  2. Kaunti ya Nairobi yaandaa Muswada wa kufanya michezo ya kamari isichezwe nje ya hoteli za nyota tano na casino

    Kenya inaandaa muswada wa Sheria wa kufanya michezo ya kubeti na kamari ziwe zinachezwa kwenye hoteli zenye hadhi ya nyota tano na casino tu. Muda wa kucheza michezo hiyo ikiwa nis aa mbili usiku hadi saa 12 alfajiri Muswada umependekeza Kampuni za Mawasiliano kuondoa USSD codes ambazo...
  3. L

    Kampuni ya China yazindua paneli za jua za photovoltaic nchini Kenya

    Kampuni ya China JinkoSolar jana Jumatano ilizindua paneli zake mpya za jua aina ya photovoltaic “Tiger Neo” zenye uwezo wa kuzalisha megawati 410 hadi 620 za umeme kwenye soko la Kenya ili kuhimiza upatikanaji wa umeme nchini humo. Meneja wa maendeleo ya biashara wa kampuni hiyo kanda ya...
  4. Over 250,000 small firms in Kenya to get World Bank funding

    More than 250,000 small and medium enterprises in the country are set to benefit from World Bank’s financing this year to help them recover from the impact of the Covid-19 pandemic. The funds issued under the global bank’s International Development Association (IDA) are expected to address...
  5. Ethiopia waanza kuzalisha umeme kwenye bwawa lao kubwa, mipango kuuzia Kenya huku Wabongo wakisuasua na lile lao

    Chelewa chelewa utshangaa.... Nilisoma sehemu bwawa la Watz bado liko 44% wanaendelea kuburuzana huko.... Kenya and Ethiopia have started talks on Nairobi’s plans to buy electricity from the $ 4.5 billion Grand Ethiopian Renaissance Dam (GERD) that began generating power on Sunday. This is...
  6. Balozi wa Kenya aishambulia Russia kwa kuyatambua kama majimbo huru ya Ukraine

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilifanya mkutano wa dharura baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema kwamba sasa anatambua sehemu ya Ukraine kama Urusi na atatuma wanajeshi wake kuwa walinzi wa amani katika majimbo hayo mawili. Uingereza ilichukua hatua ya haraka kutangaza vikwazo...
  7. Kenya to export cars as EAC meets minimum free trade requirement

    Kenya will soon export cars to the rest of the continent after the East African Community met the minimum requirement to allow it to trade under the African Continental Free Trade (AfCTA). The move will see countries like Kenya start selling products out of the bloc. The partner states have...
  8. Rubani wa kike wa Kenya Airways apata sifa kwa kutua Heathrow Airport licha ya kimbunga kikali

    Ujuzi wa rubani huyu umewashangaza watu wengi sana kwa kuweza kutua ndege akiwa anapambana na kimbunga kikali kilichokuwa kinayumbisha ndege lakini umahiri wake ulifanya ndege utue salama salmini. Rubani huyu kweli anaifahamu kazi yake. Hongera sana dada.
  9. Serikali isubiri utekelezaji wa Competency Based Education. Kenya wazazi, walimu na wanafunzi hawaitaki

    Serikali isubiri utekelezaji wa Competency Based Education kenya wazazi,walimu na wanafunzi hawautaki Baadhi ya vyama vimeweka kama Agenda ya uchaguzi kuwa wakishika madaraka hup mfumo wa Competent based wataufuta sababu walimu hawautaki,wazazi hawautaki na wanafunzi hawautaki na wanashangiliwa...
  10. Hili la watumishi Serikalini kutakiwa wataje makabila yao na dini zao lingetendeka Kenya, humu hakungekalika

    Watanzania wengi humu JF hupenda kuisema Kenya kwa mambo yetu ya kutajana makabila, ila wao kwa unafiki huwa wanayafanya sana kimya kimya, naona hapa taarifa itakua shurti kwa kila mtumishi wa umma kutaja kabila lake na dini yake, yaani inawekwa kwenye sera kabisa...
  11. Kenya: Apigiliwa misumari kwenye mti kama Yesu kwa tuhuma za kuiba redio

    Collins Sambaya mkazi wa Kaunti ya Vihiga amepata kadhia ya kupigiliwa misumari na kuwekwa kwenye mti kwa tuhuma za kuiba redio. Kijana huyo anaendelea na matibabu Waliofanya tukio hilo ni Eric Irime na mdogo wake ambao awali walimpeleka mtuhumiwa wao polisi na aliachiwa kwa kukosekana...
  12. Kenya will be the third country after South Africa and Egypt to have a facility that can fully assemble certified ships

    An aerial shot of MV Uhuru II being constructed at the Kenya Shipyards Limited in Kisumu. FILE PHOTO | NMG In August this year, the MV Uhuru 2 will set sail for the first time. This will be a major milestone in Kenya’s marine industry as it will be the first ship to have been assembled locally...
  13. P

    Analoshindwa Putin aliliweza Magufuli kwa kutumia zawadi ya tausi watatu kwa Museveni na Kenyatta

    Video ya Vladmir Putin akihojiwa na waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya magharibi inatembea mitandaoni. Putin anajitahidi sana kujenga hoja za kujibu maswali lakini kama kawaida yake anarudia makosa yale yale ya miaka yote. Putin aidha hana team nzuri ya Diplomasia au anaogopwa na...
  14. Kenya2022 Ruto aongoza kura ya Maoni ya Urais Kenya

    Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto anaongoza katika kura za maoni Kenya dhidi ya mpinzani wake mkubwa Raila Odinga Katika kinyanganyiro cha kugombea nafasi ya urais utakaofanyika mwezi Agosti mwaka huu.
  15. Food Aid: Wakati Tanzania ina cha kutosha, Kenya imepokea chakula cha msaada kutoka China

    Ni aibu sana nchi kutembeza bakuli karne hii ya 21 kuomba chakula cha msaada. Tanzania tujivunie uchapakazi wetu kwenye kilimo. ======= Kenya Holds Takeover Ceremony of Chinese Food Aid Program Kenya on Monday held takeover ceremony of the eighth and last batch of 2018 Chinese Food Aid...
  16. L

    Kampuni ya StarTimes yaleta matumaini kwa waandaaji wa filamu Kenya

    Kampuni ya Arise (AR) inayotayarisha filamu na yenye makao yake mjini Mombasa Kenya, imepata fursa ya kipekee ya kusaini mkataba wa kuandaa filamu inayoitwa NIA, ambayo inarushwa kupitia kituo cha runinga cha Rembo, kinachomilikiwa na kampuni ya StarTimes. Akizungumza na CRI Kiswahili, Derrick...
  17. Rais Samia na Lissu, mwanzo mzuri kwa Watanzania, ndicho tulichokifanya hapa Kenya

    Hamna lisilozungumzika, miaka ya leo uongozi hautaki ubabe, chuki, majungu na upigaji kifua ngumi na mikwara.... mama Samia anaendelea kuweka sawa mambo mengi sana. Leo Kenya na Tanzania biashara baina yetu inapaa kweli kweli, ujinga na utoto wa kuchomeana vifaranga umesahaulika... Hapa Kenya...
  18. When DRC Congo stands up to repel arrogant Kenya

    Kenyan Deputy President's 'cow' remark sparks outrage in DRC Kenya’s Deputy President William Ruto. PHOTO | FILE | NMG By PATRICK ILUNGA Kenyan Deputy President William Ruto on Monday provoked ire from Congolese online for making comments that were viewed as disparaging. On Wednesday and...
  19. Wadau, tuweke vita kando kidogo tusherehekee habari njema kwamba Biashara kati ya Kenya na Tanzania inakaribia kufika 1 billion dollars

    Wadau huwa tunapigana vita sana huku lakini ukweli usemwe kwamba nchi hizi mbili zikiweka vita kando tunaweza kufanya biashara nzuri sana. Baada ya miezi 11, biashara kati ya Kenya na Tanzania imefikia 905 million dollars na hapo ikumbukwe kuna mwezi moja bado haujahesabiwa. Rais wenu yule...
  20. ‘Fragile Five’ Indebted Africa Nations Red-Flagged by Top Lender, Kenya ndani

    (Bloomberg) -- Five key African economies will face debt risks over the next two years, according to the continent’s biggest bank, as an era of extraordinary pandemic-induced stimulus and relief for poor nations draws to an end. “Debt sustainability now requires sharper focus,” Jibran Qureishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…