Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka, amesema Rais wa China, Xi Jinping, alimweleza kuwa angeitembelea Kenya iwapo Kalonzo angechaguliwa kuwa Rais wa Kenya.
Kalonzo alitoa kauli hiyo Jumatatu, Agosti 10, 2026, wakati wa mahojiano ya runinga ambapo alikuwa akieleza mikakati yake ya kukabiliana na...