Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,158
- 79,319
Hizi habari umetoa wapi mzee
umeme upo mkuu, au ww uko sehemu gani!?.. nko na jamaa zangu tunajipongeza moja baridi moja moto.mjomba ya Kenya achana nayo hapa Tanzania umeme upo?? nipo njiani usiku huu sehemu kubwa hamna umeme
Middle income gizani!Hizi habari umetoa wapi mzee
Emu lala acha umbea
Umeme utele hku nilikoMiddle income gizani!
Kenya nzima haikuwa na umeme jana!Umeme utele hku niliko
Dude I had lights! Unless you moved to KenyaKenya nzima haikuwa na umeme jana!
Mjings huyo eti kenya nzimaDude I had lights! Unless you moved to Kenya
Kenya nzima haikuwa na umeme jana!
Last week, acha uongoNilikuwa last week ni kweli jiji lile lina tatizo la umeme..nili experience kukatika kwa umeme more than five kwa siku tatu nilizokaa Nairobi tena prime arears Westlands..
Umeme utele hku niliko