Visa vya #CoronaVirus nchini Kenya vyafikia 384 baada ya kutangaza visa vipya 10, leo Aprili 29, 2020. Watu 9 wamerekodiwa Mombasa na mmoja alirekodiwa mjini Nairobi
Idadi ya waliokufa kwa #COVID19 ni 14, huku wagonjwa 5, wamepona na kuruhusiwa kurudi nyumbani na kufanya idadi ya waliopona kuwa...