kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Bien wa Kenya alivyomfunika Marioo kwenye Trace Music award

    Star muziki kutoka kenya Bien aliouwa vibaya kwenye tamasha la tracemusic award huko zanzibar. https://youtu.be/HNGUzeFNfNQ?si=LJRX1bjiWJqWwAlu
  2. Chaliifrancisco

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii clip ime trend Kenya. Watu wanajua kupendana

    Video inaonyesha wanaosadikika kuwa ni wapenzi wakishirikishana mambo. Kilichofurahisha ni namna walivyokuwa wanaonekana ku bubujikwa na upendo hadharani. Wabongo mnaweza haya mambo? Au ndio undava undava tu.
  3. Lusungo

    JamiiForums Tanzania My Tribute to Samia Suluhu Hassan! Kenya inaisifu Tanzania!

    Nimejionea hii taarifa nikasukumwa kuandika huu uzi kuhusu serikali ya Tanzania ya sasa! Kwa muda mrefu nimekua mkosoaji nguli wa serikali za CCM kuanzia kwa JK hadi kwa Samia! Kwa hivi karibuni trend ya uchumi wa Tanzania, mapambano dhidi ya Rushwa, harakati za matumizi ya nishati safi, ujenzi...
  4. Just Pray

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wizara ya afya imeanza kupambana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana na ambao umeathiri zaidi ya watu 200

    Wizara ya afya nchini Kenya imesema ipo mbioni kupambana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana na ambao umeathiri zaidi ya watu 200 katika vijiji vitatu vya jimbo la Kisii eneo la Nyanza Magharibi ya Kenya. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya anayehusika na afya ya umma Mary Muthoni anasema tayari...
  5. ESCORT 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumbe Waziri wa Ulinzi wa Kenya ni Mwanamke kama ilivyo huku Tanzania

    Anaitwa Soipan Tuya, ndiye Waziri wa Ulinzi wa Kenya. Ni mwanasheria kitaaluma akiwa na miaka 46 aliteuliwa mwaka jana mwezi wa 8 na Rais William Ruto kuwa Waziri wa Ulinzi. Kabla ya uteuzi huo, Soipan Tuya alikuwa Waziri wa Mazingira.
  6. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Unpopular Opinion: Msanii mkali wa East Africa kwa sasa ni Bien wa Kenya.

    Najua wazee wa prokotoo, ibanie ndani, imeloa nyau, sijui chumvi sugar chumvi etc mtaanza kunikaba koo Kula kwanza hicho chuma https://youtu.be/F1kCWrem5RU?si=Uw7K0stk3hPP3D8z
  7. Mwl.RCT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Queen Elizabeth II's 1972 Kenya Stopover: A Pivotal Moment in Post-Colonial Diplomacy

    Queen Elizabeth II's 1972 Kenya Stopover: A Pivotal Moment in Post-Colonial Diplomacy Queen Elizabeth II's brief stopover in Kenya during March 1972 represented a critical juncture in Anglo-Kenyan relations, occurring exactly two decades after her historic accession to the throne at Treetops...
  8. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Dah! Yaan Tanzania imekuwa ya kutumia nyanya kutoka kenya kweli?

    Aisee ilizoeleka kuwa wakenya huja Tanzania kununua mazao na kuyapeleka kwao Kenya ila Hali sio hvyo kwasasa. Wakulima wa Kenya wamejipanga na kuwezeshwa Sasa wameanza kuzalisha zaidi ya uwezo wao mazao kama nyanya, vitunguu na maharage kidogo kwenye mahindi wanashirikiana na wakulima wa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Diwani wa Ikanga kushtakiwa kwa kughushi nyaraka za gari na utapeli wa Ksh. 2.2 Milioni

    Diwani wa Wadi ya Ikanga, Cyrus Kisavi Musyoka, anatarajiwa kufikishwa mahakamani Ijumaa kwa tuhuma za kughushi nyaraka za ununuzi wa gari ili kulaghai Bunge la Kaunti kiasi cha Ksh. 2.2 milioni. Musyoka anadaiwa kuwasilisha stakabadhi za uongo za kurejeshewa fedha za ununuzi wa gari kwa lengo...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mbunge ashtakiwa kwa kugushi vyeti vya taaluma ikiwemo vya chuo kikuu

    Mwendesha Mashtaka wa umma nchini Kenya alitangaza Jumatano kwamba Mbunge, George Koimburi, ameshtakiwa kwa kughushi vyeti vya masomo. Koimburi, Mbunge wa eneo Bunge la Juja, anakabiliwa na Mashtaka sita, matatu kwa madai ya kughushi nyaraka za masomo na matatu kwa kuwasilisha vyeti hivyo...
  11. Ileje

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania is light years ahead of Kenya believe it or not!

    The difference starts right at Namanga. Check the trucks at the border. There are no Kenyan Trucks. But TZ Trucks are loaded bringing goods to Kenya and going back empty. 1-0 TZ TZ Roads are clearly marked. Milestones, lanes, speed limits. Which Roads have Milestones in Kenya. Zero. Lanes are...
  12. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila karibu ubakie na siasa zenu za Kenya huku AU haupawezi hapakufai

    Niwapongeze sana wapiga kura wote walioshiriki kumkataa huyu bwana uchaguzi wa AU, Wengi walijiaminisha baba anakuwa mwenyekiti Ruto akamwingiza chaka eac wamejipanga na atashinda. Haha baadhi ya mambo yaliyomfanya asishinde ni 1.Nchi yake kuruhusu ofisi za RFS za waasi kuwepo huko kenya Src...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kenya imetoa mwanya kwa Congo River Alliance's kufanya mipango ya mapinduzi Congo na RSF kuigawa Sudan

    Kenya katika EAC inaelekea kuwa kitovu cha mipango hasi dhidi ya serikali kadhaa za ukanda huu. Kabla ya vita kupamba moto DRC, viongozi wa makundi mbalimbali ikiwemo M23 walikutana Kenya na kuunda umoja wao yaani Congo River Alliance's baada ya hapo vita ikazuka ya nguvu sana DRC, mipango hii...
  14. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Kenya bi Rachel Ruto akutana na kufanya mazungumzo na mke wa Naibu wa Rais Dkt. Joyce Kithure

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: First Lady Rachel Ruto held a meeting with Dr. Joyce Kithure, spouse of the DP which focused on promoting sustainable school feeding in Kenya through food production on school grounds
  15. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Kama mtanzania napataje fursa ya kwenda kufundisha nchi kama Shelisheli, Kanada, Norway au Kenya?

    Wakuu mimi ni mwalimu natamani nikafundishe kati ya Nchi tajwa hapo juu tafadhali mwenye miongozo anipatie hapa jukwaani mimi na wanajukwaa wenye shida kama yangu tutashukuru sana Ahsanteni
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Moja baada ya mambo yaliyomgharimu Tsishekedi baada ya kuchukua uongozi kutoka kwa Kabila, ni kuiamini Kenya, akaiacha Tanzania

    Mara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Kabila mtoto, Tsishekedi alikuwa na mahaba makubwa kwa Kenya, akaitelekeza Tanzania. Tanzania ni moja kati ya "watu wa kazi" Walioidhibiti amani ya Congo Mashariki. In fact, Tanzania ni Godfather wa ulinzi na usalama wa ukanda huu. Kosa hilo...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwijaku wa Kenya asema yeye sio chawa tena bali ni Balozi wa Rais Samia. Uchawa unaenda kuwa anguko la Samia!

    Wakuu, Kwa jinsi mambo yanavyoenda uchawa unaenda kuwa anguko la CCM. Rais Samia unaweza usiwe na ufahamu mkubwa kupambana na mavitu complex, lakini hata hili dogo la uchawa unaacha mpaka linakuwa out of hand namna hii? Anayekushauri anakupotosha, hawa machawa ndio watakuja kutumika dhidi...
  18. F

    JamiiForums Tanzania SADC yaiandikia barua Jumuiya ya ECOWAS kumuunga mkono Mgombea wa Madagascar na sio wa Kenya (Raila).

    Naona Raila hana bahati. SADC yamruka na kumuunga mkono mgombea kutoka Madagascar na imeiomba jumuiya Africa Magharibi kufanya hivyo pia.
  19. Nyani Ngabu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuna uhaba wa kondomu kisa USAID kusitisha misaada!

    Waafrika tuna ujuha wa ajabu sana. Yaani kumbe hata hiyo mipira tunasaidiwa.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania iige mfano wa Kenya

    Nchi ya Tanzania inatakiwa iige utaratibu wa Tume Huru ya Kenya. Kupata Mwenyekiti na Makamishna wa Uchaguzi wanatakiwa wapatikane kwa njia ya haki. Mfano wiki hii kule Kenya wametangaza nafasi ya Mwenyekiti na Makamishna wa Tume Huru ya Kenya na sharti ni kuwa anayetaka nafasi hizo ni lazima...
Back
Top Bottom