kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Jitahidi uwe na kitu unakifanya ili kuongeza connection na uchumi wa kimaisha

    Sometime kuna mambo mabaya twayafanya kwenye familia, jamii au watu watuzungukao kwa sababu hatuna jambo la kufanya kwenye jamii. Jitahidi uwe na kitu unakifanya kuwa busy. Hasa kuongeza connection na uchumi wa kimaisha.
  2. JamiiForums Tanzania Hivi mnaofanya kazi Sekta za Serikali nako kuna maneno maneno na kuchongeana kama Private?

    Wakuu makazini mambo ni mazito. Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana. Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya. Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
  3. JamiiForums Tanzania Uchunguzi usiokuwa rasmi;Ndoa za waliowahi kuwa madada wa kazi( ma house girl) zinadumu kuliko za hawa wengine.......

    Habari za asubuhi waungwana...... Wakati mwingine kukaa bila kazi ya kufanya inafanya kichwa kizurure kifikra na kupitia mawazo mbali mbali....... Katika kuzurura huko kimawazo nikajikuta nimewakumbuka baadhi ndugu, jamaa na marafiki ambao imetokea wameangukia kwenye pendo la hawa wadada wa...
  4. JamiiForums Tanzania ITV kuweni serious na kazi yenu ya habari, sio kila mtu wa ni kumuuliza kila kitu.

    Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV wakawa wanahabarisha kuhusu Benki kuu(BoT) kuondoa zile noti za zamani katika mzungu, cha ajabu katika kupata watu wa kutoa maoni kuhusu hilo jambo badala ya kuwatafuta wataalamu wa biashara, fedha, au uchumi kutoka taasisi mbalimbali za hadhi ya juu kama...
  5. JamiiForums Tanzania Kuomba nafasi ya kazi kwa aliyepata ajira serikalini kada ya maabara ya hospitali!!

    Kama heading inavojieleza hapo juu mimi ni mtaalamu wa maabara, mwenye stashahada nilijaribu kurusha ndoana kwenye ajira za utumishi nikala ndoige ya kichwa kwa kupigwa NOT SELECTED Sasa nimeona wanazengo wengi wakilamba asali kwenye pdf hizi za serikali hasa upande wa kada yangu ya maabara na...
  6. JamiiForums Tanzania Walimu wa primary kazi hiyo!

    Nimeona sehemu hilo tangazo. Vijana jobless changamkieni. Kila la heri.
  7. JamiiForums Tanzania Huu mfuko mdogo kwenye suruali nyingi za jeans huwa ni wa kazi gani haswa?

  8. JamiiForums Tanzania Ufedhuri na biashara za kitapeli

    ni jambo la kusikitisha kuna siku niliwahi sema humuu JF kumetapakaa matapeli na watu wa hovyo sana,, just assume watu wanaomba kazi humu mtu anadiriki kujifanya anakazi anakupatia tena anakusumbua tafuta wadhamini njoo na barua za utambulisho toka serikali za mtaa Ehhhh bana unaingia kazini...
  9. JamiiForums Tanzania Vijana wahitimu wa Vyuo Vikuu wanataka nani awapambanie?

    Hawa vijana hawawezi jipigania, hawawezi shinikiza ajira, haeawezi oaza sauti zao, hawa wanataka mtu baki awapiganie, na apigwe Mabomu na Polisi wakati anawapigania wao wakiwa kwenye keybord. Vijana wa vyuo vikuu mtaani ni wengi mno na CCM haitaki wapate hata ajira ili iwatumie ipasavyo hasa...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kazi au connection na kazi

    Habarini wakuu, Naitwa Richard Mashauri Nimesoma degree ya uhasibu na teknolojia, nimejitahidi pambana kitaa na kazi mbalimbali ikiwemo ufreelancer azam pesa pamoja na kusupply mitungi ya gesi ila imetokea changamoto kwa sasa kwenye kazi yangu ya kusupply gas za kupikia, kama kuna mtu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuajiriwa haiwezi kukufanya uwe tajiri

    Wakuu, Leo miemkutana na mwanangu hapa Arusha , ambae mshahara wake ni 8 tsh milioni lakini vilio ni vingi. Nimegundua hata uajiriwe wapi na ulipwe mshahara kiasi gani huwezi kua tajiri. Jamaa anaingia saa 12 alfajiri kazini anatoka saa 11 jinoni lakini tumekutana analia shida. Sisi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Engineer aliyekuwa akifanya kazi Nje ya Nchi amerudi, ameambiwa alipie leseni yake madeni ya miaka yote aliyokuwa nje. Je hii ni Sawa au ni Upi

    Huyu Ni Mdogo wangu Mtoto wa Mjomba. Alikiwa Injinia wa ujenzi akifanya kazi Nchini Kenya kwa miaka 10 sasa. Akiwa huko alikuwa akilipia ada ya usajiri na leseni kama kawaida. Sasa amerudi Nchini miezi miwili iliyopita. Kwa kuwa amepata kazi shirika lingine la kimataifa la Ujenzi ametakiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mifumo mitano ya ulinzi wa anga ya Israel inavyofanya kazi

    Israel imetumia mifumo yake ya ulinzi wa anga kukabiliana na mashambulizi ya makombora na droni katika miezi ya hivi karibuni. Imeshambuliwa na Iran, Hezbollah kutoka Lebanon, Hamas kutoka Gaza na waasi wa Houthi nchini Yemen. Marekani imepeleka mfumo wa kukabiliana na makombora ili kuimarisha...
  14. JamiiForums Tanzania Maisha bila Mdada wa kazi

    Habari wadau! Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kama mnavyojua maisha yanaenda kasi sana. Utandawaz naweza sema umeenea kila pande ya Dunia na hamna binadamu ambaye anakubali kuwa nyuma au jamii flani inakubali kuwa nyuma. Maisha kabla ya mitandao namaanisha kabla ya mobile phone kuanza miaka...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kupata kazi serikalini unaondokaje kwenye ajira yako ya mkataba uliobakiza miezi 2 uishe?

    Baada ya kupata kazi serikalini unaondokaje kwenye ajira yako ya mkataba uliobakiza miezi 2 uishe? Na manufaa utakayo yapata ni yapi?
  16. JamiiForums Tanzania Najitolea bure kwa Idara za Usalama wa Taifa zote Barani Afrika katika Kuwatafutia Watu mahiri wa kufanya Kazi huko kwani hata Israel wameshanitumia

    Vipaumbele vyangu nikipewa Kitengo cha ku Recruit Watu mahiri wa Idara za Usalama wa Taifa Barani Afrika vitakuwa... 1. Atokee kwa Wazazi wenye Akili Timamu na Koo za Watu Werevu 2. Ufaulu wa Kitaaluma ni ziada ila Akili ya Kuzaliwa ndiyo kitakuwa Kipaumbele changu 3. Awe na uwezo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hiyo TCRA kazi yenu ni kuuza masafa tu?

    Huwa nawatazama kwenye tv mmenawiri mnapendeza kweli. Mnaongelea masafa/frequency kila leo. Kuna ishu ya hawa wapigaji wa mitandao. Wapo wengi ila leo nitaongelea hawa wa mesejo za "ile hela tuma kwenye namba hii". Ni kero kero sana. Wapo pia wale wanaopiga kujifanya wafanyakazi wa mitandao...
  18. JamiiForums Tanzania Umeoa halafu unamzuia binti wa watu asifanye kazi na huna uwezo wowote kifedha. Unafanya hivyo kwa faida gani na ili iweje?

    Kuna vijana mimi nawaona wa hovyo sana,utakuta kaoa mke ana Taaluma yake ,yeye maisha yake ni yakubangaiza mwenzangu na mimi kama sio zaidi ya mimi lakini anamzuia mke wake asifanye kazi kwa kuajiriwa na anakuwa mbogo,ukimuangalia mwanamke kachokaaa na Ana taaluma yake Angeweza kupambana...
  19. JamiiForums Tanzania Vidokezo vitatu vya kufanya upendo wako ufanye kazi

    Upendo haupaswi kuumiza yeyote. Ikiwa unachotaka ni upendo unaodumu, unaweza kuupata hakika... There’s nothing wrong with you. And there’s nothing wrong with the one who broke your heart.. Hapa kuna vidokezo vitatu… Moja, upendo wa kudumu ni ujuzi, hauji kwa bahati. Love can be...
  20. JamiiForums Tanzania Zijue kazi 16 za kishenzi ambazo zalipa mapesa Ulaya na Marekani na ambazo kwa waafrika waweza kuziiga na kuzifanya Tanzania.

    Kazi hizi ni zile ambazo ni chafu na zingine zina vyeti na zimo katika mfumo rasmi ulowekwa na wazungu ambazo zingine zalipa kishenzi. Nimetumia neno kazi za kishenzi kutokana na mazingira ya kazi hizi na aina ya watu wanozifanya ambao wengine ni watu waso na familia au wenye aina fulani ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…