kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. S

    JamiiForums Tanzania George Soros na Open Society yake ni maadui wanaokutana na usalama wa Taifa makini wenye kuijua kazi yake

    Bilionea George Soros anaishi na ubaya ule ule aliokuwa nao Marehemu Henry Kissinger miaka ile ya 70,80 na 90 alipokuwa na cheo na heshima katika serikali zilizoongoza USA. George Soros ndiye aliyeichangia kuiharibu Ukraine kwa kuingiza uhasama mwingi na mwisho wa siku kafanya biashara kubwa ya...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician) Mawasiliano inbox
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician) Inbox mawasiliano
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Isral aongelea Mauaji ya wafanye kazi wa Ubalozi huko Marekani Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.

    Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim. Kumbukumbu yao iwe baraka. Tunakumbatia familia zinazoomboleza katika kipindi hiki kigumu...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ama connection ya ajira nina kauzoefu na uwezo pia

    Habari za wakati huu Wana-JA. Natafuta ajira kwa vyeti nina bachelor of arts in development studies (Taaluma ya maendeleo) ila kwa uzoefu nilipopitia ni kama yafuatayo: 1.Assistant Community Development officer (CDO) 2.Administration Officer 3.Assistant HR 4.Store keeper (Whare house)...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Kiongozi wa CCM ana mamlaka ya kufukuza kazi mtumishi wa Umma?

    Inapaswa tumuelewe Lissu anaposema No Reform no Election.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Anaitajika mtu wa mauzo na masoko

    MAPADA SOAP LTD NAFASI: Mtu wa Mauzo na Masoko IDADI: Nafasi moja (1) MAHALI: Kitunda, Mzinga Block 19 – Dar es Salaam MAPADA SOAP LTD inatangaza nafasi ya kazi kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi katika kitengo cha mauzo na masoko. Tunahitaji mtu mwenye bidii, ubunifu, na uelewa mzuri wa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania NISAIDIE KUPATA KAZI SONGEA KWENYE MAKAA YA MAWE.

    Ndugu zangu kwema poleni na majukum. mimi operator wa excavator mzoefu naomba msaada wenu kwa yeyote anaeweza kuniunganisha songea kwenye makaa ya mawe japo nipate hata nafasi ya kutest kuonyesha nilicho nacho naimani humu kuna watu wengi wa aina tofauti naomba msaada wenu. shukrani.
  9. JamiiForums Tanzania Hizi ndio kauli zangu pendwa kutoka kwa mshana Jr

    Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa. 01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa) 02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute. 03.kwenye maisha Kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kazi ya ufundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi ya ufundi mitambo (mechanical technician) Piga : 0756704145
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Nina stashahada ya ufundi mitambo ( mechanical technician)

    Natafuta kazi Nina stashahada ya ufundi mitambo ( mechanical technician) Naishi dar es salaam Mawasiliano: 0756704145
  12. JamiiForums Tanzania Tangazo la Kazi Secretary/Receptioniat

    Anahitajika Secretary/Receptionist mwenye uzoefu wa miaka miwili na kuendelea, Mwenye Kujua kusoma na kuandika kiingereza vizuri, Uwezo wa kutumia kompyuta hasa microsoft office package, nadhifu na mwenye customer service, Tuma Cv yako ,nakala ya Vyeti na na recent passport picture kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kumuuliza fundi sifa zake za kitaaluma kabla hujampa kazi?

    Juzikati tulipata reference ya fundi mmoja tukamtafuta baada ya kupata mawasiliano yake akaja hadi saiti tukamwonesha kazi. Akacheki kazi anayotakiwa kuifanya akatoa mahesabu ya vifaa vyote vinavyotakiwa pale. Siku ingine tukakutana naye hardware kununua vile vifaa alivyoviandika yeye fundi...
  14. JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma Tanzania kazi yetu kubwa ni kusubiri mshahara, posho na madili

    Mimi siku zote nakuwa honestly, mkweli. Si mbinafsi, sifurahishwi na ubadhilifu na uzembe kazini. Ingawa mazingira yanaweza kummeza mtu. Naamini watumishi wa umma wengi tu ni watu wenye MIOYO safi, wenye MIKONO safi lakini mazingira yao ya kazi yanawameza. Na baadaye kugeuka kuwa watu wa hovyo...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania tujifunze kwa Finland kuhusu haki Sawa na Maisha ya Kazi, Serikali inalipa posho ya uzazi hadi mtoto akitimiza umri wa mwaka mmoja

    Wakuu, Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi. Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona wanawake wakiwa katika nyadhifa za juu serikalini, katika sekta ya biashara, na hata kanisani. Mfumo...
  16. JamiiForums Tanzania FROM PAGALE TO STUNNING MANSION THIS IS WHAT WE CAN DO UKITUPA KAZI YAKO 0624004650

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  17. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wanademokrasia nendeni mkaifanye kazi nzuri ndani ya CHADEMA

    Wapendwa wetu ambao kwa haki Ile Ile ya kidemokrasia, mmeamua kuondoka katika chama dhoofu cha chadema, nendeni CHAUMMA, mkaifanye kazi iliyo tukuka, ninyi ni wajuzi, basi enendeni mkasambaze ujuzi wenu kwenye chama chenu kipya, umakini, ustadi sera na yale yote yaliyo mazuri, hasa kutotumia...
  18. JamiiForums Tanzania Je unajutia muda wako uliopoteza kukesha vibanda umiza kwaajil ya kazi za watu hawa Alka Yagnik na Kumar Sanu? Wakali wa masong makali kutoka india

    Alka Yagnik na Kumar Sanu ni waimbaji wawili maarufu wa India waliotawala muziki wa filamu za Kihindi (Bollywood) hasa katika miaka ya 1990 hadi 2000. Sauti zao zenye hisia na ushirikiano wao na watunzi mashuhuri kama Nadeem-Shravan, Jatin-Lalit, na Anu Malik ziliwafanya kuwa sauti kuu za nyimbo...
  19. JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kazi za TANROADS Pwani-Kibaha

    Jamn kwemaaa!! Kuna yeyote ambae ashapata mrejesho wa hizi KAZI za TANROADS PWANI-?
  20. JamiiForums Tanzania Niache kazi Serikalini niende Botswana? Naomba ushauri

    Wakuu habari za siku mingi. Mercy yupo mzima, yupo dar kwasasa na kila siku ananisumbua niende dar au aje nilipo tuonane. Merry yupo tunasonga na maisha. Nimekuja leo naombani ushauri. Nilipata job govenment lakini at a time napambana na job ya govenment nilikuwa nishaanza kufatilia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…