kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: A hub of medical personal protection equipment manufacturing

    Over 95 local manufacturers have been trained on quality development of PPEs by McKinsey & Company, with funding support from the UK Department for International Development (DFID), as part of a partnership with the Ministry of Trade, Industry and Enterprise Development (MoITED). The...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya and South Africa dominate Africa's private equity fund

    Kenya and South Africa dominate Africa's private equity fund Series A and Series B deals together accounted for 29 per cent of the total deal volume and 38 per cent of the total value of early-stage deals. In Summary Fintech and information technology dominated the African start-up scene, with...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanamke atuhumiwa kuwaua wanaye kwa sumu

    Mama mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Beatrice(42) amewaua wanae wanne kwa sumu, Mjini Naivasha Kenya. Watoto hao ni wana umri kati ya miaka miwili hadi minane Imedaiwa ya kuwa mwanamke huyo alikuwa amesimamishwa kazi kwenye Taasisi isiyo ya kiserikali, NGO mjini humo miezi miwili iliyopita...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini majirani zetu na Washirika (Kenya, Uganda na Rwanda) COVID-19 inazidi tu kuwatesa lakini Tanzania wala hatuna habari nayo?

    Je, 1. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana duniani kuliko nyinginezo? 2. Tanzania ina Raia ambao wana Kinga za Mwili Kali sana? 3. Kenya, Uganda na Rwanda hakuna CORONA kihivyo ila wanazidisha tu Idadi 24/7 ili wapate Pesa za IMF na WB? 4. Ile Sindano ya NDUI tuliyoipiga miaka ya 80 wakati wana...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukahaba Kenya: Licha ya Corona, Biashara inaendelea sasa mchana kweupe (Video)

    Wakenya humu huwa na tabia za kusingizia mataifa mengine eti wanawaletea Corona kumbe Nairobi wadau wanaendelea kunyanduana huku wakupumuliana na kumwagiliana Ute ulio jaa Corona. Lakushangaza ni kwamba hawa makahaba hautasikia serikali inawapima corona, Madereva wa kutoka nchi jirani eti ndio...
  6. JamiiForums Tanzania Kenya KANU ndiyo ipo madarakani, Upinzani Afrika bado sana

    Great thinkers, Nadhani kila mmoja sasa anaelewa kwamba Vyama vya Upinzani havifai kabisa kupewa kuongoza nchi. Kenya mwanzo wakachagua wapinzani, baadaye wapinzani wakagombea madaraka mpaka kuuana, wakaamua kumchagua Uhuru Kenyata kwa kusema “turudi nyumbani kumenoga”. Kwa hilo somo...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: CUEA (Catholic University Of East Africa) Wins ICC Moot

    Our Faculty of Law has scooped the Best Regional Memorial for Africa Award at the just concluded 2020 edition of the ICC Moot Court Competition. The competition which brought together 71 teams from 50 different countries is organized by the Grotius Centre for International Legal Studies and...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yarekodi ongezeko kubwa la matumizi kwa "burudani/sherehe" za Ofisi ya Rais, lengo la ukusanyaji kodi 2019/20 lashindwa kufikiwa

    Ofisi za Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wa Rais William Ruto zilitumia KSh1.18 bilioni kwa sherehe na maadhimisho mbali mbali, katika miezi tisa iliyopita hadi Machi 2020; hii ikiwa ni ongezeko la Sh422 milioni kutoka kipindi kama hicho kilichopita mwaka jana. Kulingana na taarifa zilizotolewa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Tanzania tuliipigia kura Kenya Baraza la Usalama UN. Wametushukuru, nasi tumewaambia hapana ule ni wajibu wetu kama ndugu!

    Prof Kabudi amesema Tanzania iliipigia kampeni na hatimaye kura ndugu zetu Kenya kuwa mjumbe katika baraza la usalama la UN. Kabudi amewataka watanzania kupuuza uzushi wa wapinzani kwamba hatukuiunga m!ono Kenya. Source ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukabila Kenya: Mgawanyo wa Wizara za Kenya kulingana na Makabila

    Kikuyu everywhere mwaswast MK254 Geza Ulole
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Most powerful countries in the world: Kenya is number 3 in Africa and 52 in the world

    The world’s most powerful countries also are the ones that consistently dominate news headlines, preoccupy policymakers and shape global economic patterns. Their foreign policies and military budgets are tracked religiously. When they make a pledge, at least some in the international community...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya itahitaji kutumia miaka 94 kumaliza kupima Corona

    Mpaka Sasa Kenya yenye watu 53,731,953 imeshapima Corona kwa watu 142,366 kwa miezi 3 iliyopita. Kwa hiyo Ina uwezo wa kupima watu 47,455 kwa mwezi. Kwa hiyo itahitaji miezi 1,132 kuweza kuwapima wakenya wote ambayo ni sawa na miaka 94! Kwa hiyo mabeberu Wana uhakika wa kuendelea kuwanyonya...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Visa 59 vya Corona vyaongezeka nchini Kenya, Jumla ya idadi ni 4797

    Serikali ya Kenya imetangaza visa vipya 59 vya maambukizi ya virusi vya corona. Hayo yalisemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya nchini Kenya Dr. Mercy Mwangangi ambapo alifananua kuwa idadi hiyo imepatikana baada ya kupima sampuli 2354 na kupungua kwa idadi ya visa vipya haimaanishi kuwa ugonjwa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Kenya italeta manufaa gani kwa Afrika baada ya kujipatia kiti katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa?

    Kenya imepata kiti muhimu cha uanachama usio wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya kuishinda Djibouti katika awamu ya pili ya kupiga kura Alhamisi. Hii inamaanisha kuwa kuanzia Januari 2021, Kenya itarejesha uwepo wake utakaodumu kwa miaka miwili katika asasi hiyo ya...
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya itajinasuaje kwenye mtego wa mabeberu wanaojitajirisha kwa kutumia COVID-19?

    Kenya imenaswa kwenye mtego wa Corona. Wazungu wameamua kutumia COVID-19 Kama kitega uchumi. Wakikukopesha pesa wanakulazimisha uzitumie kupima COVID-19. Test kits ni za gharama Sana, Wana uhakika wataikamua Kenya kwa miaka mingi ijayo. Mpaka Sasa haijapima hata watu laki nne!. Je, itachukua...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Kenya walivyojipanga kuichafua Tanzania

    Kwa muda mrefu Wakenya wamekuwa wakitumia mwanya wa upole na ukarimu wa Tanzania kuwazunguka katika mambo mengi sana, ukizingatia Tanzania walikua wanaichukulia kenya kama taifa jirani na ndugu lakini kumbe wenzao walitumia mwanya huo kuwazunguka katika mambo mengi hasa ya kiuchumi. Kama...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati Corona ikipamba moto, zaidi ya wagonjwa 500 nchini Kenya waruhusiwa kwenda nyumbani kujitibu

    Kutokana na taarifa iliyotolewa leo na Waziri wa Afya nchini Kenya leo tarehe 21/06/2020, Kenya imerekodi visa 260 vipya vya maambukizi ya virusi vya Corona na kupelekea jumla idadi ya maambukizi kuwa 4,738. Idadi hii ya maambukizi inavunja rekodi ya idadi ya maambukizi mengi kutangazwa kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Zitto: Ni aibu na unafiki mkubwa wa Kidiplomasia tunaacha kuipigia kura Kenya mwana jumuiya mwenzetu wa EAC na kuipa Djibouti kura ya UN kupata kiti

    Sitaki kuamini kama ni kweli Tanzania @foreigntanzania imeipigia kura Nchi ya Djibouti dhidi ya Nchi mwanachama wa EAC Jumuiya Jamhuri ya Kenya. Kenya ni chaguo la AU @_AfricanUnion iweje Tanzania ikengeuke? Serikali inapaswa kutoa maelezo ya kina kuhusu hili. Ni tatizo kubwa
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania finally surrenders to Kenya on the testing dispute at the border

    Just like I have been saying, Tanzania doesn`t have any weight that can shake Kenya. With all the noise and hullabaloo they made in their country sometimes back, they have realized the truth and accepted that drivers to be tested by Kenyan authorities. This shows how powerful Kenya is towards...
  20. JamiiForums Tanzania Tukumbushane tulikotoka kama nchi kuhusu Kenya

    Jamani zamani TBC ikijulikana kama radio Tanzania ilikuwa haipatikani maeneo mengi ya nchi badala yake ilikuwa rahisi kuipata KBC kwa hiyo wasanii na watangazaji wa Kenya wakawa maarufu sana kuliko as Tanzania. Akina mahoka, vipindi vya huu sio uungwana, kina baraza, etc. Na bidhaa zao sabuni na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…