Tanzania finally surrenders to Kenya on the testing dispute at the border

Teargass

JF-Expert Member
Apr 23, 2018
19,160
15,428
Just like I have been saying, Tanzania doesn`t have any weight that can shake Kenya. With all the noise and hullabaloo they made in their country sometimes back, they have realized the truth and accepted that drivers to be tested by Kenyan authorities. This shows how powerful Kenya is towards her younger brother(Tanzania) and the standoff affects Tanzania more than Kenya.

========

Tanzania, Kenya agree to end cross-border trade spat

In Summary
  • Flow of goods between the two countries had been adversely affect-ed by measures intended to contain spread of the Covid-19 pandemic.
By Mussa Juma &Burhani Yakub

Arusha/Tanga. Tanzania and Kenya have reached an agreement that will see to them facilitating free movement of goods across their common border, the Covid-19 pandemic notwithstanding.

The two countries will now conduct coronavirus testing for truck crews at their common border, a departure from the May agreement whereby testing was to be done at the point of departure.

Flow of goods between the two countries had been adversely affect-ed by measures intended to contain spread of the Covid-19 pandemic.

Last month, the two countries’ transport ministers held a one-day meeting and resolved that truck crews from both sides will be tested for Covid-19 before commencement of their journeys at the point of origin using standards set by the World Health Organization (WHO).

They agreed that the tested truck drivers would be issued with a 14-day Covid-19 free certificate by competent authorities, which should be mutually recognized by authorities in Kenya and Tanzania.

However, that agreement was short-lived as, some days later, mistrust erupted once again that saw to the authorities refusing to recognize the 14-day Covid-19-free certificates issued by another country.

But Longido District Commissioner Frank Mwaisumbe yesterday said that leaders have resolved that Tanzanian truck crews crossing the Namanga border to Kenya would now be tested by Kenyan authorities - and vice versa.
The new agreement was reached after a meeting that involved Arusha Regional Com-missioner Mrisho Gambo, Tanzania Revenue Authority officials and some senior officials from Kenya.

He said that, under the new arrangements, truck crews will be allowed to proceed with their journey even without having received their Covid-19 test results.

“While returning, they would pick up their results - and proceed home. In short, they would no longer be denied entry into either country due to Covid-19 test results. They will, however, be required to take all precautions against Covid-19,” he said.

One of the drivers who had been stranded at the border for some time, Joseph Naiman, commended the move.
“This is quite commendable. We have left for our destination in Kenya and no driver has been denied entry since yesterday,” he said.

Meanwhile, Tanga Regional Commissioner Martine Shigela issued three directives yesterday that must be followed by truck owners, businesspeople and drivers when the Horohoro border between Tanzania and Kenya is officially opened.

Source:
The Citizen
 
Hawa tusicheke nao tena, kwanza jinsi wameamua kuangukia pua kwenye kura ya UNSC kwa kwenda pamoja na Waarabu na kinyume cha SADC na EAC, tulale nao mbele kwenye kila kitu, wamedhihirisha sio watani ila watu wenye roho nyeusi za kiajabu ajabu full uchawi, tusimamie kwa ukali chochote kinawahusu.

Kila anayeng'ang'ania kuingia Kenya kwa njaa zao lazima apimwe apimwe na apimwe. Tanzania ya leo imeshindwa diplomasia kabisa, yaani wapo hovyoo na kuwa aibu Afrika.
 
Niliambia joto la jiwe kuwa Tanzania haiezisimama na Kenya bega kwa bega. Hilo limeonekana kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania ambapo viongozi wa Tanzania wamekubali kufuata matakwa ya Kenya na kuacha kuwatetea madereva wao.
 
For sure I never knew their hate towards Kenya was that strong until today. I thought all were just jokes na kuchomeana kumbe there is something behind the curtains that Kenyans don`t know.
 
Wivu wao hutokanaa na kwamba wameshindwa kuifikia Kenya kwenye kila kitu, they are getting really frustrated and it's manifesting in so many ways.
 
For sure I never knew their hate towards Kenya was that strong until today. I thought all were just jokes na kuchomeana kumbe there is something behind the curtains that Kenyans don`t know.
Your elites know that something behind, ni nyinyim makanjanja ndio hamjui, and it has been like that since nyerere era. Hakuna jokes.

Abt the article, inasema, drivers will enter with or without covid 19. Sasa matakws yepi hayo unaona mmeshinda, mtawapima Kenya, wataingia Kenya bila majibu hao hadi 14 days ndio watapata majibu hao after entering Kenya, so it means hata akiwa na covid19 ataruhusiwa tu, sasa ni upuuzi gani huu unakuja shangilia humu. Did u read the article. Nyie ni wajinga sana joh, kuzuia movements usiku, sasa mnaruhusu madereva waingie tu hata kama wana corona.
Failed hopeless country
 
Hawa tusicheke nao tena, kwanza jinsi wameamua kuangukia pua kwenye kura ya UNSC kwa kwenda pamoja na Waarabu na kinyume cha SADC na EAC, tulale nao mbele kwenye kila kitu, wamedhihirisha sio watani ila watu wenye roho nyeusi za kiajabu ajabu full uchawi, tusimamie kwa ukali chochote kinawahusu.

Kila anayeng'ang'ania kuingia Kenya kwa njaa zao lazima apimwe apimwe na apimwe. Tanzania ya leo imeshindwa diplomasia kabisa, yaani wapo hovyoo na kuwa aibu Afrika.
Kauli hiyo unatakiwa uwe na chakula,njaa tupu halafu unajitutumua mitandaoni
Tumetumia haki yetu kama nchi huru,tatizo lipo wapi?
Mbona nyie mlitumia haki yenu kufunga mpaka?
Mnapoteza muda wenu tu kuitukana Tanzania,haitabadilisha chochote
 
Niliambia joto la jiwe kuwa Tanzania haiezisimama na Kenya bega kwa bega. Hilo limeonekana kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania ambapo viongozi wa Tanzania wamekubali kufuata matakwa ya Kenya na kuacha kuwatetea madereva wao.
Hizo ni propaganda na ujinga wa magazeti yenu ya Kenya yanaendelea kuwadanganya, ukweli ni huu hapa, hakuna dereva hata mmoja anayepimwa, ulizeni Madereva wa Tanzania huko Kenya kama wanapimwa.

Kauli hiyo unatakiwa uwe na chakula,njaa tupu halafu unajitutumua mitandaoni
Tumetumia haki yetu kama nchi huru,tatizo lipo wapi?
Mbona nyie mlitumia haki yenu kufunga mpaka?
Mnapoteza muda wenu tu kuitukana Tanzania,haitabadilisha chochote

Mumejichokea maskini nyie, tena Sub-Saharan Africa imewapa za uso maana mumeachwa wenyewe mkilamba waarabu.
 
Yani huyu mpuuzi wa kunyaland anashadadia ufala yani kwao huo ndo ushindi kinachotakiwa ni takwimu mpeleke kwa wazungu waliowapatia pesa ndo maana kuwa mgonjwa sio ishu ishu ni takwimu shenzi hawa
Your elites know that something behind, ni nyinyim makanjanja ndio hamjui, and it has been like that since nyerere era.
Hakuna jokes.

Abt the article, inasema, drivers will enter with or without covid 19. Sasa matakws yepi hayo unaona mmeshinda, mtawapima Kenya, wataingia Kenya bila majibu hao hadi 14 days ndio watapata majibu hao after entering Kenya, so it means hata akiwa na covid19 ataruhusiwa tu, sasa ni upuuzi gani huu unakuja shangilia humu. Did u read the article. Nyie ni wajinga sana joh, kuzuia movements usiku, sasa mnaruhusu madereva waingie tu hata kama wana corona.
Failed hopeless country
 
Yani huyu mpuuzi wa kunyaland anashadadia ufala yani kwao huo ndo ushindi kinachotakiwa ni takwimu mpeleke kwa wazungu waliowapatia pesa ndo maana kuwa mgonjwa sio ishu ishu ni takwimu shenzi hawa
Worse enough ni fake news
 
Hizo ni propaganda na ujinga wa magazeti yenu ya Kenya yanaendelea kuwadanganya, ukweli ni huu hapa, hakuna dereva hata mmoja anayepimwa, ulizeni Madereva wa Tanzania huko Kenya kama wanapimwa.

Halafu kitu wasicho kijua Tanzania haikurupuki kama Kenya ,haiwezekani ikatae baadae ije kukubuli Jambo hilohilo si TZ nayoijua mimi hata cku moja hijawahi kubadilisha msimamo wake upumbavu huo unaweza kufanywa na Kenya pekee ktk hapa E.A
 
Hizo ni propaganda na ujinga wa magazeti yenu ya Kenya yanaendelea kuwadanganya, ukweli ni huu hapa, hakuna dereva hata mmoja anayepimwa, ulizeni Madereva wa Tanzania huko Kenya kama wanapimwa.

Naona aibu imekushika vibaya sana hadi inakubudi ulete video za before the agreement. Nimekuambia madereva wa Tanzania tutakuwa tunapima Kenya, asiyetaka abaki kwao 😂 😂
 
Mumejichokea maskini nyie, tena Sub-Saharan Africa imewapa za uso maana mumeachwa wenyewe mkilamba waarabu.
Ethiopia hawajawapigia kura pia au wale sio majirani zenu?
Mnavyowashwawashwa na mambo ya Tz kutuchafua ndio mtegemee tuwape kura hamna sifa,mmeshinda lakini hatuhusiki na ushindi Huo kura zimewatosha lakini haijatoka Bongo!!
1.EGYPT
2.ALGERIA
3.MOROCCO
4.ETHIOPIA
5.TANZANIA
They said no vote to Nyang'au and that is
 
Umesoma vzur huo Uzi, hii inaonyesha jinsi Wakenya mnahitaji cases zenu zifike 20thou kwa haraka. Mnatamani kupima Hadi mijusi..upimaji huo haitasaidia kitu coz hakuna atakayekatazwa kucross Lisa majibu ya Covid.
Let me tell you one thing, Kenya won`t allow positive Tanzanian driver to cross into Kenya. Tushapima nguvu zenu tukapata hamna weight. So expect your drivers to start crying soon cause testing is a must in Kenya.
 
Back
Top Bottom