kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Hivi unajua million 1.97 ya Tanzania ni sawa na laki 1 ya Kenya

    Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh? Ukiwa na elfu...
  2. JamiiForums Tanzania Mchakato wa biashara ya kupeleka Mchele Kenya na Uganda upoje?

    Niko mkoani Mwanza, nina kama tani 200 za mchele, kwa sasa ninafanya biashara ya kawaida hapa hapa Mwanza Ninahitaji kupanua soko langu na kuanza kusafirisha kupeleka nchi jirani. Ninaomba iwapo yupo mdau ambae ana uzoefu na biashara hiyo anisaidie mchakato mzima kuanzia vibali na namna ya...
  3. JamiiForums Tanzania Chief Godlove Kelele nyingi hata Kenya haujawahi fika, kamdomo hatoki nje ya Tanzania

    Huu ni ukweli sio ubuyu inaonekana waganga wake masharti yao asitoke nje ya Tanzania,
  4. S

    JamiiForums Tanzania Uganda Nje, Kenya Nje, Tanzania Nje, Lipo Tatizo Ukanda huu, Mnaoleta Siasa hapa Tanzania

    Wewe unaeiponda Tanzania kwa kutolewa CHAN jana na unashangilia halafu una comment kwa matusi
  5. JamiiForums Tanzania Kitabu cha The Animals Are Innocent: "The Search for Julie's Killers" kinaonyesha majibu rahisi ya viongozi afrika mfano tukio la Julie's kule kenya.

    Kitabu hiki ni hadithi ya kweli kuhusu Julie Ward, msichana wa Kiingereza aliyeuawa nchini Kenya mwaka 1988. Julie alikuwa mpenzi wa wanyama na alifanya kazi ya kupiga picha za wanyama katika Hifadhi ya Masai Mara. Siku moja, aliondoka Nairobi kwenda kufanya kazi yake, lakini hakurudi tena...
  6. JamiiForums Tanzania Mmeona video ya Mtanzania muuza karanga akifanyiwa unyasasaji nchini Kenya? SASA HII IMEKUWA TOO MUCH!

    Inasikitisha sana ni namna gani siasa zinaweza kutenganisha watu
  7. JamiiForums Tanzania Kenya yatupwa nje michuano ya CHAN 2024 na Madagascar kwa Mikwaju ya Penati 3-4

    Mchezo wa Robo fainali kati ya Kenya na Madagscar umemaliza kwa magoli 1-1 na sasa kinachosuburiwa ni muda wa ziada (Extra time) yaani dakika 30 za hatma baada ya hapo itakuwa mikwaju ya penalty endapo kama matokeo yatabaki yalivyo. Alphonce Omija 55' Fenohasina Razafimaro 69'
  8. JamiiForums Tanzania Kwa hali iliopo nchini Kenya ni basi tu wananchi hawana silaha za moto.

    Sasa hivi kinacho tofautisha mamlaka ya police na vijana wa kenya ni miguu ya kuku tu, maana hawa vijana mahala popote wanafika huku wakiwa tayari kiwatokee chochote. Spirit ya mau mau ipo ndani yao, historia ya machafuko hata baada ya uhuru imetengeneza jadi ndani yao, thus kenya haitakaa...
  9. JamiiForums Tanzania Sijajua wa Kenya wanawashwa nini na wa Tanzania

    SIJAJUA WA KENYA WANAWASHWA NINI NA WATANZANIA Hivi kwanini wa Kenya wanapenda sana mashindano na wa Tanzania kila kitu wanataka kujilinganisha na sisi , hivi wa Kenya hawana majirani wengine. Wa Kenya ni washari sana ndioomaana nchi yao haina utulivu Nimepata majibu wanajua Tanzania ni...
  10. JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa Kenya walisema Tundu Lissu sio mtu wa kawaida

    Na Emily Mwakilembe Mungu huzawadia Dunia watu au Viumbe waliobeba kusudi la kuikomboa Jamii au Watu wake, Huwezi kumuona Mungu kwa Macho yako lakini Mungu huonekana kupitia Watu waliobebeshwa jukumuu la kusudi lake. Kasome Mt 2:1-23 SUV. Tundu Lissu anaweza kututafakarisha sana!! Je Lissu ni...
  11. JamiiForums Tanzania TBL na Serengeti tutengenezeeni local ciders(Savannah) za Tanzania kama Kenya

    Kama ni soko la cider Tanzania tayari liko kubwa sana kwa sababu karibia wadada wote wa mjini kila ukiwagusa kinywaji wanachotaka kwanza ni Savannah, hata wakaka wa mjini wengi tu wanapenda Savannah. Kama ni apples za kutengenezea cider zimejaa tele Njombe na Lushoto, mkitaka mtaletewa za...
  12. JamiiForums Tanzania Hongera Kenya kwa kutinga hatua ya robo fainali ya CHAN

    Wote tuliguna pale makundi ya CHAN yalivyotangazwa. Kenya alipangwa kundi ambalo tulidhani asingetoboa ila mwisho wa siku ameshinda mechi mbili akiwa anacheza pungufu na kamaliza hatua ya mwanzo kwa kuongoza kundi. Kenya wanacheza pia kiufundi. Hawachezi tu jihadi, unaona kabisa wanacheza...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mwansiasa Kenya ashauri EAC isijikite katika Biashara tu ifike hatua kuwatenga wale wasiofuata utawala wa sheria na demokrasia

    GT Naona kaamuamua kupiga dongo. Baadhi ya viongozi kiaina.. anasema hakuna maana yakuwa na ushirikiano na watu wakandamizaji wa demokrasia. === During the EALA games opening ceremony, Mombasa senator Omar Hassan took stage and urged East African leaders to fight for common standard and strive...
  14. JamiiForums Tanzania Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Kwakuwa hata Ibada ya Katoliki niliyohudhuria hii leo inasema kuhusu Mtume Jeremiah alivyochukiwa na kuadhibiwa kwa kuwa Mkweli hata Mimi GENTAMYCINE kama kawaida yangu ya kuwa Msema Ukweli Maishani na hapa JamiiForums kwa kujiamini kabisa nasema Taifa Stars bado si timu Shindani CHAN 2024...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Kenya inapendwa na wazungu ilihali tumezidi vivutio?

    Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm...
  16. JamiiForums Tanzania Utofauti ambao niliuona Kati ya Tanazania na Kenya katika Maisha ni huu hapa

    Kwanza nchi za EA .au nchi za jangwa la Sahara ni Kama viongozi wao walizaliwa na Mama mmoja . Ila zipo tofauti ndogo ,ndogo ambazo niliziona Tz Wakenya wapo Mbele ya muda kwenye Upande wa teknolojia ,kuliko kenya. Nidhamu ya muda , wakenya wanajali Sana muda , hata ukitokea msiba wanaweza...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Idadi ya walipa Kodi kenya waliosajiliwa ni milion 7 TZ NI MILION 1.5

    Ewe Kenya utatuburuza mpaka lini?
  18. JamiiForums Tanzania CAF yasimamisha uuzaji wa tiketi za mechi za CHAN katika uwanja wa Kasarani Kenya

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limepiga marufuku uuzaji wa tiketi kwa mechi ijayo ya CHAN 2024 kati ya Kenya na Zambia kwenye Uwanja wa Kasarani kufuatia machafuko na madai ya utapeli. Haya yanajiri muda mfupi tu baada ya CAF kulitoza Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) faini ya Ksh...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunakwama wapi? Milion 1 ya Kenya ni sawa milion 20 ya Tanzania, haya ni maajabu

    Uhuru tumewatangulia. Ardhi yetu kubwa, watu tunawazidi, rasilimali tunawazidi. Sasa iweje watupige fimbo hivi kwenye uchum? Ina maana wanatuzidi akili ama nini?
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe Kenya kwa upande wa viwanja vya mpira wametuzidi?

    Niko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana. Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…