kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. M

    Job vacancy in Kenya

    St patrick hill schools invites qualified applicants for english/lit and biology/chemistry .Working hours 7-5 pm.There are two lessons per week 6-7pm and two 6-7 am .Housing provided single rooms .Food provided.Saturday is a working day and Sunday if on duty. Salary 17,000kes gross per month no...
  2. B

    Ujumbe mahsusi wa Putin kwa Kenya

    Ndugu zetu wakenya kuna huu ujumbe wenu hapa: Vipi uliwafikia au ndiyo mmefanya kama hamjauona? Poleni lakini, ila huo ndiyo ukweli wenyewe.
  3. Wasichana 98 wa miaka 10-19 huambukizwa ukimwi kila wiki nchini Kenya

    Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya ukimwi katika nchi hiyo. Wizara hiyo imeoa takwimu zifuatazo: Chanzo cha Takwimu: Wizara ya Afya Kenya Takwimu hizi za Wizara ya Afya kenya zinabainisha 98 wa miaka 10-19 huambukizwa ukimwi kila wiki nchini Kenya (Januari...
  4. Serikali ya wenzetu Kenya kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yliyoundwa nchini Kenya.

    Katika hatua ambayo integemewa kukuza uchumi kwa kiwango kikubwa kupitia uwekezaji, serikali ya Kenya inatazamiwa kuondoa kodi za Excise na VAT kwa magari yatakayoundwa nchini Kenya. Kwa sasa hivi Kenya tayari imetoa exemption ya import Duty ya 25% wa magari yanayoingizwa. Tahadhari kwa...
  5. W

    Imekuwaje Kenya iliyosimamishwa na FIFA kujihusisha na shughuli za kimichezo imetoa muamuzi wa kisimamia mechi ya CAF CC ya Simba Vs Orlando Pirates?

    Habari wana jukwaa. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu, Mnamo tarehe 22/02/2022 shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) lilizipiga marufuku nchi za Kenya na Zimbabwe kujihusisha na shughuli zozote za soka kutokana na Serikali zao kuingilia mashirikisho ya soka ya nchi hiyo kitu...
  6. KENYA: Afungua kesi Mahakamani kupinga usajili mpya wa laini za simu, ataka picha za wateja zifutwe

    Karanja Matindi, raia wa Kenya, Eliud anayeishi Uingereza ameifungulia mashitaka Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kwa kuagiza watumiaji wote wa laini za simu kujisajili upya, akitaka Mahakama ipinge maamuzi hayo kuwa ni kinyume cha katiba. Mamlaka ilitoa tangazo kuwa laini ambazo...
  7. Mahakama ya Kenya yawapa wanaume haki ya kulea watoto wa chini ya miaka tisa

    Mahakama nchini Kenya imeamua kuwa wanaume wanaweza kupewa malezi ya watoto walio chini ya miaka tisa. Mahakama inasema wajibu wa mzazi haufai kwenda kwa wanawake moja kwa moja ikiwa watoto wako katika umri mdogo. Chini ya sheria ya Kenya, akina mama mara nyingi hupewa haki ya kuwalea watoto...
  8. Kenya nayo yaitetea Urusi, yaungana na Tanzania na nchi nyingine za Afrika

    Hongereni wakenya kwa kuanza kujitambua na kuacha kuendeshwa na nchi za magharibi. Ushauri wangu kwenu na viongozi wenu ni kwamba, kabla hamjachukua uamuzi wowote katika ngazi za kimataifa, ni vizuri mkashauriana na Tanzania ili kuepuka aibu na fedhea Kama hii. Dunia inashindwa kuwaelewa...
  9. Visa yafungua ofisi yao ya kwanza Afrika, hapa hapa Nairobi

    Kainchi ka Kenya rasmi kamekua kitovu cha Afrika, hauwezi kufanya lolote kwenye hili bara bila kubisha hodi Kenya kwanza..... Kampuni kubwa duniani ya malipo imegundua hili na kuwekeza Kenya... ========================== Global digital payments giant Visa has opened an innovation studio in...
  10. Kenya Pipeline ventures into internet business, launches fibre optic cable

    The Kenya Pipeline Company (KPC) on Thursday launched its fibre optic cable that will run from the Mombasa port through Nairobi to Kisumu and Eldoret in western Kenya. The state corporation is conventionally mandated to transport petroleum products from the Mombasa port to the hinterlands in...
  11. Inawezekanaje bajeti ya Kenya ikawa kubwa mara mbili ya ile ya Tanzania?

    Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu? Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60. Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++. Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya...
  12. Inawezekanaje bajeti ya Kenya ikawa kubwa mara mbili zaidi ya Tanzania?

    Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu? Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60. Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++. Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya...
  13. L

    Mapato kutokana na huduma za uchukuzi SGR Kenya yaongezeka

    Na Tom Wanjala Ripoti kuhusu ufanisi wa mradi wa reli mpya ya kisasa ya SGR nchini Kenya kwa mwaka uliopita, imetolewa rasmi na ofisi ya takwimu ya kitaifa ya Kenya (KNBS). Kwa mujibu wa ripoti hiyo, wasafiri milioni 1.99 walitumia reli hii mpya mwaka wa 2021, na kuleta mapato ya shilingi...
  14. Gawio la mabenki ya Kenya lavunja rekodi mpya, Bilioni 51.7

    Hili soko linatisha balaa..... Na sasa tumeteka DRC ============================ Local listed banks nearly trebled their dividend payout for the 2021 financial year, rewarding shareholders who have seen a mixed performance in capital gains on their stock in the period. The nine lenders...
  15. J

    Rais Samia: Waziri wa Nishati aliondoa Tozo kwenye mafuta kimakosa kwa sababu Tozo ilipitishwa na bunge, Nimeirejesha!

    Rais Samia amesema waziri wa Nishati January Makamba alifuta tozo ya tsh 100 kwenye mafuta kwa nia njema ya kupunguza bei lakini ikaonekana kuna utaratibu haukuwa sawa. Tozo ile ilipitishwa na bunge siyo waziri hivyo kuifuta kulitakiwa kuanzie bungeni. Rais ameirejesha tozo ya mafuta kama...
  16. Kenya waanza kusema kuwa Simba ni yao....

    Hawa jamaa sijui wanavuta bhangi au nini? Nilikuwa naongea na mkenya mmoja kuhusiana na mpira .... Hasa kwa nchi za East Africa hakujua kama natokea Tanzania. Yeye anajua mimi ni Black American. Nikamuuliza kwa East Africa kwa sasa ni team gani zinafanya vizuri kimpira. Akajibu bila aibu kuwa...
  17. Kenya itasoma bajeti yake mapema kwa sababu ya uchaguzi. Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi, Aprili 7, 2022

    Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi wiki hii. Bajeti yenyewe itakuwa ya ksh 3.3 trillion ambayo ni zaidi ya mara dufu ya bajeti ya Tanzania. ======= Budget reading Thursday as MPs end revenue share row These measures will be contained in the Finance Bill, which must be tabled in...
  18. K

    Je, CHADEMA safari hii kwenda na nani kwenye uchaguzi wa Kenya?

    Nakumbuka kipindi kile walimtosa mpinzani mwenzao Raila na kumuunga mkono Uhuru Kenyatta tena nakumbuka mzee Lowassa alifunga safari mpaka Kenya kwenda kuwashawishi wamasai wamuunge mkono Uhuru Kenyatta. Sasa mwaka huu Raila anaungwa mkono na Uhuru Kenyatta. Je,CHADEMA watalazimika kumuunga...
  19. Raila Odinga apigwa mawe huko kenya, Ruto kuchukua nchi

    Hakika Kenya haiko na unafiki! Raila hatakiwi na wakenya mpaka wameamua kumpiga mawe kwamba hawamtaki Hii inaonesha dhahiri kwamba Ruto anaenda kujichukulia kiti cha urais kiulaini
  20. Kenya continues to lead in export of meat and meat products, as new Gulf frontier opens

    Did you know that Kenya is a lead exporter of meat and meat products to different destination markets? Yes. Apart from floriculture and horticultural export products that Kenya is widely known for, our Nyama is loved in other countries just as Kenyans love the famous local delicacy Nyama Choma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…