kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. F

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi, aweze kumtunza mtoto wake mwenye ulemavu

    Kuna dada mmoja anamtoto mlemavu wa mguu, mtoto Hana mguu mmoja, huyu dada amesomea certificate ya mipango ,mwanaume aliyemzalisha alimkataa alipojifungua tu Mtoto mlemavu, anaomba msaada aweze kupata kazi ili aweze kumuhudumia mwanae, kila mwaka mtoto anatakiwa abadilishiwe mguu bandia, hali...
  2. JamiiForums Tanzania Kamba uliomba nafasi za kazi TRA jipange, jiandae mapema

    Leo, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yussuf Mwenda, ametangaza kuwa waombaji 135,027 wamejitokeza kuomba nafasi za kazi 1,596 zilizotangazwa na mamlaka hiyo. Nafasi hizi za ajira zilitangazwa mnamo Februari 6, 2025, zikijumuisha kada mbalimbali. Kutokana na idadi kubwa ya...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Degree 100 zimefutwa baada ya vyuo 15 kufanya kazi kinyume na Sheria Kenya

    Nimewaza tu kwa sauti kwamba mtu umepigika zako miaka mitatu ya kutafuta digrii alafu unakuja kufutiwa kwamba ni feki. =================================== Tume ya Elimu ya Vyuo Vikuu imetaja vyuo 15 vinavyofanya kazi kinyume cha sheria nchini Kenya na kuwaonya Wakenya kwamba vyeti vya kimasomo...
  4. JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu ya CCM, ya Utu na Kazi, Imewapa Agenda ya Awali Wapinzani.

    CCM ndiyo inayoongoza Serikali. Lolote baya au zuri linalofanywa na Serikali, CCM inabeba uhusika mkuu. Jukumu la kwanza la msingi kabla ya mengine yote kwa Serikali yoyote halali Duniani, ni usalama wa wananchi wake. Katika kipindi hiki cha awamu ya 6, tumeshuhudia uovu wa ajabu kabisa wa...
  5. JamiiForums Tanzania CCM Kazi na UTU mnadanganya umma.

    Kwa yanayoendelea nchini miaka mitatu ya serikali hii ya Chama hiki na mwenendo' na kauli za Vijana wa Chama hiki, kusema mnajali UTU ni uongo mchana kweupe. Watu waliopotezwa na kuuawa chini ya Chama hiki katika miaka 3 hii huwezi kuongelea UTU watu wakakuelewa. Hakuna mahali Chama hiki...
  6. JamiiForums Tanzania Dereva taxi na Bajaji mtandaoni natafuta kazi

    Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya hesabu au mkataba pia iwe ya gesi au petrol tuwasiliane 0654037276.Nina uzoefu wa miaka 2 katika...
  7. JamiiForums Tanzania Utabiri uliofichika:- Kazi na Utu

    Utabiri ni kuona yale yajayo kiunaga ubaga. Utabiri lazima utimie. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutabiri na kubashiri. Kutabiri ni jambo la rohoni wakati kubashiri ni jambo la mwilini. Kwenye kubashiri, ubashiri sio lazima utumie kwasababu uko mwilini, na ulimwengu wa mwili...
  8. JamiiForums Tanzania Kumbe hawa TMA Stars FC ni Wajeda watupu? Ebhana wako Fiti na wanacheza Physical ile mbaya. Kazi tunayo leo

    Hofu yangu wasije wakawa baadhi ya Wachezaji wao ni Makomandoo pia kwani wana Pumzi na Wanakaba Kijeshi mno.
  9. JamiiForums Tanzania Pesa nyingi ninazopata kwenye Freelancing zianaishia kuwalipa vijana wanaonisaidia kufanya kazi. Hii level inaitwa dropservicing

    Pesa nyingi ninazopata kwenye Freelancing zianaishia kuwalipa vijana wanaonisaidia kufanya kazi. Hii level inaitwa dropservicing Nitakuelekeza mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze kufanya dropservicing... Pia ukitaka kufanya freelancing zingatia haya Kwanza kabisa lazima uanze kama freelancer...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia kuwalambisha nyongeza mishahara ya Ma DED na posho za madiwani

    Wakuu Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye mkutano mkuu wa 39 wa jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ameeleza kuwa watashughulikiwa suala la mishahara ya wakurugenzi wa halmashauri na posho za madiwani. "Tuachieni tufanyie kazi, wanasema mcheza kwao hutunzwa, sasa ngoja tukaangalie huo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kazi

    Kwa majina naitwa kelvin ramson joseph kama kuna mtu ana connection ya kazi naomba anisaidie nipo dar es salaam nina degree ya bachelor of adult education with community education kama kuna sehemu na fit naomba unisaidie ikiwa moro ni vizur zaidi hususani kwenye hizi NG'O tafadhali tusaidiane
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke tegemezi asiye na Kazi huwezi sema anakuheshimu au kukutii. Heshima inatoka kwa mtu anayejitegemea Nje ya hapo tegemea Unafiki.

    MWANAMKE TEGEMEZI ASIYE NA KAZI HUWEZI SEMA ANAKUHESHIMU AU KUKUTII. HESHIMA INATOKA KWA MTU ANAYEJITEGEMEA NJE YA HAPO TEGEMEA UNAFIKI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwa Sisi tusiopenda unafiki na tunaojua hulka na akili ya binadamu. Kamwe hatutazamii heshima yoyote kutoka kwa mtu asiye...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa kizazi hiki wazazi tuna kazi kubwa

    Kwanza niwape pole walimu na pia wale wote waliohusika hadi kutufikisha hapa na kutupa uelewa kupitia wa elimu.Miaka ya 90 watu walisoma wakubwa lakini walikuwa watiifu sana wa kufata maelekezo na pia adabu kwa wakubwa lilikuwa si ombi bali ni lazima uliweza adhibiwa na yoyote ili miradi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Queen Sendiga awachana watoto wa 2000, hawajishughulishi na kazi za nyumbani

    Wakati shamrashamra za maandalizi ya Siku ya Wanawake Duniani zikipamba moto, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amewashukia 'watoto wa 2000' akidai kwamba wengi wao hawajishughulishi na kazi zozote wawapo makwao.
  15. JamiiForums Tanzania Kuna kiwanda nimewambia niwape mteja kutoka china wa mazao !! Meneja kagoma kasema wao hawafanyi kazi na mtu binafsi na middle man??

    Nimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset. Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!! We manager ni zero brain kabisa!! Najua huu uzi utausoma NB: Nadhan angekua ni mwenye kiwanda asingefanya huu ujinga
  16. JamiiForums Tanzania Nadaiwa na kampuni wameacha kufanya kazi na mimi na sina mchongo wa kupata hela ya kuwalip kwa sasa je endapo nitapelekwa mahakamani sheria inasemaje

    Kama mada inavyojieleza, nilikua nafanya kazi na kampuni flani sasa kuna hela kidogo nliitumia kwa kutegemea nitailipa kadri ninavyoendelea kufanya kazi Sasa ghafla jamaa wakaniachisha kazi wakati bado sijamaliza lile deni na sikuwa nalipwa mshahara ni commision tu ambayo ndo nlikua naitumia...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM Dodoma: No reforms No election ni kuingilia kazi ya tume

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amesema baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani ambao wamekuwa wakijinasibu na kudai ‘No Reform, No Election’ ni waongo, akidai kuwa hufanya vikao vya siri vya kuwaandaa watu kugombea nafasi...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ESS: ujumbe huu una maana gani kwenye mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi

    Napata ujumbe huu "error initializing transfer request " Niliomba maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi , mwenzangu aka accept ombi then maombi yakatumwa kwa mkurugenzi na kuwa approved, baada ya hapo mfumo unataka nisubmit maombi nikiwa nimeambatanisha docs Nimefanya hivyo lakini...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kazi Ridhiwani Kikwete - Ajira kwa Vijana Watanzania na Ukiritimba wa Wachina

    Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Mh. Ridhiwani Kikwete, Najiuliza, je, tunafahamu hali halisi ya ajira kwa vijana wa Kitanzania, hasa wanapokuwa wanatumikishwa na wawekezaji kutoka nchi za nje, kama vile wachina? Hali hii imefikia hatua ya kutisha ambapo vijana wa Kitanzania wananyanyaswa na kuzidi...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi wakala wa afya na usalama mahali pa kazi (OSHA) huwa wanakagua

    OSHA ni Wakala wa Serikali chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu , Idara ya Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu. Wajibu wake ni kuwalinda wafanyakazi dhidi ya vihatarishi vilivyopo au vinavyojitokeza katika sehemu za kazi ambavyo vinaweza kusababisha Magonjwa, Ajali na hata Vifo. OSHA inatekeleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…