kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Ni changamoto gani unaweza kutana nayo iwapo hutaripoti kwenye kituo cha kazi ulichopangiwa na TAMISEMI?

    Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi). Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
  2. E

    Natafuta kazi yoyote, angalau kipato kuanzia 10k+ per day

    Wakuu, rejea hapo juu. Vyeti vilivyopo JKT & EACCFFC na nina uzoefu wa mda mrefu. Niko tayari kwenda mkoa wowote, ila Dar es Salaam hapana Asanteni
  3. Tanzania: Meta kuanza kuwalipa wazalisha maudhui wa Instagram na Facebook

    Agosti 6, 2024 Meta imesema kuanzia mwezi huu (Agosti 2024) itapanua zana za uchumaji wa mapato za watayarishi nchini Tanzania kwenye Facebook na Instagram. Hatua hii ni matokeo ya moja kwa moja ya michango taasisi ya JamiiForums na wadau wengine ambao ni watetezi wa Haki za Kidigitali na...
  4. Wanawake mjiheshimu mnapokuwa maeneo ya kazi

    Kuna mdada tunafanya nae kazi, nimezoeana nae kawaida, sio mshkaji wangu sana, ila sasa huwaga anapenda sana kuvaa mavazi ambayo yanaonesha maumbile yake. Huyu dada kaumbika plus mavazi anayovaa, aisee nadhani mnaelewa ninachomaanisha. Kuna muda unakuta anajisahau anakaa vibaya, sometimes hadi...
  5. Natafuta kazi inayohusiana na IT au nje ya IT

    Habari za majukumu wana JF, Nina ujuzi wa masuala ya computer, hivyo natafuta kazi yoyote inayohusiana na IT au hata isiyo husiana na IT
  6. B

    Kwani nini vijana wa field tunanyimwa nafasi ya kufanya kazi katika faculty zetu . Especially sheria

    Hello, ladies and gentlemen wa jamii forum , Kama uzi unavojielezea hapo juu . Nina live example . Mimi ni mwanafunzi wa sheria, Jumatatu nilipeleka barua ya field katika mahakama ya wilaya X hawakuipokea wakaniambia nafasi zimejaa katafute sehemu zingine na kunirudishia barua yangu ...
  7. T

    Nitapata kazi mwezi huu

    Roho mtakatifu amenijulisha kuwa kabla ya kuisha kwa mwezi huu nitapata kazi nzuri katika taasisi nzuri, itakuwa na mshahara na marupurupu mazuri, na nitafanikiwa kimaisha na kiujuzi. Asante Yesu. Napokea kadiri ya imani yangu kwa jina la Yesu.
  8. Kuna Mwenye Uelewa au Uzoefu na Namna UFANDAO Inavyofanya Kazi?

    Habari wana JF Mimi ni jobless wa muda mrefu na nimeona nitafute njia za kupata mtaji nifanye project niliyonayo kichwani. Kuna mtandao unaitwa UFANDAO kwaajili ya ufadhili kutoka kwa watu mbalimbali endapo watashawishika na wazo lako. Kuna mwenye uelewa na namna inavyo-operate anipe hints...
  9. Ukipata kazi inayokulipa zaidi yetu utaacha kazi hapa?: Unajibu vipi swali hili kwenye Interview?

    Katika usaili wa kazi kunakuwaga na maswali ya mtego sana. Mfano ndio umeulizwa hivyo sasa unawajibu vipi ili usikose hiyo kazi?
  10. Ninahitaji fundi tiles, site ipo mkoa wa Tanga

    Habari km kichwa Cha habari kinavyoonyesha nnahitaji fundi tiles site ipo mkoa wa Tanga naomba na fundi wakuwepo Tanga maana kazi yangu ni kubwa Hila sio ya kutengeneza Kwa mara moja ndio maana nnataka fundi wa huku huku Tanga maana tutakuwa tunapga vyumba viwili tunakaa wiki tunapga Tena Sasa...
  11. Tunatoa huduma bora za usafi aina zote, fumigation na gardening: Karibuni sana

    Kwa nini utuchague sisi kwa ajili ya kutoa huduma kwako? i) Kampuni yetu imesajiliwa katika mamlaka za Serikali kama vile BRELA, TRA na Manispaa/Halmashauri husika, hivyo tunatoa huduma bora kwa kuzingatia matakwa yote ya sheria na taratibu za Nchi yetu. ii) Mojawapo ya sera ya kampuni yetu ni...
  12. Mambo machache Sukuma Gang bado wanayahitaji yafanyiwe kazi

    Wapenda Nchi waliopewa jina maarufu la Sukuma gang wana haya machache na kama ntakuwa nimesahau mengine wataongezea , lakini kiujumla wanafurahishwa na mwenendo wa Mama . 1. Wanaomba suala la nidhamu makazini ifanyiwe kazi 2.Wanasema ,Dhana ya kula kwa urefu wa kamba mara ya mwisho...
  13. ‘Acha kazi nitakutunza’ imeliza wengi

    Nimekuwa nikisoma visa mbalimbali kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu yaliyowakuta wanawake walioambiwa “Acha Kazi nitakutunza”. Baada ya kuacha sasa wengi wao wameambulia mateso kutoka kwa wenza wao. Ni kweli kuna umuhimu wa kumfuata mwenza alipo au alipohamishiwa lakini si kwa kuacha kazi...
  14. C

    Natafuta kazi, nimemaliza Kidato cha sita

    Mimi ni kijana wa kiume miaka 21 Nina elimu ya form six Nimeshindwa kujiendeleza na masomo mwaka jana maana nilikosa mkopo Hivyo basi natafuta kazi yoyote maana nilikokuwa nimejishikiza mwenyewe amefunga Napatikana kwa 0622905303
  15. T

    Wabongo tuko nyuma sana kwenye Customer Services, kibaya Hatuko serious na Kazi kabisa. Acha Wakenya wachukue nafasi zetu

    Basi leo mchana saa nane nikasema niende nikapate msosi kwenye hoteli moja kubwa na mpya hapa jiji la masamaki. Naingia tu nakutana na wahudumu wanne wamekaa, mteja alikuwa mmoja. Mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo: Mimi: "Chakula kiko tayari?" Muhudumu: "Sijajua ngoja nikaulizie kama kiko...
  16. Kazi za kulea wazee huko MAJUU..

  17. Kusema ukweli Comedy ni sehemu ya kazi ya Wasemaji wa Kisasa

    Tunapitia wakati mgumu wa kuchunga kauli zetu tunapozungumza na media au tunapokuwa kwenye majukumu yetu. Binafsi naendelea kuitafakari kauli ya CEO Kasongo kutupiga marufuku wasemaji kufanya mzaha kwenye statements rasmi za klabu. Ni kweli kuna kundi la watu hatuwatendei haki kwa kufanyia...
  18. Natafuta kazi yoyote nina bachelor of science in chemistry (Mkemia)

    Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu kwa mwenye connection naomb msaada🙏. Update:
  19. Naomba msaada wa kupata kazi ya upagazi(porters)

    Jinsia: Mwanaume Umri:21 Elimu: kidato cha 6 Mafunzo: JKT kwa mujibu wa sheria 2022
  20. D

    Jamani Mungu yupo na anafanya kazi usiku na mchana. Tuache kuonea watu mungu hapendi na kisasi chake

    Enzi za jpm watu wameuawa wengi san ama directly kwa kupigwa risasi au kupotezwa au indirectly kwa pressure baada ya account zao kuwa freezed ghafla eti haijulikani pesa zao walizipataje. Mfano Nimrodi mkono ambaye account zake zote zilifungwa baadae akafa kwa pressure. Wengine waliokuwa vhafla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…