kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dr. Miguna kuwasili Kenya Octoba 25, 2022

    Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa twitter, Wakili Dr. Miguna Miguna ametangaza kurejea Nchini Kenya usiku wa Octoba 25, 2022. Amesema kuwa ataondoka Toronto Octoba 24, 2022 na itakuwa ni safari yake ya kwanza Kurejea nchini humo kwenye kipindi cha miaka 5 ya kukaa uhamishoni. Dr. Miguna...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aliyetutamanisha na Hotuba yake nzuri alipoapishwa ndiyo huyu anayelalamika hali mbaya Kenya?

    GENTAMYCINE ni Mtu ambaye huwa kwa 95% siziamini Hotuba za Marais pale wakiwa Wanaapishwa kwakuwa kwa Uzoefu wangu huwa ni Hotuba ya Asali Tamu kwa Kuiona ila Kimatumizi huwa ni Chungu na Mbaya kwa Mlaji / Walaji. Nimemsikiliza na Kumtizama Rais wa Kenya Ruto katika Mkutano wake wa IGAD na...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara na mahusiano kati ya Kenya na Tanzania zimeimarika mara mbili zaidi kutoka 2020

    Napitia Takwimu kutoka kenya juu ya kuimarika kwa Biashara kati ya Tanzania na Kenya mara mbili zaidi kutoka Mwaka 2020. Takwimu kutoka nchini Kenya zinaonyesha Biashara kati ya Tanzania na Kenya zimeimarika zaidi. Thamani ya bidhaa zilizosafirishwa kutoka kenya kuja Tanzania zimepanda kwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Bila Katiba Mpya hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza Tanzania, Kenya waula

    Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na wawekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabirika. Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote. Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani: Muuguzi Mkenya akiri makosa ya ulaghai wa mabilioni katika huduma za afya

    Muuguzi Mkenya mwenye umri wa miaka 42 amekiri makosa ya ulaghai katika huduma za afya, kusaidia ulaghai wa huduma za afya, kula njama ya kulipa na kupokea marupurupu, na makosa mengi ya kudanganya wachunguzi wa shirikisho la Marekani. ======= A 42-year-old Kenyan nurse has pleaded guilty to...
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha hizi zinathibitisha uhusiano wa karibu kati ya Kenya na Uingereza

    Karibu marais wote wa Kenya wamewahi kuonana na malkia Elizabeth II kasoro William Ruto ambaye ameenda kumzika. Hapa kwetu ukiondoa mwalimu Nyerere Nani mwingine? Tuliwahi kumuweka mtu mmoja pale ikulu kila uchwao yeye alikuwa akiwaita wazungu mabeberu. Yule mtu sijui tuliteleza wapi?
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya maeneo nchini Kenya yakumbana na uhaba wa mafuta, gharama za usafiri zaongezeka maradufu

  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana mwingine wa Kenya aliripotiwa kufariki Saudi Arabia

    Familia moja katika kaunti ya Kisii imeitaka serikali kuwasaidia kurudisha mwili wa binti yao kwa mazishi baada ya kufariki Saudi Arabia. Naomi Barongo alifariki miezi miwili iliyopita katika hali isiyoeleweka baada ya kwenda Saudi Arabia mwaka 2021 kutafuta kazi. Jamaa zake wamekuwa...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto ameanza safari yake ya kwanza nje ya Kenya, atakutana na Mfalme Charles III na Rais Biden

    Akiwa huko, Rais atakaribishwa kwa chakula cha jioni na Mfalme Charles III na pia atahudhuria Ibada ya Viongozi wa dunia leo jioni Jumatatu, Ruto atakuwa miongoni mwa viongozi wa dunia watakaohudhuria mazishi ya Malkia Elizabeth II. Ruto ni kati ya viongozi 500, ikiwa ni pamoja na Rais Joe...
  10. JamiiForums Tanzania Bei ya mchele kwa kilo kwa sasa ikoje Dar es Salaam

    Habarini wanajukwaa? Nilikuwa naomba kufahamu bei ya mchele kwa kilo kwa sasa ikoje Dar es Salaam na ikoje pia Nairobi Kenya? Shukrani.
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wafanyabiashara wa Pombe waomba Poh, watangaza kupata hasara ya Tsh. Bilioni 309.5

    Wafanyabiashara wanaojihusisha na uuzaji wa vileo wameitaka Mamlaka ya Kodi (KRA) kusitisha marekebisho ya kodi yaliyopangwa kwaajili ya bidhaa ili kupisha mfumuko wa bei. Wafanyabiashara hao, ambao ni pamoja na Chama cha Vinywaji vya Pombe nchini (ABAK) na Baa, Burudani na Migahawa ya Kenya...
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunayo ya kujifunza kwa Raila, baba wa demokrasia Kenya

    Kenya ni taifa katika mazingira halisi tuliyomo sisi. Hata hivyo taifa hili limepiga hatua kubwa sana kidemokrasia zenye kustahili kupigiwa mfano. Hizi tantarira za eti kuwa IEBC ni sawa tu na NEC yetu, kwamba ya Kenya tuwaachie wakenya wenyewe, nk nk, zote ni kelele za vyura tu. Nia na...
  13. JamiiForums Tanzania Kenya: Serikali yafuta Ruzuku ya Mafuta, bei yapanda zaidi

    Bei mpya kuanzia leo kwa Petroli inayotumiwa zaidi na magari mengi binafsi ni Tsh. 3,468,45 kwa lita kutoka Tsh. 3,100.29, huku Dizeli ambayo hutumiwa na wasafirishaji na viwanda ni Tsh. 3,197.17, Mafuta ya Taa ni Tsh. 2,867.77 Haya yanajiri baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa utawala...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Afisa wa tume: Tume yetu ya uchaguzi haina tofauti na ya Kenya

    Akiongea na kituo kimoja cha redio hapa nchini, mkurugenzi msaidizi wa elimu ya mpiga kura kuhusu tathimini yake ya uchaguzi uliomalizika hivi karibuni nchini Kenya, amesema hakuna tofauti kubwa ya namna tume ya uchaguzi ya Kenya inavyotekeleza hilo jukumu na tume yetu. Inaonekana huyu afisa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania inahusudu uchaguzi wa Kenya

    Katika mfululizo wetu wa barua kutoka kwa waandishi wa Kiafrika, mwanahabari wa Tanzania Sammy Awami anapendekeza kwamba nchi yake inaweza kuiona Kenya kama mfano wake wa kuigwa kisiasa. Watanzania wamekuwa wakichungulia katika boma la jirani yao - Kenya - wakiwa na mchanganyiko wa kuvutiwa na...
  16. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais Mh Rigathi Gachagua: Tunaingia ofisini Kenya ikiwa na serikali imefilisika kifedha na kiuchumi

    13 September 2022 Nairobi, Kenya HOTUBA MARA BAADA YA KUAPISHWA NAIBU RAIS MH. RIGATHI GACHAGUA Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Geoffrey Rigathi Gachagua amewaelezea raia wa nchi hii ya Kenya kuwa hali si hali pamoja ya kuwa ni nchi inayohesabika ina uchumi mkubwa na utajiri katika eneo hili la...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Abiria afariki ndani ya ndege ya Kenya Airways kabla haijaruka

    Taarifa iliyotolewa na shirika hilo leo Septemba 14, 2022 ilisema abiria huyo alifariki alipokuwa akihudumiwa na wahudumu wa afya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) Imeelezwa abiria huyo alipata matatizo ya kupumua alipokuwa akiingia kwenye ndege ambayo ilikuwa...
  18. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyoyasema Kenyatta juu ya Ruto tayari yanafukuta

    Alisema Uhuru, huyu anayejiita Hustler na apewe kama miezi mitatu tu, mambo atayakoroga. Huyu bwana aliahidi mbingu huko Kenya lakini tayari kwa mwendo huu kumekucha: 1. Ruto anaondoa ruzuku kwenye mafuta ya magari. "Petrol, Diesel na mafuta ya taa kupaa hadi juu ya 200 Ksh @ lita."...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania ina cha kujifunza kutoka Kenya?

    ❝ I want to tell the people of Kenya that you are finally free. You don’t have to talk with each other through Whatsapp for fear of being recorded and persecuted by state agencies❝ - Hon. Rigathi Gachagua, VP-Kenya
  20. JamiiForums Tanzania Udugu wa Kenya na Tanzania ni wa damu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…