kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma bora za usafi aina zote, fumigation na gardening: Karibuni sana

    Kwa nini utuchague sisi kwa ajili ya kutoa huduma kwako? i) Kampuni yetu imesajiliwa katika mamlaka za Serikali kama vile BRELA, TRA na Manispaa/Halmashauri husika, hivyo tunatoa huduma bora kwa kuzingatia matakwa yote ya sheria na taratibu za Nchi yetu. ii) Mojawapo ya sera ya kampuni yetu ni...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo machache Sukuma Gang bado wanayahitaji yafanyiwe kazi

    Wapenda Nchi waliopewa jina maarufu la Sukuma gang wana haya machache na kama ntakuwa nimesahau mengine wataongezea , lakini kiujumla wanafurahishwa na mwenendo wa Mama . 1. Wanaomba suala la nidhamu makazini ifanyiwe kazi 2.Wanasema ,Dhana ya kula kwa urefu wa kamba mara ya mwisho...
  3. JamiiForums Tanzania ‘Acha kazi nitakutunza’ imeliza wengi

    Nimekuwa nikisoma visa mbalimbali kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu yaliyowakuta wanawake walioambiwa “Acha Kazi nitakutunza”. Baada ya kuacha sasa wengi wao wameambulia mateso kutoka kwa wenza wao. Ni kweli kuna umuhimu wa kumfuata mwenza alipo au alipohamishiwa lakini si kwa kuacha kazi...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimemaliza Kidato cha sita

    Mimi ni kijana wa kiume miaka 21 Nina elimu ya form six Nimeshindwa kujiendeleza na masomo mwaka jana maana nilikosa mkopo Hivyo basi natafuta kazi yoyote maana nilikokuwa nimejishikiza mwenyewe amefunga Napatikana kwa 0622905303
  5. T

    JamiiForums Tanzania Wabongo tuko nyuma sana kwenye Customer Services, kibaya Hatuko serious na Kazi kabisa. Acha Wakenya wachukue nafasi zetu

    Basi leo mchana saa nane nikasema niende nikapate msosi kwenye hoteli moja kubwa na mpya hapa jiji la masamaki. Naingia tu nakutana na wahudumu wanne wamekaa, mteja alikuwa mmoja. Mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo: Mimi: "Chakula kiko tayari?" Muhudumu: "Sijajua ngoja nikaulizie kama kiko...
  6. JamiiForums Tanzania Kazi za kulea wazee huko MAJUU..

  7. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Comedy ni sehemu ya kazi ya Wasemaji wa Kisasa

    Tunapitia wakati mgumu wa kuchunga kauli zetu tunapozungumza na media au tunapokuwa kwenye majukumu yetu. Binafsi naendelea kuitafakari kauli ya CEO Kasongo kutupiga marufuku wasemaji kufanya mzaha kwenye statements rasmi za klabu. Ni kweli kuna kundi la watu hatuwatendei haki kwa kufanyia...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote nina bachelor of science in chemistry (Mkemia)

    Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu kwa mwenye connection naomb msaada🙏. Update:
  9. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata kazi ya upagazi(porters)

    Jinsia: Mwanaume Umri:21 Elimu: kidato cha 6 Mafunzo: JKT kwa mujibu wa sheria 2022
  10. D

    JamiiForums Tanzania Jamani Mungu yupo na anafanya kazi usiku na mchana. Tuache kuonea watu mungu hapendi na kisasi chake

    Enzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla...
  11. JamiiForums Tanzania Fundi pikipiki natatuta kazi

    Habari ya uzima. Mimi ni fundi pikipiki mzoefu wa muda mrefu natafuta kazi kwa sasa nipo DSM Natengeneza pikipiki za aina zote
  12. JamiiForums Tanzania Vitu kama vyeti vya kuzaliwa na barua ya maombi ya kazi vimepitwa na wakati kwenye mfumo wa kuajiri

    Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena? Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital...
  13. JamiiForums Tanzania AI (Akili Mnemba) itaua kazi za watu, sijui wasomi watakosa kazi aah wapi. Indispensable human on the loop

    AI inao uwezo wa kujichanganya, tuwe makini asee. Leo katika kuchakata swali moja la kitafiti la kutenganisha bidhaa zilizomo katika pombe nikagundua. Ili kuzitumia taarifa zilizopo katika mfumo ni muhimu uwe na elimu kuhusu jambo hilo kiasi. Ndio maana siku zote mifumo inahitaji kushirikiana...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kazi ya kulijuani na matokeo yake

    Wanajamvi kichwa cha habari kinatosha. Anayejua kuwa inatengenezwa kwa mazumuni yapi tu na matokeo yake yakoje na kwa muda gani. Comment 👇🏻
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Baadhi ya Wanawake wazuri wanasumbuliwa na UTI sugu

    Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali. Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda wenu. Jipende jilinde Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

    Habari wadau Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Jamii inamshangaa Mwanaume huyo na Anaonekana hana maturity. Kwa nini Mwanaume anaeweka bikira...
  17. JamiiForums Tanzania Mo Dewji vunja benki, tafuta striker wa maana umalize kazi uliyoianza

    Leo sitasema sana maana yanayotakiwa kusemwa nimeshayasema kwa siku kadhaa sasa zilizopita. Baada ya hongera nitaongeza neno moja tu kwa Mwekezaji Mo Dewji. Baada ya usajili mzuri ambao kiukweli unaridhisha sana na kabisa unaona watu wa maana wanaojua mpira walikaa chini wakapanga kujenga timu...
  18. JamiiForums Tanzania Hiyo kazi yako utafika nayo uzeeni au ukifika uzeeni unatafuta nyingine?

    Kuna kazi ambazo kuna umri ukifika ni lazima uiache kila kazi na umri wake. Mfano mpira wa miguu mara nyingi ni mwisho miaka 38 Kuna kazi ambazo ni lazima utaicha mapema na kwenda kutafuta kazi ya kumalizia uzee wako Mfano Kukwea mlima Ufundi wa kupaua Udada poa Ukonda wa dala dala Kazi...
  19. JamiiForums Tanzania Msituite kwenye Interview (Usajili) kama mshaandaa majina mtakaowapa kazi

    Wengi tunatumia pesa na gharama kubwa kwenda kwenye Interview na tunaambulia patupu kwakuwa Kuna majina ya watu wenye connection zao tayari yapo Tunaenda kwenye Interview kupigania kitu ambacho hakipo kitu ambacho tayari kilishakwisha ila ni geresha tu Beautiful country some people Wana...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiwa Boss kazi inapotokea wafanyakazi hawana maelewano

    Ukiwa Boss kazi unakuta wafanyakazi wako hawapendani halafu wote wanaumuhimu kwako , ukiona mtu kaisimamisha biashara au kampuni ikasimama vizuri mpe ratings zake za kutosha . Inapotokea wafanyakazi wako hawapendani inakupa ugumu umuache nani ubaki na nani wakati wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…