Kenya, EU, USA, SA, Zambia, Malawi watusaidie kwenye kubadilisha madaraka Tanzania. Tanzania tunahitaji wana demokrasia kutusaidia kuungana na zaidi ya 70%-80% wanaotaka mabadiliko ya uongozi na katiba kwa njia zote zinazowezekana.
Ikishindikana kwa Aamani hata kwa kijeshi maana hata jeshini...