kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. S

    Mtazamo: Tundu Lissu atafanikisha Godbless Lema kuondoka nchini Kenya na kupata hifadhi katika nchi mojawapo ya Ulaya au Marekani

    Kwa mtazamo wangu, pamoja na Godbless Lema na familia yake kupewa hifadhi ya kisiasa nchini Kenya, Lema na familia yake watakuwa salama zaidi iwapo wataishi nje ya region hii ya Afrika Mashariki na zaidi wakiwa Ulaya,Marekani au kwingineko licha ya ukweli kuwa hadhi ya ukimbizi aliopewa nchini...
  2. Kuna nini kati ya CHADEMA, Marekani, Ujerumani, Ubelgiji, Amnesty International na Kenya dhidi ya Usalama wa Tanzania?

    Wakuu, Hili ni bandiko la swali ili kupata uelewa mpana kuhusiana na taswira mpya wanasiasa wa Tanzania na washirika wao wanavyoonesha katika siku za hivi karibuni. Je, kuna uhusiano gani wa ziada nje ya utaratibu wa kawaida kwa nchi tajwa hapo juu na shirika mojawapo la haki za binadamu na...
  3. Kenya voted as top tourist destination

    Kenya has been ranked as Africa’s leading tourist destination in 2020 by the World Travel Awards (WTA). The results were announced virtually from England on Monday during the 27th WTA finals in an event that coincided with the Africa Winners Day. Kenya emerged top for its tantalising cocktail...
  4. Kenya inajengwa usiku na mchana - southern bypass to container depot link dual carriage

    Aisee hii bara bara hata hatukujua inajengwa -
  5. Serikali iwe Makini na wananchi/wapinzani wanaokimbilia Nchi ya Kenya

    Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO. Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa? Nani...
  6. Q

    Kenya: Godbless Lema aachiwa kutoka kituo cha Polisi Kajiado. Apatiwa hifadhi nchini Kenya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godblessema ameachiwa muda huu baada ya kukamatwa na polisi Kenya hapo jana. ======= Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema aliyekimbia Tanzania na familia yake kuelekea Kenya na kukamatwa na...
  7. Wapinzani wa Tanzania mnaokimbilia huku Kenya mtatuchonganisha, tumieni mbinu kama za Lissu

    Nimesoma kwa mshtuko kwamba aliyekua mbunge huko Tanzania bwana Nyalandu naye amekamatwa akijaribu kukimbilia Kenya, ilhali huku tayari tunaye yule wa Arusha bwana Lema, ambaye tayari tumechimbwa mkwara na asasi za kimataifa asirudishwe kwao Tanzania maana huko wanasakwa na kuuawa, kuna yule...
  8. Amnesty International yaitaka Kenya kumpa hifadhi Godbless Lema kulingana na sheria ya wakimbizi, yasema kumrudisha nchini ni kinyume cha sheria

    Katika taarifa yao waliyoitoa kwa Umma, shirika lisilo la kiserikali la Amnesty international linalojihusisha na haki za kibinadamu limeona uwezekano wa mamlaka za Kenya kulazimika kumrejesha Mwanasiasa wa Upinzani, Godbless Lema au familia yake kwenye mateso ya kisiasa au uwezekano wa kufungwa...
  9. Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

    Gazeti la The Standard la Kenya linaripoti kuwa Lema na familia yake wamekamatwa eneo la Kajiado wakivuka mpaka wa Namanga kwa tax kutorokea Kenya kwa hofu ya kuuawa. Zaidi.... Aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiando nchini...
  10. Olkaria geothermal power plants in Kenya to be upgraded

    The Kenya Electricity Generating Company (KenGen) intends to undertake upgrading of two Olkaria geothermal power plants particularly the Olkaria IV and Olkaria IAU 140MW in a bid to increase the power output and improve steam efficiency. The company has so far applied for financing from the KfW...
  11. Kenya GSU parade - fire

    Hiki kitengo cha GSU ni moto, kwenye vita vya fire arm to firearm, hiki kikosi kinaweza kusambaratisha TPDF vibaya.
  12. Corona imegeuzwa mradi wa kupiga pesa Kenya?

    Kenya kwa mara nyingine tena wamekwenda kulialia kwa IMF kuomba msaada wa bajeti (loan) ili wapambane na madhira ya COVID-19. Ikimbukwe kwamba hawa viongozi walipokea jumla ya US$ 739,000,000 mwezi wa tano tu mwaka huu Na kuonyesha msisitizo, Rais Kenyatta ametangaza night curfew upya na...
  13. UK to ink landmark trade deal with Kenya

    UK to ink landmark trade deal with Kenya the-star.co.ke Nov 3, 2020 4:48 PM Once signed, UK-Kenya Free Trade Agreement will guarantee tariff-free access. The UK has moved a step closer to signing a sixth bilateral trade deal in Africa today, which will allow British and Kenyan companies to...
  14. Sehemu ya Ripoti ya BBI ya Kenya jinsi ya kumaliza ukabila naiweka Watanzania tusome Tuwashauri hapa

    Hii ni sehemu tu ya reporti ya Building Bridge Intiative (BBI) iliyokabidhiwa kwa Raisi Uhuru Kenyatta katika kipengele cha jinsi ya kumaliza ukabila nchini Kenya Mimi nawashauri kuwa wapige marufuku matumizi ya lugha za kikabila kwenye public places kama ofisi za serikali,mikutano ya...
  15. Kenya may give the world the first vaccine to protect against gonorrhoea

    Kenya may give the world the first vaccine to protect against gonorrhoea, which causes about 87 million infections annually. Scientists at the Kenya Medical Research Institute (Kemri) and the University of Oxford, UK, plan to recruit 50 Kenyans, aged between 18 and 25 years into a six-month...
  16. Kenya: Jumla ya watu 1,013 wafa kwa covid19

    Watu 17 wamathibitishwa kufariki kwa #COVID19 na kufanya idadi ya waliofariki kufikia 1013 nchini humo Wizara ya Afya ya Kenya imesema watu 685 wamekutwa na maambukizi ya #CoronaVirus na kufanya walioambukizwa kufikia 55,877 Watu 1,271 bado wapo hospitalini wakipatiwa matibabu huku wengine...
  17. M

    How to reduce or eliminate your rising power bill In Kenya

    It’s no secret that the energy costs in Kenya continue to rise to unpalatable levels. Commercial and residential electricity rates (the amount you pay per kilowatt-hour, or /kWh) have constantly risen across the nation over the last 10 years. This trend is unlikely to be disrupted in the...
  18. While Kenya keeps sleeping, Zambia clinches deal to defer Chinese debt

    Zambia clinches deal to defer Chinese debt THURSDAY OCTOBER 29 2020 Zambian President Edgar Lungu. FILE PHOTO | AFP Summary The move to defer debt comes three months after Zambia's President Edgar Lungu asked his Chinese counterpart Xi Jinping for debt relief due to the economic impact of the...
  19. Kenya in total darkness

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…