kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona sioni ulinzi wa kutisha kwa viongozi wakubwa wa Kenya?

    Nimekuwa nikifuatilia kwa Karibu Sana, kipindi chote cha uchaguzi mkuu wa Kenya, sijaona msururu wa walinzi wa viongozi hao, wakilindwa na ulinzi wa kuwalinda viongozi hao, pamoja na uhasama mkubwa, uliokuwepo huko Kenya, Katika kipindi chote cha uchaguzi huo. Muda huu naangalia TV za Kenya...
  2. JamiiForums Tanzania Kesi ya Uchaguzi Kenya siku 14, ya kina Mdee siku zaidi ya 400!

    Ukiangalia ukubwa wa uchaguzi wa Kenya na hoja zilizowasilishwa kwenye Mahakama ya Kenya. Bila ya shaka utagundua kwamba mahakama ya Kenya ina utendaji kazi uliotukuka kuliko mahakama yetu Tanzania. Kwenye mahakama ya Tanzania kuna kesi ya kina Halima Mdee na wenzake, ambayo kwa zaidi ya mwaka...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Watalii 40 wakamatwa kwa kuombaomba mitaani

    Kamanda wa Polisi wa Kaunti Ndogo ya Mvita Maxwell Agoro akizungumza na mmoja wa raia 40 wa Jordan waliokamatwa. Picha: Kwa hisani Polisi wa Mombasa Nchini Kenya wanawashikilia watalii 40 raia wa Jordan baada ya kukutwa wakiombaomba katika Mitaa ya Old Town na Marikiti ili wakusanye fedha ya...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali Rufaa ya Odinga, yakubali Ruto ameshinda kihalali Urais wa Kenya, leo Jumatatu Septemba 5, 2022

    MARTHA KARUA: NAHESHIMU MAAMUZI YA MAHAKAMA ILA SIKUBALIANI NAYO Aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Azimio la Umoja katika Uchaguzi wa Urais Kenya, Martha Karua amesema anaheshimu maamuzi ya Mahakama lakini hakubaliani nayo. Mahakama ya Upeo imetangaza kupitisha matokeo yaliyompa ushindi William Ruto...
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesho Kenya Mungu anapinduwa meza ya mzaliwa wa kwanza kama alivyofanya kwa Esau akampa Yakobo

    Igweeeeeee!!!! Habari zisizo rasmi ila zipo rasmi kwa manabii nikuwa kesho tarehe Nne mwezi wa Tisa huko Kenya Mungu anaenda pinduwa meza kama alivyo fanya kwa mzaliwa wa kwanza Esau... Nihivi kuna story moja kwenye Bible inatisha sana ambapo Mungu aliunyang'anya uzaliwa wa kwanza wa Esau...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gavana Mkenya alipa deni la Mtanzania Hospitali (Tsh. Mil 8.3)

    Mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la Maria Maria alikwama kulipa deni la matibabu aliyopata baada kugongwa na gari wakati akitembea Barabarani ambapo alilazimika kubakia Hospitali ya Nakuru Level Five tangu Agosti 2022. Gavana wa eneo hilo Susan Kihika amechukua dhamana ya deni lote baada ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania NATAMANI SANA,NCHI YETU IWE NA DEMOKRASI YA HALI YA JUU KAMA KENYA:

    Uchaguzi wa Kenya umekwisha,lakini mshindi wa kiti Cha urais aliyetangazwa na tume huru ya uchaguzi ,ya Kenya RUTO bado hajazibitishwa kwa kuwa mpinzani wake wa kitu hicho ,Raila Odinga , alikwenda mahakamani kupinga matokeo yao.Mahakama ya upeo itato majibu ya rufaa ya mzee Odinga siku ya...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kenya aliyewekwa mateka Saudi Arabia aachiwa

    Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa amesema Diana Chepkemoi, ambaye alikuwa amezuiliwa ndani kinyume na matakwa yake huko Riyadh, ameachiwa baada ya juhudi za viongozi na baadhi ya raia wa Kenya Aida ameongeza kuwa mwanafunzi huyo wa Chuo Kikuu ambaye alikuwa akifanya kazi za ndani amepelekwa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Marekani yaitamani demokrasia ya Kenya

    Soma mwenyewe hapa. Lumumba kwa kuwa hamjui kiingereza mtafuatilia komenti ili kujua kilichoandikwa.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nashauri Kenya waache mavazi ya kikoloni mahakamani

    Sijaona sababu ya wakenya kuvaa mavani ya kikoloni mahakamani.
  11. JamiiForums Tanzania Hatimaye Shaban Robert mwandishi nguli aeinziwa Kenya na mawakili wa Dr. Ruto

    Wasalam wana JF Je ni kweli Raila anaifanya Kenya kuwa nchi ya Kusadikika? Si maneno yangu bali ya mawakili wa Ruto kama video inavyojieleza
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yasitisha malipo ya Ruzuku za unga, madeni yazidi

    Wizara ya Kilimo imethibitisha uamuzi huo huku ikitaja sababu kuwa ni kuzidiwa na malimbikizo ya madeni yaliyopelekea wafanyabiashara wa kati kulipwa mamilioni ya pesa huku wauzaji reja reja wakikosa zabuni. Wasagishaji Unga wamelalamikia uamuzi huo unaoanza leo Septemba 2,2022 wakidai kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wasifu wa wajumbe wa tume ya uchaguzi ya Kenya

    The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) commissioners remain a topic of discussion especially after their fallout over presidential election results. Away from their conduct and the chaotic scenes at the Bomas of Kenya, little is known about their education background...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchaguzi Kenya: Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya Usalama kwa raia wake

    Wakati Mahakama Kuu ikisubiriwa kutoa uamuzi wa kuidhinisha au kubatilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais Jumatatu Septemba 5, 2022, Ubalozi Marekani umeweka vizuizi vya watu kusafiri kwenye mji wa Kisumu, eneo analotokea Raila Odinga Taarifa ya Ubalozi imenukuliwa ikisema mara kwa mara Kenya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Swali magumu uchaguzi Kenya

    Tarehe 5 ndiyo siku ya Ruling. Nakumbuka uchaguiz wa 2017 hukumu ilikuwa na page kama 500 hivi. sasa kuanzia kesho wata deliberate submissions za pande zote na kuandika hukumu ? Ku analyse ushahidi wote and make sense out of it, Just sense and not a matter of sense! Siku kama 3 hivi.....
  16. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafuatilia uchaguzi Kenya: It seems baba will suffer again!

    Inaonekana wajibu maombi wanakazia kuwa Raila hajatoa ushahidi wa aliyoyasema kama mapungufdu katika uchaguzi. Mfano ametaja kuwa mifumo ya seva ya IEBC iliingiliwa lakini hajatoa ushahidi uliingiliwa vipi na kama kuingiliwa huko kulisabisha kura kwenda ndivyo sivyo na hivyo kumpa ushindi...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Chama Tawala chaitaka Tume ya Uchaguzi kuwasilisha vitu 14 kwa uchunguzi

    CHAMA cha Jubilee kimemwandikia Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati kikiomba kupata baadhi ya vifaa vilivyotumiwa katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9 kwa madhumuni ya ukaguzi wake wa ndani. Chama hicho katika taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Jeremiah Kioni...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi Kenya: Masanduku 9 kati ya 15 ya Kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya hayana hitilafu

    Uchunguzi wa kundi la kwanza la masanduku 9 kati ya 15 ya kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya na Mahakama ya Juu haukuweza kuonesha hitilafu zozote za wazi katika matokeo ya uchaguzi wa Urais. Wakati wa kuchapisha, ni masanduku tisa pekee kati ya 15 ya kura yalikuwa yamefunguliwa, kuchunguzwa na...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Maswali na Majibu yote kutoka Mahakama Kuu kuhusu Pingamizi la Matokeo ya Urais

    Githu Muigai: Waangalizi wote walirudi na hitimisho moja. Huu ulikuwa uchaguzi wa wazi na wazi. Githu Muigai: Ningekuhimiza uwaulize mawakili ikiwa wanafurahia uchaguzi wao wenyewe. Ikiwa wamefurahi, basi inakuwaje uchaguzi huu una dosari? Githu Muigai: Katika mahakama hii, kuna magavana...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wabunge wanyimwa huduma za "Masaji" na Urembo kwenye Bima ya Afya

    Wabunge walitaka huduma za Urembo na "Massage" zijumuishwe kwenye Vifurushi vya Bima za Matibabu yao ambapo Tume ya Huduma za Bunge (PSC) imekataa na kuwataka kutumia fedha zao wenyewe kupata huduma hizo. Hata hivyo, Wabunge hao watapata Bima ya Tsh. Milioni 206 ikijumuisha na familia zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…