kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Jinsi Kenya walivyojipanga kuichafua Tanzania

    Kwa muda mrefu Wakenya wamekuwa wakitumia mwanya wa upole na ukarimu wa Tanzania kuwazunguka katika mambo mengi sana, ukizingatia Tanzania walikua wanaichukulia kenya kama taifa jirani na ndugu lakini kumbe wenzao walitumia mwanya huo kuwazunguka katika mambo mengi hasa ya kiuchumi. Kama...
  2. Wakati Corona ikipamba moto, zaidi ya wagonjwa 500 nchini Kenya waruhusiwa kwenda nyumbani kujitibu

    Kutokana na taarifa iliyotolewa leo na Waziri wa Afya nchini Kenya leo tarehe 21/06/2020, Kenya imerekodi visa 260 vipya vya maambukizi ya virusi vya Corona na kupelekea jumla idadi ya maambukizi kuwa 4,738. Idadi hii ya maambukizi inavunja rekodi ya idadi ya maambukizi mengi kutangazwa kwa...
  3. Zitto: Ni aibu na unafiki mkubwa wa Kidiplomasia tunaacha kuipigia kura Kenya mwana jumuiya mwenzetu wa EAC na kuipa Djibouti kura ya UN kupata kiti

    Sitaki kuamini kama ni kweli Tanzania @foreigntanzania imeipigia kura Nchi ya Djibouti dhidi ya Nchi mwanachama wa EAC Jumuiya Jamhuri ya Kenya. Kenya ni chaguo la AU @_AfricanUnion iweje Tanzania ikengeuke? Serikali inapaswa kutoa maelezo ya kina kuhusu hili. Ni tatizo kubwa
  4. Tanzania finally surrenders to Kenya on the testing dispute at the border

    Just like I have been saying, Tanzania doesn`t have any weight that can shake Kenya. With all the noise and hullabaloo they made in their country sometimes back, they have realized the truth and accepted that drivers to be tested by Kenyan authorities. This shows how powerful Kenya is towards...
  5. Tukumbushane tulikotoka kama nchi kuhusu Kenya

    Jamani zamani TBC ikijulikana kama radio Tanzania ilikuwa haipatikani maeneo mengi ya nchi badala yake ilikuwa rahisi kuipata KBC kwa hiyo wasanii na watangazaji wa Kenya wakawa maarufu sana kuliko as Tanzania. Akina mahoka, vipindi vya huu sio uungwana, kina baraza, etc. Na bidhaa zao sabuni na...
  6. Vilio vya njaa vinashamiri huko Mombasa, Kenya

    Jamaa wameanza kulia "ile chakula tunapeana iko wapi"? ====== Protestors from Bahati, Kibarani, and Kwa Punda close Kibarani road demanding relief food from Mombasa County. They say for the last three months they have not received anything despite having their names being registered
  7. UN Security Council election: South Africa supports Kenya

    South Africa is more reasonable than our immediate southern neighbours, wanajua the most important and economically strong country in East Africa as they confess; strategic for them and for the good of Africa. Hawana wivu, forward looking not backward thinking and negative like. Wanajijua...
  8. Kenya secures UN Security Council seat after defeating Djibouti

    Kenya secures UN SEAT After beating Djibouti Kenya garnerd 129 vs Djibouti 62 votes in the second round of voting. ======= Kenya on Thursday beat Djibouti to clinch the last African seat at the United Nations Security Council. Backed by the African Union, Kenya garnered 129 votes against...
  9. Kenya Mbele - United Nations Seat

    Kenya trounces #Djibouti for the African non-permanent member slot of the #UNSC #UNSCelections
  10. Kiongozi wa upinzani Kenya apimwa corona, yaani mwendo wa kupima kila mtu

    Vizuri sana Wakenya tunavyolishughulkia suala hili la corona, ushirikiano baina ya wanasiasa wote, hamna mikwara au matamko yenye kejeli, hakika tumeonyesha mfano wa kuigwa Afrika na duniani kote. Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amepima corona na kuagiza matokeo yatangazwe hadharani, hivyo...
  11. Nchi za Afrika Mashariki inabidi zijifunze demokrasia ya kweli kutoka kwa Wakenya

    This is how a small clique of families control Kenya - Kenya's Presidents Together Before 3 of Them Came into Power - Jomo Kenyatta (seated) served from 1963-1978. - Daniel Arap Moi (standing) served from 1978-2002. - Mwai Kibaki (bending) served from 2002-2013. - Uhuru Kenyatta (sitting...
  12. Kenya using Loliondo's Babu wa Kikombe plant to produce COVID19 cure

    Shirika la afya duniani who limeelezea wasiwasi wake kuhusu kasi ya maambukizi ya virusi vya corona barani afrika, huku idadi ikiendelea kuongezeka katika baadhi ya mataifa ya bara hili. Mikakati kadhaa inahitajika kuhakikisha bara hili linakwamua uchumi uliaoathirika na janga hili mbali na kuwa...
  13. Kenya: The King of Wind energy in the region and beyond (final turbine installed at Kipeto Wind Farm)

    Kipeto Wind Farm (100 MW): The final turbine was installed at Kipeto wind Farm on 8th of june 2020. Located at Esilanke area in the foothills of Ngong Hills, about 30 km southwest of Nairobi, the Kipeto wind power project is set to inject 100MW of energy into the grid by december 2020– making it...
  14. Kenya: UN endorses Big 4 Housing Agenda with investment In 10,000 affordable houses

    United Nations Office for Project Services (UNOPS) has invested Kes 5 billion in building 10,000 affordable houses(Habitat heights) for middle class Kenyans in the outskirts of Nairobi.First priority will be Kenyan UN employees who have retired, followed by current Kenyan employees in the UN...
  15. Wachina walilia serikali yao waondolewe Kenya

    Kama ilivyo kawaida ya kenya ile tabia yao ya kwamba kila kitu kinzuri ni cha kwao, hatimaye wamefanikiwa kuwapiku wachina, kwani wanadai ugonjwa wa corona umeanzia kwao na ni mali yao, na sasa hawauiti corona virus au Wuhani virus bali unaitwa Nairobi virus. Wachina bahada ya kugundua njama...
  16. Mauaji ya kikabila huko Kenya

    Hawa bado wana mambo ya kizamani sana. Eti ukabila bado unawafanya wanyukane mishale na kuuana. Halafu utawasikia oh mbona na huko Tanzania kuna fujo. Kizungu cha ugoko kingii lakini bado. ======= Ethnic killings in Marsabit County continue to intensify as four more people are killed today...
  17. Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi ipi yenye wasichana warembo zaidi?

    Kuna battle nimeiona sehemu fulani kati ya Wakenya na Watanzania kila upande ukijinadi kua na warembo wazuri kumshinda mwenzake, binafsi mimi mara yangu ya kwanza kufika Kenya nilipata shida sana kutofautisha kati ya mwanaume na mwanamke kwani wanawake wengi wa Kenya hawana tofauti na wanaume...
  18. Kenya: Bendera yapepea nusu mlingoti kuomboleza kifo cha Pierre Nkurunziza

    Rais Uhuru Kenyatta ameagiza bendera ya Kenya na ya Jumuia ya Afrika kupeperushwa nusu mlingoti kwa heshima ya marehemu Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kuanzia kesho Juni 13 hadi siku ya mazishi Rais Pierre Nkurunziza alifariki Juni 9 katika hospitali ya Karusi Fiftieth Anniversary baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…