kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trump azipiga lock nchi zote Africa kasoro 1 tu. Trade deal na Kenya is laughable

  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya vs Tanzania vs Ethiopia statistics

    This video compares some of the countries in Eastern Africa using their GDP Nominal, GDP Per Capita and their total Population. This video is based on data gotten from World bank, Imf and Wikipedia from 1960 to 2020.
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Ranked Top in Tax Reform Report by OECD

    Kenya was on Thursday, July 9, ranked among leading countries fostering tax reforms for economic growth in a global report on corporate taxation. The report commissioned by the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD) singled out Kenya as one of the global jurisdictions...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ipo kwenye hatua za mwisho za mazungumzo ya kufungua soko lote la USA kwa bidhaa za Wakenya

    Huu mkataba utakua wa kwanza baina ya Marekani na taifa la ukanda huu wa Sahara, ikumbukwe Marekani ndio ya tatu kwenye soko la bidhaa zetu na sasa inafungua soko lote wazi kwa ajili yetu. Ni muda wa kuchangamkia mbele kwa mbele, takwimu zinasema yaani hata tukipata asilimia tano tu (5%) ya...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya matunda kutoka Kenya kwenda Ulaya yazidi kunoga kwenye kipindi cha Corona

    Yaani haijatokea tena kwenye historia kipindi ambacho mauzo yetu ya matunda Ulaya kuwa kiasi hiki, yaani Mkenya ni king'ang'anizi kwenye kila hali. Hongera sana "bandugu" ====== Horticulture shrugs off Covid-19 to earn Kenya Sh72bn in five months By GERALD ANDAE Earnings from...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jukwaa linahusu Kenya lakini waanzisha thread karibia wote ni wa TZ

    Wakuu, nimetafakari sana baada ya kupitia threads za kwenye jukwaa hili. Utakuta waanzilishi wa threads zilizo nyingi ni wa TZ badala ya wakenya. Hii imekaaje? Tujadiliane.
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaanza kutumia ‘internet balloons’ na kuwataka watu kutumia 4G

    Rais Uhuru Kenyatta amezindua ‘Loon Internet Balloons’ ambayo yatazipa kasi za 4G simu zote nchini humo. Hii ni baada ya kampuni ya Telkom ya Kenya kuingia Ubia na kampuni ya Alphabet Rais Kenyatta amewataka raia wake kutumia fursa hiyo kukukuza shughuli zake za kiuchumi. Teknolojia hii iliwahi...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Kenya-Loita yakumbwa njaa baada ya mpaka wa Tanzania na Kenya kufungiwa

  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gatuzi/kaunti ya Murang'a yaanza ujenzi wa hospitali kubwa ukanda huu kwa ajili ya saratani - maendeleo kote Kenya, nje ya Nairobi

    Kila siku tunalisema hili, miji yote Kenya inapiga hatua za kimaendeleo utadhani wameingiwa na ukichaa fulani, yaani Nairobi inapigwa ushindani mkali sana. Construction of a specialized cancer and research hospital has kicked off in Murang’a County. The facility, estimated to be constructed...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Airways (KQ) State Buyout

    KQ shares suspended from Trading at the NSE pending imminent state buyout!!! Current shareholding structure: Suspension of trading at the NSE: My two cents: Its a necessary evil. The commercial banks and minority shareholders will loose money in the transaction but then again, KQ is a...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania's bus terminal is as Kenya's Jomo Kenyatta lnternational Airport

    Former Dodoma Bus stage before renovation [Source/Courtesy] On July 1, 2020, President John Pombe Magufuli announced that Tanzania had been listed as a middle-income country. Describing the announcement as 'historic achievement', Magufuli congratulated Tanzanians, adding that he had set goals...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapunguza viingilio vya utalii ili kufufua sekta ya utalii iliyoathiriwa sana na Corona

    Kenya jana imetangaza kupunguza ada za kuingia mbuga kuu za wanyama pori kwa watalii kutoka ndani na nje ya nchi hiyo ili kuhimiza sekta ya utalii iliyoathiriwa sana na janga la COVID-19. Taarifa iliyotolewa na Shirika la huduma za Wanyamapori nchini Kenya (KWS) limesema hatua hiyo itadumu kwa...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya receives World Travel and Tourism Council Safe Travel Stamp

    Kenya joins Egypt and Tunisia in being certified as a safe tourist travel destination. Only the three countries in Africa have been certified as safe for tourists who want to travel. The announcement was made by Cabinet Secretary for Tourism and Wildlife Najib Balala during the unveiling of the...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaani Kenya ipo desperate na mambo ya Tanzania mpaka inashangaza

    Inashangaza kiukweli, Hakuna media ya Kenya iliyoripoti kuhusu Tanzania kuingia kwenye kundi la MIC ila media zao zipo busy kutafuta negative news about us au plotting fake worse news on us. Kutokana na kukaukiwa kabisa kwa habari mbaya na potofu kuhusu Tanzania, walivyo wapumbavu wamekuja na...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania United States to pump Kes 5 billioni into Kenya economy

    The American ambassador to Kenya, Ambasador Kyle McCarter has announced that the United states will pump kes 5 billion into the Kenyan economy to support the health sector and to help in economic recovery. This will be the first of three planned injections of money into the Kenyan economy by...
  16. JamiiForums Tanzania Raia wa nchi 11 kutoka Afrika mbioni kuruhusiwa kuingia nchi wanachama wa EU kuanzia Julai baada ya nchi hizo kufungua mipaka

    Kwa mujibu wa Euronews orodha ya awali inaonesha raia wa nchi za Mozambique, Angola, Namibia, Ethiopia, Zambia, Rwanda, Uganda, Misri, Tunisia, Algeria na Morocco wataruhusiwa kuingia nchi za Umoja wa Ulaya (EU) Inaelezwa huku Ulaya ikiwa inajiandaa kufungua mipaka, Maafisa wa nchi hizo...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: A hub of medical personal protection equipment manufacturing

    Over 95 local manufacturers have been trained on quality development of PPEs by McKinsey & Company, with funding support from the UK Department for International Development (DFID), as part of a partnership with the Ministry of Trade, Industry and Enterprise Development (MoITED). The...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya and South Africa dominate Africa's private equity fund

    Kenya and South Africa dominate Africa's private equity fund Series A and Series B deals together accounted for 29 per cent of the total deal volume and 38 per cent of the total value of early-stage deals. In Summary Fintech and information technology dominated the African start-up scene, with...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanamke atuhumiwa kuwaua wanaye kwa sumu

    Mama mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Beatrice(42) amewaua wanae wanne kwa sumu, Mjini Naivasha Kenya. Watoto hao ni wana umri kati ya miaka miwili hadi minane Imedaiwa ya kuwa mwanamke huyo alikuwa amesimamishwa kazi kwenye Taasisi isiyo ya kiserikali, NGO mjini humo miezi miwili iliyopita...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini majirani zetu na Washirika (Kenya, Uganda na Rwanda) COVID-19 inazidi tu kuwatesa lakini Tanzania wala hatuna habari nayo?

    Je, 1. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana duniani kuliko nyinginezo? 2. Tanzania ina Raia ambao wana Kinga za Mwili Kali sana? 3. Kenya, Uganda na Rwanda hakuna CORONA kihivyo ila wanazidisha tu Idadi 24/7 ili wapate Pesa za IMF na WB? 4. Ile Sindano ya NDUI tuliyoipiga miaka ya 80 wakati wana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…