kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. N

    Wafanyakazi Mastermind Tobacco walalamika kufanya kazi muda mrefu bila kupewa ajira rasmi

    Kampuni ya Mastermind Tobacco Tanzania Limited inayopatikana Jijini Dar es Salaam maeneo ya Tazara imelalamikiwa na baadhi ya Wafanyakazi wake kwa kuwafanyisha kazi muda mrefu bila kuwapatia ajira. Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi hao ambaye hakupenda jina lake kuwekwa hadharani Wafanyakazi...
  2. D

    Natafuta kazi, nimemaliza Degree ya Uhasibu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Habari, Natafuta kazi ya nimemaliza degree ya uhasibu chuo kikuu cha Dar es Salaam, kazi mahali au mkoa wowote. Nipo mbeya Mawasiliano: 0672876887
  3. Israel: Netanyahu amfukuza kazi Waziri wa Ulinzi,Yoav Gallant

    Wanaukumbi. Netanyahu kamfukuza kazi waziri wa ulinzi Yoav Gallant kutoka wadhifa wake wameshindwa kuelewana Gallant, kamwambia Netanyahu vita tumeshindwa Inakisiwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa sasa wa Israel Israel Katz atachukua nafasi yake. =============== Netanyahu dismissed defense...
  4. Guinea: Baltazar na Watumishi wa Umma walioshiriki naye Ngono ofisini kufukuzwa kazi

    Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400 waliorekodiwa wakifanya mapenzi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) la...
  5. Nikiziangalia Sura za Marehemu Gen. Musuguri, CDF Mstaafu Gen. Mabeyo na CDF wa sasa Gen. Mkunda naona ni za Kazi Kazi na Makamanda wa Kweli

    Mkuu wa Majeshi unatakiwa uwe na Sura za Kazi Kazi hasa kama za Marehemu Jenerali Musuguri, CDF Mstaafu Jenerali Mabeyo na huyu wa sasa Jenerali Mkunda. Mkuu wa Majeshi kamwe hupaswi kuwa na Sura laini laini ambazo zinachochea Kutabasamu na Kuchekacheka bali zinatakiwa ziwe Sura Ngumu na za Kazi...
  6. CHADEMA inatakiwa kususia kazi za hawa wasanii kwa kusapoti kampeni za chama tawala

    Hata kama ni Marekani lazima CHADEMA ionyeshe kuwa haina double standard kwa kuamua kususia kazi zao. Kumekuwa na matamko kadhaa za kutaka tususie kazi za wasanii wa Tanzania wanaoisapoti CCM kwa hiyo umefika muda sahihi wa chama cha Mbowe kutoa wito kwa wafuasi wake kususia kazi za wasanii...
  7. E

    Wakuu mnaofanya kazi kwa vikundi tanesco mnatoboaje kimaisha??

    Habarini wana JF hizi kazi kwa vikundi tanesco mnaopata bahati ya kufanya kazi mnajikwamua vipi..kwani mikataba ni kandamizi sana..nyie mnawezaje??
  8. Swali kwa Serikali; Mwananchi ni Mwenye Nchi, Nguvu Kazi au Kitega Uchumi (Chanzo cha Mapato) ?

    Nimeona niulize haya sababu kinachoendelea inabidi ukiangalie kwa macho yako na sio kusikiliza kinachosemwa.... Sababu Siasa zishakuwa Ulaghai; https://www.jamiiforums.com/threads/siasa-mamboleo-mdomo-unapojaribu-kulidanganya-sikio.2123568/ Je Mwananchi ni Mwenye Nchi ? Sidhani, huyu jamaa...
  9. J

    Nahitaji kazi/ ajira

    Habari za wakati huu. Majina yangu ni XX ni msichana wa miaka 25 ninaishi temeke Dar es salaam. Mimi ni mhitimu wa elimu ya chuo kikuu mwaka 2022 katika kituo kilichokuwa kinaitwa “TANZANIA-MOZAMBIQUE CENTRE FOR FOREIGN RELATIONS” lakini kwa sasa kinaitwa “ DR. SALIM AHMED CENTRE FOR FOREIGN...
  10. Kubeti sio kazi

    Habari,kubeti imekuwa kazi kuliko kuchimba dhahabu man city kanilaza na viatu itabidi niachane na hii kazi haina faida....... 😡😡😡. NB:Mali yapatikana shambani
  11. F

    Natafuta kazi ya Customer Services

    Hello naitwa Agnes mkazi wa Dar-es-Salaam ubungo natafuta kazi ya customer services
  12. Jitahidi uwe na kitu unakifanya ili kuongeza connection na uchumi wa kimaisha

    Sometime kuna mambo mabaya twayafanya kwenye familia, jamii au watu watuzungukao kwa sababu hatuna jambo la kufanya kwenye jamii. Jitahidi uwe na kitu unakifanya kuwa busy. Hasa kuongeza connection na uchumi wa kimaisha.
  13. Hivi mnaofanya kazi Sekta za Serikali nako kuna maneno maneno na kuchongeana kama Private?

    Wakuu makazini mambo ni mazito. Hasa private yaan umbea, unafiki, kuzushiana maneno,kuchongeana kwa boss, kuchunguzana na kuharibiana kazi kupo saana. Mtizamo wangu labda serikalini hayapo haya. Change my mind sijawai fanya kazi serikalini
  14. Uchunguzi usiokuwa rasmi;Ndoa za waliowahi kuwa madada wa kazi( ma house girl) zinadumu kuliko za hawa wengine.......

    Habari za asubuhi waungwana...... Wakati mwingine kukaa bila kazi ya kufanya inafanya kichwa kizurure kifikra na kupitia mawazo mbali mbali....... Katika kuzurura huko kimawazo nikajikuta nimewakumbuka baadhi ndugu, jamaa na marafiki ambao imetokea wameangukia kwenye pendo la hawa wadada wa...
  15. ITV kuweni serious na kazi yenu ya habari, sio kila mtu wa ni kumuuliza kila kitu.

    Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV wakawa wanahabarisha kuhusu Benki kuu(BoT) kuondoa zile noti za zamani katika mzungu, cha ajabu katika kupata watu wa kutoa maoni kuhusu hilo jambo badala ya kuwatafuta wataalamu wa biashara, fedha, au uchumi kutoka taasisi mbalimbali za hadhi ya juu kama...
  16. Kuomba nafasi ya kazi kwa aliyepata ajira serikalini kada ya maabara ya hospitali!!

    Kama heading inavojieleza hapo juu mimi ni mtaalamu wa maabara, mwenye stashahada nilijaribu kurusha ndoana kwenye ajira za utumishi nikala ndoige ya kichwa kwa kupigwa NOT SELECTED Sasa nimeona wanazengo wengi wakilamba asali kwenye pdf hizi za serikali hasa upande wa kada yangu ya maabara na...
  17. Walimu wa primary kazi hiyo!

    Nimeona sehemu hilo tangazo. Vijana jobless changamkieni. Kila la heri.
  18. Huu mfuko mdogo kwenye suruali nyingi za jeans huwa ni wa kazi gani haswa?

  19. Ufedhuri na biashara za kitapeli

    ni jambo la kusikitisha kuna siku niliwahi sema humuu JF kumetapakaa matapeli na watu wa hovyo sana,, just assume watu wanaomba kazi humu mtu anadiriki kujifanya anakazi anakupatia tena anakusumbua tafuta wadhamini njoo na barua za utambulisho toka serikali za mtaa Ehhhh bana unaingia kazini...
  20. Vijana wahitimu wa Vyuo Vikuu wanataka nani awapambanie?

    Hawa vijana hawawezi jipigania, hawawezi shinikiza ajira, haeawezi oaza sauti zao, hawa wanataka mtu baki awapiganie, na apigwe Mabomu na Polisi wakati anawapigania wao wakiwa kwenye keybord. Vijana wa vyuo vikuu mtaani ni wengi mno na CCM haitaki wapate hata ajira ili iwatumie ipasavyo hasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…