kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Railways adds more SGR train coaches to meet high demand

    Kenya Railways has announced that it will add five more coaches to the Standard Gauge Railway (SGR) passenger train that shuttles between Nairobi and Mombasa to cater for the rise in passenger numbers in the festive season. The extra coaches that will cater to both economy and first-class...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Under Construction: Kenya: KSH 50 Billion Lukenya Hills Development 8,800 affordable housing units

    ----- NAIROBI, Dec. 6 (Xinhua) -- Kenyan President Uhuru Kenyatta on Friday launched 8,800 housing units on the outskirts of the capital Nairobi that were developed through a partnership with the United Nations Office for Project Services (UNOPS) to cater for low and middle income earners...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jengo laanguka Kenya

    BREAKING NEWS: Jengo la ghorofa sita limeanguka asubuhi ya leo katika eneo la Embakasi jijini Nairobi, huku watu kadhaa wakihofiwa kunaswa chini ya kifusi cha jengo hilo. Shughuli za uokoaji zinaendelea huku baadhi ya majeruhi wakikimbizwa hospitalini kwajili ya matibabu Ripoti nchini Kenya...
  4. JamiiForums Tanzania Yesu wa Tongareni Kenya

    Katika kijiji cha Luhohwe kilichopo jimbo la Bungoma magharibi mwa Kenya anapatikana mwanaume anayejulikana kama 'Yesu' wa Tongareni. Maisha yake yalikuwa ni ya kawaida hadi ilipofika mwaka 2009 ambapo anadai Mungu alimjia na kumpatia jina Yesu, na kuanzia siku hiyo hapaswi kuitwa au kutaja...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Journalists Exposing Corruption in Kenya

    The Journalists Exposing Corruption in Kenya "Our goal is to show Africa as it really is: The good, the bad, the ugly, the potential," says John Allan Namu, an investigative journalist in Nairobi, Kenya. He co-founded Africa Uncensored, an investigative journalism collective that works to...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mafuriko Kenya: Msichana afariki akijaribu kumuokoa mwanaume

    Waokoaji nchini Kenya wameuopoa mwili wa kijana mmoja aliyekufa maji alipokuwa akijaribu kumuokoa mwananume ambaye alikuwa akiomba usaidizi alipokuwa akivuka mto uliokuwa umefurika . Anna Nduku mwenye umri wa miaka 19 alianguka katika mto Kandisi karibu na eneo la Ongata Rongai , viungani vya...
  7. JamiiForums Tanzania Kenya wateta unafiki wa Profesa Kabudi kuipa Kenya kisomo dhidi ya ukabila

    Kinaya kwa Tanzania kuipa Kenya kisomo dhidi ya ukabila Majuzi katika kongamano la kitaifa la mchakato wa kuunganisha nchi al maaruf BBI (Building Bridges Initiative) kule Bomas, Nairobi kulizuka mgeni wa nchi jirani aliyehutubu na kuacha maswali mengi kwa wadadisi wa kisiasa. Bwana huyu ni...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani imeshika nafasi ya kwanza kwa nchi yenye roho nzuri Dunani. Kwa Afrika, Kenya, Zambia na Sierra Leone zaongoza kuwa na roho nzuri

    Taasisi ya Charities Aid Foundation ya Uingereza imeitaja Marekani kama nchi yenye roho nzuri (most generous country) Duniani, ikifuatiaa na Myanmar na New Zeeland huku nchi zenye watu wachoyo zaidi ikiwa ni China, Yemen na Ugiriki. Kwa Afrika nchi kama Kenya, Zambia na Sierra Leoni zikishika...
  9. JamiiForums Tanzania Siagi ya karanga kutoka Kenya yapigwa marufuku Afrika Mashariki

    NCHI za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimepiga marufuku uingizaji, usambazaji na uuzaji wa bidhaa za siagi, zilizotengenezwa kwa karanga kutoka Kenya. Zimepigwa marufuku kutokana na bidhaa hiyo, kubainika kuwa na vimelea hatarishi kwa afya za walaji. Kwa mujibu wa Shirika la Viwango...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvua yaendelea kuipiga Kenya

    Kenya inapambana na mafuriko na mvua kubwa iliyoanza mwezi uliopita. Idara ya utabiri wa hali ya hewa imetahadharisha kuwa hali hiyo itaendelea kushuhudiwa hadi wakati wa msimu wa Krismasi. Kitengo cha kupambana na majanga ya kitaifa kinaeleza kuwa watu wasiopungua 130 wamefariki baada ya...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Letter from Africa: Is Kenya building bridges to nowhere?

    Violence broke out when the results of the October 2017 election were announced In our series of letters from African writers, journalist Waihiga Mwaura asks whether Kenya's divides can ever be bridged. Twenty-one months ago, Kenya's opposition leader Raila Odinga and his bitter rival...
  12. JamiiForums Tanzania Lissu azuru Kenya, asema hataki wala hajawahi kutaka kuishi uhamishoni

    Haya ameyaongea leo Bwana Tundu Lissu hii leo kupitia chaneli ya KTN Kenya! Amewashukuru sana wakenya kwa kujitolea kumchangia damu! VIVA TUNDU! Baada ya miaka miwili tangu kupigwa risasi, Tundu Lissu amsema amefika Nairobi kwakuwa hali yake ya kiafya imetengemaa, na kwamba madaktari wake...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi ahudhuria hafla ya uzinduzi ripoti ya BBI nchini Kenya inayopendekeza uwepo wa cheo cha Waziri Mkuu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    Waziri wa mambo ya nje Prof. Kabudi amehudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti ya Building Bridge Initiatives (BBI) nchini Kenya ambayo imehudhuriwa na viongozi wote wakuu wa Jamhuri ya Kenya. Miongoni mwa mapendekezo ya BBI ni haya: 1. Uwepo wa cheo cha Waziri mkuu ambaye ni lazima awe Mbunge wa...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana wa Kenya auawa akiwa katika sherehe Mjini London

    A Kenyan family in the United Kingdom is mourning the death of their son, who was stabbed to death in East London on Saturday. Randy Mugo, 27, was knifed at a friend’s house party after what started as a row over a spilt drink. The scuffle degenerated into a quadruple stabbing, which left him...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Iko Imara

    What makes Nairobi Africa's 'most intelligent' city by Alex Court, for CNN Story highlights Nairobi is the only African city to make it to the world's top21 "intelligent communities" The Kenyan capital, however, missed out of the top seven finalists CNN Marketplace Africa covers the macro...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Ranks 12th in Sub-Saharan Africa in 2019 Prosperity Index

    by Mwakaneno Gakweli November 26, 2019 Kenya has ranked 12th in Sub-saharan Africa and 113th in the world in the recent Legatum 2019 Prosperity index. The country’s 2019 performance dropped from 2018’s 112th position. Nevertheless, Kenya showed improvement in market access and...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dualization of Kenol-Sagana-Marua road in Kenya.

    Preparations for dualing of the Kenol-Sagana-Marua road in Central Kenya are now complete and construction works are expected to commence any time soon. Transport CS James Macharia said the dual carriage road will be done in two phases, one from Kenol to Sagana and the other from Sagana to Marua...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Demokrasia Tanzania yazidi kukita mzizi, Kenya tupate funzo gani hapa?

    HAPA KAZI TU, ASILIMIA MIA BIN MIA....!!!!! UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: CCM YASHINDA KWA ASILIMIA 99.9 - Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo ametangaza kuwa CCM imeshinda Vijiji 12,260 sawa na 99.9% - Pia, kimeshinda Mitaa 4,263 sawa na 100% na kikishinda Vitongoji 63,970 sawa na 99.4% Soma...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wa Kenya wadhihirisha ulegevu wao

  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya gets two design options for Lamu crude pipeline project

    Kenya gets two design options for Lamu crude pipeline project theeastafrican.co.ke Nov 24, 2019 9:09 AM A truck loaded with crude oil enroute to Mombasa from the oilfields in South Lokichar A truck loaded with crude oil en route to Mombasa from the oilfields in South Lokichar. FILE PHOTO | NMG...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…