kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania KAMA UNATAMANI KUJUA KUHUSU UJENZI PITA HAPA UONE NAMNA TUMEKAMILISHA KAZI ZA WATEJA WETU KUANZIA DESIGN HADI UJENZI +255624004650

    SISI TUNAHUSIKA KATIKA DESIGN NA UJENZI MAKINI SANA TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM SINZA CALL/WHATSAP US +255624004650
  2. JamiiForums Tanzania Shilole: Vijana wa Kitanzania acheni kunisumbua DM kunitaka Kimapenzi ili niwalee au mlelewe, bali tafuteni Kazi mfanye shauri yenu kuweni makini

    Nimependa sana Shilole hapo alipomalizia na sentensi ya shauri yenu kuweni makini kwani kuna 'Pancha' nyingi zinakuja.
  3. JamiiForums Tanzania Wakurugenzi waliosabibisha hasara kubwa kwenye mashirika ya umma wajiuzulu, Rais futa watu kazi

    Kuna umuhimu gani wa kwa wakurugenzi wote waliorekodi hasara kubwa katika mashirika ya umma wanayoyaongoza kuendelea kuwa kazini? Hakuna uwajibikaji katika utumishi wa umma kabisa na ukichunguza kwa undani hasara nyingi katika mashirika ya umma yanasabibishwa na ufisadi, uzembe, wizi ikiwepo...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Umeshakaa ukijiuliza mistari hii kwenye taulo ni ya nini? 🤔

  5. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi. Elimu diploma ya clinical medicine

    Husika na heading hapo juu Elimu diploma ya clinical medicine GPA ya 5.0 Kazi anazo weza kufanya 1. Kutibu wagonjwa both symptomatically and clinically 2. Kufundisha masomo ambayo anayoweza kufundisha . Patient care . Reproductive and chilid health RCH . Biology ...
  6. JamiiForums Tanzania Wajenzi makini katika kazi zetu

    Design and build Mapwepande now we are working on landscape Kupata huduma zetu +255624004650
  7. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
  10. JamiiForums Tanzania Rate our work on this mansion

    Rate our work on this mansion ukipenda kazi zetu call us +255624004650
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, Una Biashara au Kazi Iliyofichwa?"

    Ethan alikuwa na ndoto ya kuwa bosi wake mwenyewe. Baada ya miaka mingi kufanya kazi ya 9 hadi 5, hatimaye aliamua kuanzisha kampuni yake ya usanifu wa michoro. Mwanzoni, ilikuwa ya kusisimua—wateja walikuja, pesa zikaingia, na alijivunia kuwa mmiliki. Lakini kadri muda ulivyopita, Ethan...
  12. JamiiForums Tanzania Unafanyaje ili mteja au client aendelee kufanya kazi na wewe

    Unafanyaje ili mteja au client aendelee kufanya kazi na wewe? Ili brand yako ikue ni lazima upate wateja wapya na wateja waliopo waendelee kufanya kazi na wewe. Huwa natumia hizi njia kumfanya mteja aendelee kufanya kazi na mimi.. Tunatumia gharama sana kupata wateja..! Tunatumia nguvu sana...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kazi

    Kazi.Habari natafuta kazi yoyote npo dodoma nna miaka29 elim nna degree ya development studies.experience nna ya miaka mitatu ya kufanya kaz kam sales officer bank
  14. JamiiForums Tanzania Kutafuta Kazi ya Ndoto: Kupenda Ulichosomea au Kuendana na Soko?

    Kuna pressure kubwa sana kwa vijana wa siku hizi kuhusu kazi. Ukimaliza chuo, wazazi na jamii wanataka uingie kwenye ajira fasta. Lakini hapa kuna dilemma moja kubwa: Unatafuta kazi unayoipenda au unafuata kile ambacho kinalipa? 🤔 Team "Nifanye Kazi Ninayoipenda" ❤️ Kuna watu wanaamini kabisa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mratibu wa Uandikishaji Dar: Wakala wa Chama kazi yake ni kutazama sio kunakili majina ya wanaojiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja yenye kichwa cha habari “Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?” na kufafanua jinsi Wakala wa chama alivyokuwa akichukua majina ya wanaojiandikisha, ufafanuzi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ukisikia majaribu ndio haya, yupo degree mwaka wa pili, kaitwa kazini serikalini kazi ya Diploma, aghairi au aende ?

    Majaribu ndio hayo wakuu, Dogo ana miaka 23, mwaka 2020 matokeo ya form 4 yalitoka akiwa na division 1, wengi walidhani ataenda advance ila haikuwa kwenye mipango yake, alienda chuo. alipoingia degree alibahatika kupata mkopo (anakula boom) Kimasihara aliomba ajira kwa cheti chake cha...
  17. JamiiForums Tanzania Anaye kukopesha ndio unamlipa kukufanyia kazi.

    Mwanauchumi wa kimataifa, John Perkins anakwambia huwa wanazikopesha pesa nchi za Afrika. Zijenge miundombinu. Kinachotokea, zile pesa zinalipwa kampuni zao kufanya huo ujenzi. Kwa maana hiyo, pesa wanazotoa, zinarudi mifukoni mwao. Nchi za Kiafrika zinakuwa na madeni kwa pesa ambazo hazijakaa...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta vijana wa kuwapatia vitendea kazi kwa mikataba

    Salaam! Nina vitendea kazi kadhaa (vitazame hapa chini) ambavyo nilinunua kwa ajili ya biashara. Lakini kutokana na kutokuwa na muda wa kuendesha biashara, vitendea kazi hivyo havitumiki kama vilivyokusudiwa. Vitendea kazi vyenyewe ni hivi: 1. High pressure washer machines: zipo mbili. Moja...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Mamba wanafugwa au wameachwa ndani ya Bwawa la Mwalimu Nyerere? Kiufundi wana Kazi gani labda ya Kimkakati?

    Tafadhali wale mliosoma mambo ya Civil Engineering si vibaya mkaja kutupa Elimu ya uwepo wa Mamba wengi JNHPP.
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali nipo Mbeya

    Hello JF family, Nina umri wa miaka 26 (mwanamke)nina cheti cha kidato cha 4, pia nina mtoto mmoja. Naomba mnisaidie nipate kazi ili nijikimu na mwanangu 🥹 maisha magumu sana. Nina kipaji cha kupika na ninapenda sana kupika. TIA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…