kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Tanzania is more corrupt than Kenya

    Going by the report which CAG just released. I can only say that Uhuru's government was infant in the game of corruption compared to Magufuli's Govt. The only reason Kenya appeared to be more corrupt than Tanzania was because Kenyan media exposed all the dirty deals conducted by the government...
  2. Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo

    Tanzania imeanzisha tena vita vya kiuchumi kama kawaida yao. Tanzania imezuia madereva wa Kenya kuingia nchini humo bila kutoa sababu zozote za kimsingi. Naona bado mnataka vita hamjatosheka. Mkimwaga mboga sisi tutamwaga ugali.
  3. Baada ya Kenya kumwaga ugali, UK amekuja akitembea kwa magoti

    Baada ya UK kumwaga mboga, Kenya iliamua kumwaga ugali. Hawa wazungu wanastahili wakikupiga kofi kwenye shavu, usiwape shavu la pili, rudisha nawe kofi au ngumi ili wapate funzo. Sasa foreign minister wa UK na foreign minister wa Kenya wamepigiana simu na kukubali kusitisha vita hivi. Wataunda...
  4. Kenya: Lockdown yasabibisha uhalifu kuongezeka, Marekani yatahadharisha raia wake

    Marekani imetahadharisha Raia wake wasisafiri kipindi hichi cha #COVID19 kuingia Kenya kwa kuwa matukio ya kihalifu yameongezeka mara dufu. Onyo limetolewa kuwa kuna ongezeko la ugaidi, utekaji watu, na utekaji magari pia masuala ya afya na ujambazi ambayo ni pamoja na kuvunjiwa nyumba. Maeneo...
  5. Lupita Nyong'o awajibu wakenya wanaomponda kwa kuipenda Tanzania zaidi ya Kenya

    Muigizaji wa filamu ya ’12 years a Slave’ na mshindi wa tuzo za Oscar Lupita Nyong’o, ameonekana kuwajibu waliomponda kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya kwa kuposti picha akiwa katika hifadhi ya taifa ya Serengeti Tanzania. Wengi walionekana kumkosoa kwa kulitangaza na kulisifia taifa...
  6. Kenya: 279 waliopata madhara baada ya kupata astrazeneca, sasa wapo katika hali ya kawaida

    Bodi ya Famasia na Sumu(PPB) ya #Kenya imesema watu 279 walioripotiwa kupata madhara baada ya kupata chanjo ya Astrazeneca 272 walipata nafuu baada ya muda mfupi Na wengine saba waliokuwa katika hali mbaya waliropotiwa na kutibiwa ambapo wamerudi katika hali ya kawaida ndani ya muda mfupi PPB...
  7. Kenya: Watu 279 wamedhurika baada ya chanjo ya covid19, mmoja afariki

    Watu 279 wamepata madhara baada ya kuchoma chanjo ya COVID19 ya Astrazeneca huku watu 7 wakiwa na dalili za hatari na mmoja akiripotiwa kufariki. Bodi ya Famasia na Sumu(PPB) ya Kenya imeanza uchunguzi wa kifo kilichoripotiwa na majibu yatatoka Ijumaa, Aprili 9, 2021. Kaimu Mkurugenzi wa PPB...
  8. Kenya: Ajali ya mabasi yaua 15

    Watu 15 wameripotiwa kufariki dunia nchini Kenya baada ya mabasi mawili kugongana maeneo ya Kizingo katika barabara Kuu ya Malindi kwenda Mombasa. Majeruhi wamepelekwa hospitali ya Malindi Kamishna Kutswa Olaka wa Kilifi amesema basi la Muhsin lilipoteza uelekeo na kuligonga gari la Sabaki...
  9. Kenya: 20 wafariki na wengine 460 wakutwa na maambukizi ya COVID-19 ndani ya saa 24

    Watu 20 zaidi wamefariki kutokana na kupata Virusi vya Corona na kufanya idadi ya watu waliofariki kwa Corona nchini Kenya kufikia 2,244 Aidha watu 460 wameripotiwa kupata maambukizi ya virusi kwa saa 24 zilizopita idadi inayofanya walioambukizwa kufikia 139,448 Wizara ya Afya imetangaza watu...
  10. Kenya: 177 wakamatwa kwa kukiuka hatua za kujikinga na Covid-19 siku ya Pasaka

    Watu 177 ndani ya jiji la Nairobi wamekamatwa kwa kukiuka hatua za afya za kujikinga dhidi ya #COVID19 siku ya sikukuu ya Pasaka. Polisi wamesema wengi wao walikuwa katika maeneo ya kunywa pombe ‘Pubs’ wakiwa wamerundikana na hawana barakoa. Wote waliokamatwa wameachiwa kwa dhamana na...
  11. Kenya is the most attractive destination for Japanese firms

    Kenya is the most attractive destination for Japanese firms seeking to make new investments in Africa, a survey has shown, beating the continent’s larger economies like South Africa and Nigeria. The survey, carried out by Japan External Trade Organisation (Jetro) on Japanese-affiliated...
  12. Kenya: Afisa wa jeshi afariki baada ya kuumwa na mpenziye

    Afisa mmoja wa Jeshi la ulinzi KDF Kenya(umri 37) ameaga dunia baada ya kuumwa mara tatu na mpenziye Violet Asale (umri 27). Idara ya upelelezi DCI imesema kwamba marehemu aliumwa mara tatu; yaani kwenye kidole, kifua na bega baada ya wawili hao kutofautiana usiku katika mtaa wa Kahawa Wendani...
  13. Kenya yajibu marufuku ya Uingereza kwa kuwawekea raia wa nchi hiyo masharti

    Kenya imejibu marufuku ya Uingereza kwa kuwawekea raia wa nchi hiyo watakaowasili sharti la kuwa karantini kwa siku 14. Raia wa Uingereza watakapokuwa wamejitenga, watahitajika kupimwa ikiwa wamepata maambukizi ya virusi vya corona au la mara mbili siku ya pili na ya nane wakiwa karantini kwa...
  14. Kenya Smashes World Record, Scoops 6 Top 10 Positions in Istanbul Half Marathon

    Half Marathon Word record holder Ruth Chepngetich at the finish line of a past race. FILE Kenya asserted its dominance in world athletics during the Istanbul Half Marathon on Sunday, April 4, where Ruth Chepngetich smashed the world record. Chepngetich broke the record held by Ethiopia’s...
  15. Kenya yatoa misaada ya teknolojia kwa nchi 5 za Afrika

    Wanaosema kwamba Kenya inaomba omba chakula na kutegemea msaada kutoka nchi za ulaya. Tazameni hapa Kenya ikitoa msaada wa teknolojia. Tunapatia nchi 5 za Africa tablets 45,000 ili kuwasaidia kufanya census yao kidijitali. Isitoshe tutawafunza jinsi ya kufanya census kidijitali. Sisi hatutoi...
  16. Tanzania kuchoma tena vifaranga kutoka Kenya?

    Vifaranga kutoka nchini Kenya vyenye thamani ya Milioni 40 vimekamatwa na mamlaka ya serekali Tanzania bila ya kuwa na vibali halali. Kwa kujibu wa taarifa toka mamlaka husika Tanzania wamesema wataviteketezwa kwa mujibu wa sheria inavyotaka. Japo vifaranga hivyo havijathibitika kuwa na...
  17. Kenya maize importers breath fire over crop ban

    CitizenNews Kenyan maize importers breath fire over crop ban FRIDAY APRIL 02 2021 Trucks with imported maize from Tanzania waiting to offload outside Mombasa Maize Millers in Mombasa in this picture take in August 2019. PHOTO | FILE | NMG By Janeth Joseph More by this Author By Zephania...
  18. 1.4m face hunger as Kenya fights Covid, drought, State says

    1.4m face hunger as Kenya fights Covid, drought, State says FRIDAY APRIL 02 2021 Residents of Turkana County receive relief food in 2011. An estimated 1.4 million Kenyans are currently facing hunger, and the figure is likely to rise in the coming days if a solution is not found, Government...
  19. Barack Obama amuomboleza bibi yake kutoka Kenya kwa kuandika maneno haya

    Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama amesema yeye binafsi na familia yake wanaomboleza kifo cha bibi (nyanya) yao, Sarah Ogwel Onyango Obama, ambaye anafahamika na wengi kama “Mama Sarah” lakini anayefahamika kwetu kama “Dani” au Granny. Katika ujumbe wake wa Twitter ulioambatana na picha...
  20. M

    Ahsanteni jirani zetu Kenya mmetufaa sana wakati huu

    Muungwana siku zote lazima ushukuru kwa wema unaotendewa na kusema Ahsante. Ndugu zetu na jirani Zetu Wakenya, hakika mmeonyesha kile wahenga walituusia "RAFIKI WA KWELI NI YULE AKUFAAYE WAKATI WA DHIKI". Wakati wa Msiba na Maombolezo ya Rais wetu wa JMT Mhe.Magufuli. Mmeonyesha kuguswa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…