One of kenya Police mitumbas chopper land crashed in Meru county

Afadhali sisi tuna ndege ambayo inaweza kuanguka. Nyie mna nini zaidi ya wheelbarrow?
 
Afadhali sisi tuna ndege ambayo inaweza kuanguka. Nyie mna nini zaidi ya wheelbarrow?
Hahahaha, kwahiyo mumeamua kununua vitu vya kizamani ili kuhatarisha maisha ya watu wenu?, bora kuwa na vifaa vichache lakini view vipya kuliko hizo takataka kila siku watu wanakufa.

Sasa ninyi wakenya mnashangaza sana, kila siku NYUMBA zinaporomoka, ajali za barabarani zinaongezeka, ndege zinadondoka na zingine zibatunguliwa, bado mnanunua "used" military Equipment's. Kweli maisha ya wakenya hayana thamani.
 
Accidents happen.. But they don't happen if you don't have a plane..
Tunazifahamu akili zenu.

Mkenya anaweza kukwambia kenya kunaripotiwa njaa sababu watu hawana muda wa kupika.

Hivi helcopter ni ya kukosa kuwa nayo!!!!!
 
Back
Top Bottom