kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Shukrani mama Samia; Tanzania, Kenya resolve 10 more trade hindrances

    Dar es Salaam. Tanzania and Kenya have resolved ten more trade barriers in effort to grow the trade between the two member states of the East African Community (EAC). President Samia Suluhu Hassan visited Kenya last May and met her counterpart Uhuru Kenyatta to mend the then deteriorating...
  2. M

    Kenya strikes huge quantity of Gold

    Exploration firm Shanta Gold says it has found more high-grade gold at its western Kenya project, estimated to be worth Sh365 billion. The firm says in its latest market update that it has established high-grade gold deposits estimated at 1.6 million ounces in Kakamega County, with a current...
  3. Hii imekaaje, lugha ya Kiswahili kutambulika kama lugha ya Kenya katika apps?

    Moja kwa moja.. Leo katika kuperuzi katika nikakuta adds ya app ya kujifunza kuongea kimalkia nikaamua kuipakua . Nimestaajabu kikivyokuja kipengele cha kuchagua lugha yako unayoitumia Kiswahili kukuta imewekewa bendera ya Kenya wakati Tanzania ndiyo wazungumzaji wa Kiswahili kwa asilimia...
  4. Kenya yaondoa masharti yaliyowekwa kupambana na Corona

    Wizara ya Afya ya Kenya imeondoa agizo la ulazima wa nchi nzima kuvaa barakoa ikiwa ni mwongozo uliorekebishwa na kutolewa hii leo. Katika agizo hilo jipya, Kagwe amesema karantini ya lazima, na kutengwa kwa kesi zilizothibitishwa za Covid-19 kumesimamishwa mara moja, na kuongeza kuwa wagonjwa...
  5. Safaricom's M-Pesa crosses 30 million active users in Kenya

    Mobile money transfer platform M-Pesa has crossed 30 million users in Kenya as traders accepting payments through Lipa na M-Pesa doubled, cementing Safaricom's dominance in digital transactions in the country. The giant telco's chief executive Peter Ndegwa announced Thursday that Kenya...
  6. Kenya, Zimbabwe ink seven pacts to boost investments

    President Uhuru Kenyatta with his visiting Republic of Zimbabwe counterpart, Emmerson Mnangagwa during a press briefing at State House, Nairobi on March 9, 2022. PHOTO | PSCU Kenya has signed seven bilateral agreements with Zimbabwe even as President Uhuru Kenyatta joined the push for the...
  7. Serikali yatoa tahadhari ya Homa ya Manjano

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa tahadhari ya kuzuka kwa ugonjwa wa Homa ya Manjano (Yellow Fever) ambapo amesema tarehe 03 Machi 2022 Wizara ya Afya ilipokea taarifa kutoka WHO hapa nchini ikielezea kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjano nchini Kenya. Amesema hadi kufikia tarehe...
  8. Moderna to build Sh57bn COVID-19 vaccine plant in Kenya

    American biotechnology firm Moderna will set up a manufacturing facility in Kenya, its first in Africa, to produce messenger RNA (mRNA) vaccines, including Covid-19 shots. Moderna said it expects to invest about $500 million (Sh56.5 billion) in the Kenyan facility and supply as many as 500...
  9. Ugonjwa wa Homa ya Manjano walipuka Kenya, watatu wafariki, 15 wagonjwa

    Kenya imetangaza mlipuko wa homa ya manjano baada ya watu watatu kufariki dunia na kubainika wengine 15 wanashukiwa kuambukizwa katika kaunti ya Isiolo, Kaskazini mwa nchi hiyo. Wizara ya Afya inasema imetuma jopo la wataalamu wa kushughulikia suala hilo kwa haraka. Wizara ilisema pia kuwa...
  10. Q

    Tufungue Ukurasa Mpya: Tujifunze siasa za Kenya. Leo Uhuru anampigia kampeni Odinga

    Kitendo Rais Samia Suluhu kukutana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe huenda kikafungua ukurasa mpya katika siasa za Tanzania. Inasemwa kuwa kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu bali kuna maslahi ya kudumu. Tukubali katika eneo la Afrika Mashariki na Kati kisiasa Kenya...
  11. Timu ya Taifa ya Pooltable yaifunga Kenya 13 – 9, mashindano Afrika Nchini Zambia

    TIMU ya Taifa ya Pooltable Waanaume imeanza vyema mashindano Afrika kwakuwafunga majirani Kenya 13-9 katika mchezo wake wa kwanza wa mashindano hayo yaliyoanza leo Nchini Zambia. Mashindano hayo yameanza kwa makundi A na B ambapo kundi A ni Tanzania, Kenya Uganda na Zimbabwe wakati kundi B ni...
  12. Video: Akojoa wadudu baada ya kutembea na mke wa mtu Kenya

    MK254 Hebu tumble huu uchawi wenu mmeupata wapi?
  13. Kenya inaongoza ukanda huu kwa "dollar millionaires"

    Tuendelee kupiga kazi bandugu, hii nchi ukijituma fursa zipo, tusiige tabia za kijamaa za kuchukia mafanikio ya wengine, huwa nafarijika sana nikiona vijana wanavyofungua kila aina ya biashara kote kote, kwanza kwenye taaluma ya TEHAMA au ICT tunaongoza kwa kuchangamkia fursa...
  14. Wanafunzi 79 wa Kenya hadi sasa wameondolewa Ukraine kufuatia uvamizi wa Urusi

    Wanafunzi 79 wa Kenya hadi sasa wameondolewa Ukraine kufuatia uvamizi wa Urusi. Serikali ya Kenya inasema mwanafunzi mmoja tayari ameshawasili Kenya, wengine 74 wako Poland, wawili wako Romania na wawili wako Hungary. Mamlaka zinaendelea kuratibu uhamishaji wa wanafunzi wengine wengi kutoka...
  15. List ya sarafu za Afrika kuanzia ile ambayo ina nguvu zaidi hadi ile ambayo haina nguvu. Kenya ipo vizuri, Tanzania inavuta mkia

    Hawa jirani zetu Tanzania na Uganda huwa wanatuaibisha sana. Kenya tuna upweke sana ukanda huu. Ukanda huu sarafu zote isipokuwa ya Kenya ni za madafu. Halafu kumbe sarafu ya Tanzania ndio mbovu kuliko zote Afrika dhidi ya dollar ya Marekani? Yaani mna sarafu nyonge sana.
  16. J

    Hivi ni kweli kabla ya hii mipaka ya kisiasa, Moshi ilikuwa Kenya na Mombasa ilikuwa Tanzania?

    Kwa anayejua Tafadhali kabla ya ile mikataba ya Kijermani na Kiingereza hali ilikuwaje. Nimesoma mahali kuwa hata baba yake Obama siyo mkenya ni mtanzania ndio maana Obama alifika hadi Tarime kwa akina Heche kuwasalimia. Nasubiri majawabu! Maendeleo hayana vyama.
  17. Kenya to host one of the two giant data hubs in Africa to be set up by ICANN

    Kenya to host one of Africa’s two giant data hubs Kenya will host one of the two mega data centres in Africa that will increase Internet speeds and make it harder for hackers to bring down websites. The new data centres, which will have multiple servers with a high bandwidth to deal with...
  18. Kenya Railways gets Sh300m to complete Kisumu-Butere line

    Parliament has allocated Kenya Railways Corporation (KRC) Sh300 million to complete rehabilitation works on the Kisumu-Butere line. The Finance and National Planning Committee reallocated the Treasury’s vote as contained in the Supplementary Budget to secure the money for the completion of...
  19. Kilimanjaro marathon ni kesho, kinachoendelea Huko Moshi ni ulevi na ngono usiku huu kesho zawadi zote zinaelekea Kenya

    Watanzania huko Moshi Kilimanjaro Kesho ni washerekeaji tu wa Kilimanjaro marathon . Hawana uwezo wa kupata zawadi Hata moja. Wakenya ninasikia wamekuja wengi wamelala tayari kuanza bio Kesho na kuondoka na zawadi zote. Wabongo ni ulevi usiku kucha na ngono Yakima asubuhi Hakuna cha...
  20. Kenya is the only country in East Africa with electricity access to over 75 percent of her population

    Kenya has connected approximately 8.6 million households to electricity as of December 2021, up from 7.3 million in January 2020, the energy regulator said on Thursday. Daniel Kiptoo, director general, Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA) told journalists that Kenya is the only...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…