kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

    Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum? Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe Kenya kwa upande wa viwanja vya mpira wametuzidi?

    Niko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana. Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
  3. JamiiForums Tanzania Tunongone,kwa mpira wanaoucheza majirani (Kenya) tukikutana nao kweli tunaweza toboa?

    Kenya chini ya Ben Macchath,naiona ikizidi kuwa much strong beyond,je wakulungwa mnaionaje au mnaushauri gani? Inajivuta kwa nguvu kubwa kutoka shimoni!,we have to pull up our socks!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kenya vs Morocco, angalieni wakenya wanavyoshangilia nchi yao mwanzo mwisho, watanzania tujitathmini

    Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza. Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wanafahamu kweli ku brand history ya kenya!

    ๐Ÿ—ฟ Lost Cities of Kenya โ€“ Echoes of a Forgotten Past ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Kenya hides in its soil and forests the stories of thriving cities that once buzzed with trade, culture, and power โ€” now silent, but not forgotten. Here are some of our most fascinating ancient sites: ๐Ÿ› Gedi Ruins โ€“ Kilifi County: ๐ŸŒŠ A...
  6. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Kenya Wakanusha Kunyanyaswa Tanzania

    Katika mazingira ambako mjadala unaendelea kuhusu masharti mapya yanayowahusu wafanyabiashara wa kigeni nchini Tanzania, baadhi ya wafanyabiashara kutoka Kenya wameeleza kuwa wanaendelea na shughuli zao bila bugudha wala usumbufu kutoka kwa mamlaka husika. Mmoja wa wafanyabiashara hao...
  7. JamiiForums Tanzania TFF fanyeni jambo tumpate huyu kocha wa kenya

    Hii timu(kenya) haina wachezaji tishio sana lakini ukiangalia kuna kitu wanakionyesha , jamaa wapo kundi la kifo lakini wanaonesha upinzanI mkali sana. Huyu atatufaa sana kuelekea Afcon 2026
  8. JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais Donald Trump asema kwa yanayoendelea nchini Kenya kama angekuwa Rais wa Kenya angejiuzulu

  9. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—ฒ๐—ต๐—ฒ๐—บ๐˜‚ ๐Ÿฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ช๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐—ต๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—ท๐˜‚๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ

    Kuna maeneo kwenye hii Dunia Yetu watu wengi walipotembelea hawakurudi , na hakuna ishara , hakuna aliyenusurika Wala ishara yoyote Ile. Haya hapa ni maeneo 6 hatari na kuogopesha ambayo wanadamu wanaambiwa wasipende kutembelea kabisa utakufa au kupotea na kutorudi Tena. ๐Ÿš€ Ziwa Natroni...
  10. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari aliyepiga picha hii Kenya anatafutwa na serikali ya Uganda

    Kosa ni kutumia picha ya raisi bila kuihariri na kuiongezea mivuto.
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Tanzania kubania wageni kufanya biashara nchini, Kenya imejibu mapigo

    Siku chache baada ya Serikali ya Tanzania kutangaza kanuni mpya za leseni za biashara na kodi, Kenya imepinga hatua hizo ikizitaja kuwa za kibaguzi na tishio kwa mshikamano wa kiuchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Kenya kupitia Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda imesema ina...
  12. JamiiForums Tanzania Sportpesa wadhamini ligi ya kenya kwa Tsh. Bilion 22.6

    Football Kenya Federation (FKF) has unveiled gaming firm SportPesa as the new title sponsor of the Kenyan Premier League starting from the 2025/26 season. The 10-year sponsorship deal is worth Ksh 1.12 billion. The partnership begins with an Ksh 85 million injection for the upcoming season.
  13. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Tanzania kuwazuia Wageni kufanya biashara katika sekta 15 wazua mjadala Kikanda, hususan nchini Kenya

    Tanzania imepiga marufuku raia wa kigeni kumiliki na kuendesha biashara ndogondogo, hatua iliyozua wasiwasi na upinzani kutoka nchi jirani ya Kenya. Agizo hilo jipya linakataza wageni kushiriki katika sekta 15 zikiwemo uhamishaji wa pesa kwa njia ya simu, uongozi wa watalii, uchimbaji mdogo wa...
  14. JamiiForums Tanzania CHAN Kenya all Tickets sold out, Tanzania mhhhh!!!!

    Kelele nyingi, oohh ligi yetu ni Bora,mashabiki hujaza viwanja. Kujaza uwanja timu ya taifa eti mpaka hamasa, wakenya hawanaga hizo, jamaa wametisha sana hongereni wakenya.
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaongoza Matumizi ya AI

    Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช has been ranked the top user of ChatGPT in the world. This comes after a new report showed 42% of internet users aged 16+ in Kenya use the AI toolโ€”higher than any other country. === How many people use ChatGPT monthlyThe report showed that the ChatGPT mobile app reported roughly 486...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kocha wa mchezo wa sarakasi wa Kenya afurahia uhusiano wa zaidi ya miaka 40 na China

    Wakati zaidi ya vijana 1,000 wakiwa wamepitia kwenye mafunzo yake, mwanasarakasi Mkenya Mathias Kavita alipokumbuka uhusiano wake wa miaka 41 na China uliostawi kwa muda mrefu na kuvuka mipaka ya kijiografia, uso wake ulikuwa wenye tabasamu la kujivunia. Muda mfupi tu kabla ya siku yake ya...
  17. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Programu ya Msimbo (coding) yazindua ndoto ya kidijitali kwa vijana wa Kenya

    Shule ya umma anayosoma Pauline Wahuna, iliyoko katika Kaunti ya Kajiado, kusini mwa Kenya, inaweza kutoonekana kwa urahisi, lakini imekuwa kituo kinachoshamiri cha kuendeleza kizazi kijacho cha waandishi wa Msimbo (coding). Mwaka 2024, Pauline Wahura, mwenye umri wa miaka 15 anayesoma Daraja...
  18. JamiiForums Tanzania Mbona hamasa ya CHAN ni Tanzania peke yake wanafanya vipi uko Kenya na Uganda

    https://www.youtube.com/watch?v=VqJg2dTFm4A
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tony Nyadundo mwanamuziki mashuhuri wa Kenya aliyezaliwa Tanzania na kuileta sifa kubwa Kenya

    Ndo ya Machozi inakubalika kila kona ya Afrika Masgariki
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Mpox watua nchini Kenya. Kesi 226 zaripotiwa

    Wakuu, Ugonjwa wa Mpox wasambaa Magharibi mwa Kenya Kaunti za Busia, Bungoma na Kakamega zimeathiriwa na mlipuko wa ugonjwa wa Mpox, unaosababishwa na virusi. Busia ni ya pili kwa athari nchini Kenya, ikiwa na maambukizi 56 yaliyothibitishwa, wagonjwa wawili wamelazwa, wanane wanatibiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ