TANZANIA MPYA: KUANZISHA CHUO MAALUMU KITAKACHOTOA TAALUMA KWA DADA WA KAZI ZA NYUMBANI.
Ni wazi kuwa Viongozi wakubwa wa serikali walioko madarakani na waliomaliza muda wao wengi wao walilelewa na wazazi wao wote wawili hasa mama ambaye muda mwingi alikua nyumbani.
Na katika malezi haya...
Wakuu hapa napoongea saizi nipo dorooooo dorooo kinoma yaani moja haikai Mbili haiendi Mpaka siyo poa.
Nachangamoto ya mawasiliano.Siwezi kuwaingia watu wakubwa namaanisha maboss.
Simu yangu hapa ina no za watu wazito lakini nawaingiaje hatujuani personal.
Gear ya kuingia sina.
Kuna mmoja hapa...
Viongozi habari za muda huu
Katika maisha ya kufanya kazi Kuna mistakes za hapa na pale ambazo unaweza kuzifanya wewe mwenyewe au mtu mwengine ambapo msala unaweza kuwaangukia watu wote ofisi fulani.
Kuna kusababisha hasara, kuchafua image ya taasisi au shirika la umma au shirika binafsi, Kuna...
Nimefanya utafiti wa kutosha. Hivyo nina 100% na kile ninachokizungumza
(a) Fundi Simu
(b) Chipser (Mkaanga Chips)
(c) Bodaboda (Afisa Usafirishaji)
(d) Wasusi wa kiume na wapaka rangi kucha
(e) ?
Wakuu naomba aliye na ABC za muundo wa mafunzo ya miezi mitatu kwa waliobahatika kupata nafasi ha kwenda kwenye mafunzo ya afya ngazi ya jamii.
Hivi kunakuwa na posho wakati wote wa mafunzo. ( Posho kwa siku au kwa mwezi?).
Naomba kulifahamu hili mapema kwa anayejua.
Moja Kati mambo yanayoongeza ufanisi wa maendeleo ni kuongezeka kwa vijana wasioathirika na mpenzi katika kazi zao za kiuchumi,, hivyo inasemekana kufikia miaka kumi tangu 2024 vijana wengi watakuwa mchango mkubwa wa uchumi WA taifa kwa jumla
Ukitoka jasho furahia Kazi yake kuu ni kudhibiti joto la mwili. Maji katika jasho yanapovukiza, uso wa ngozi hupoa.
Kutokwa na jasho huondoa uchafu katika michakato ya metabolic na sumu kutoka kwa mwili wa binadamu, na kukuza afya. Jasho hutolewa kupitia pores ndogo sana kwenye uso wa ngozi...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,ninaomba kazi ya udereva,mkoa wa Ruvuma kwenye mashirika binafsi.Nina vigezo na uzoefu wa kazi wa miaka mitano, nawasilisha nakala hii kwenu kwaajili ya kupata fursa,Asante na Mungu awabariki.
Komasava ya diamond inazidi kumpa mashavu zaidi baada tu ya chriss brown kuucheza wimbo wake na kuwa gumzo duniani kutokana na ukubwa wa breezy. Jason derulo amekubali kufanya wimbo na diamond kwenye kipindi hiki ambacho ngoma yake ya kovasava ikishika chart kila kona.
Ukiachana na Derulo...
Habarini wanajukwaa nipo mbele yenu natufuta kazi yeyote ambayo itaniingizia kipato au kama kuna mtu mwenye connection akaniunga kazi zilipo naomba anisaidie.
Nina diploma ya procurement and logistics location nipo dar es salaam.
Leo hii
Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani,
Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja,
Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha,
Akasema hivi unakumbuka ziara za...
Watu wa Tanga mnanishangaza aisee sie Wanawake wala wanaume Wote ni mwendo wa kudanga tu ili wapate pesa Za kula ila kufanya kazi hapana wananishikitisha Sana hawa watu wanaudhalilisha uislamu na kuonekana ni dini ya watu wasiopenda kufanya kazi kumbe Hapana ni watu tu wenyewe aisee
Tanga...
Waungwana habari za majukumu.
Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam.
Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini
Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
Waungwana habari za majukumu.
Naitwa xx natokea maeneo ya mikwambe kibada kigamboni mkoa wa Da es Salaam.
Naleta kwenu maombi kwa yeyote mwenye gari ndogo aina ya IST,SIENTA,n.k naitaji kwa ajili ya kufanyia kazi hapa mjini
Hesabu nalipa laki mbili kwa wiki matengenezo madogo madogo kwangu...
Huwa napenda kujiuliza hili swali mara kwa mara, ni bora kusali sana au kufanya kazi sana?
Kama jibu unalo, naomba utusaidie ili tuweze kupata ufahamu zaidi.
Hatuna Barabara , shule zetu mbovu sana . Bima za afya ni majanga .
Maji hatuna ,umeme hatuna wa uwakika .
We are very poor
Kwa nini tunajenga flow 22 za gorofa Kenya Kama barozi !!???
Tunaenda wapi ?!
Tanzania is dead
KULA KWA JASHO NI KUHANGAIKA KUTAFUTA RIZIKI SIO LAZIMA UTOE JASHO LA MWILI AU UFANYE KAZI ZA NGUVU YA MWILI
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kuna kasumba ambayo inatesa baadhi ya vijana wa kiume ndani ya jamii huku wakinukuu maandiko ya kwenye Biblia Kuwa "Mwanaume atakula kwa jasho"...