kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kujitokeza kwa wingi Oktoba 29 kutafanya kazi iwe nyepesi zaidi

    Kazi ya kuondoa uovu nchini mwetu itakuwa nyepesi zaidi, na itamalizika kwa haraka sana na kwa usalama zaidi kwa kila mtu iwapo waTanzania, popote walipo ndani ya nchi hii watajitokeza kukataa uchafuzi uliopangwa kufanyika siku hiyo. Hivi vitisho vingi vinavyo tolewa na hao wanaojiita "Amiri...
  2. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi ambazo akili mnemba (AI) inaenda kuzifanya na isizoweza kuzifanya

    Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kuzidi kushika kasi, kazi nyingi zilizokuwa zina muhitaji binadamu kwa kiasi kikubwa zinaenda kufa na kupotea kabisa. Kwa wale wanaopenda kuajiriwa kazi zifuatazo zinaenda kufanywa au haziwezi kufanywa kwa kutumia akili mnemba (AI). Ukiangalia kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kazi ni rahisi sana Oktoba 29

    Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba. Siku hiyo kazi ni rahisi sana Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu. Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu...
  4. JamiiForums Tanzania Polepole bado yupo tunataka ashuhudie usaliti wa watu wake. Alifanya kazi na nyoka

    Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Kubalisha vituo vya kazi kwa watumishi wa Umma

    Mtumishi wa Umma Anayetaka kuhamia mkoa wa pwani kutoka mikoa yote Tanzania kasoro kigoma, katavi na shinyanga ila hususani Tanga, fani ni mechanical engineer karibu tubadilishane
  6. JamiiForums Tanzania Kutokupinga wauaji na watekaji ni kushiriki nao utekaji na mauaji. Tena kheri wauaji na watekaji kuliko wanaonyamazia maovu

    Hamjambo! 1. Nilikuwa nimetoka leo kwenda mjini. Njiani ya gari ikatokea mjadala kuhusu maandamano. 2. Wengi walionyesha kuyaunga mkono lakini walikiri wanawoga hivyo hawatashiriki. 3. Mama mmoja jirani yangu akasema, aache kufanya mambo yake aandamane. Akaongeza wanaoandamana hawana kazi za...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: It's Over, Romain Folz amefutwa kazi ndani ya Young Africans as expected. Official Announcement soon

    Credit by Felix jason
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu ukienda ofisi nzima haina hata mtu mmoja mzawa, kazi zote zinachukuliwa na wageni wa mbali, hii sio sawa, kuwepo na affirmative action

    Kwa muundo wa serikali yetu ilivyo hakuna serikali za majimbo hivyo kila kitu kipo chini ya kuu. Unaweza kwenda sehemu flani kwenye taasisi flani kubwa tu lakini humo maofisini hamna hata mzawa moja, kazi zote zimechukuliwa na wageni wa sehemu za mbali, wazawa hawana chochote. Sababu inaweza...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ivii Umewai kujiuliza Internet Shutdown Inavyofanya Kazi Yaani kujiuliza Kwanini ghafla unakuta WhatsApp, Insta au net nzima Imekata Internet Shut

    Ivii Umewai kujiuliza Internet Shutdown Inavyofanya Kazi Yaani kujiuliza Kwanini ghafla unakuta WhatsApp, Insta au net nzima Imekata Internet Shutdowns ni moja ya silaha ya serikali nyingi za Afrika. Hii siyo net tu kukatika, ni maamuzi ya makusudi kudhibiti taarifa au kukata mtiririko wa...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Mobile Wallet ni nini na inafanya kazi namna gani?

    Mabosi wangu wanataka kunilipa pesa ila nimeambiwa wataniwekea kwenye mobile wallet kwa mjuzi hii imekaaje?
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi: Digital Marketing Officers (Tourism & Hospitality Sector)

    Ninahitaji watu 5 pekee (wadada na wakaka) wenye uelewa na passion ya marketing (hasa digital marketing) ili kuendeleza sekta ya utalii na kuhakikisha wageni wanapatikana kila mwezi. 🔑 Muundo wa Kazi Kazi yako kuu ni marketing & client acquisition — kuhakikisha wageni wa kimataifa na wa ndani...
  12. JamiiForums Tanzania Lissu alishamaliza kazi yake tokea mwezi wa tano

    Hata serikali ikaamua kukaa naye tu hata mwaka hakuna shido. Maana sumu aliyoitema imeshaenea nchi nzima now yeye anapumzika tu kama bosi aliyeacha majukumu kwa wafanyakazi wake kisha yeye akasafiri. Tuombe mungu tu huu uchaguzi utaenda kumwaga damu za watu kama kutatumika nguvu bila akili...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kufua na kufyeka nyasi nafanya

    Mambo vipi wakuu natafuta kazi zile za chap chap kama vile kufyeka nyasi naondoka na hela, kufua nguo za kike na za kiume imladi umeshaziloweka na sabuni ya unga nakuja nafika nafua fasta unanilipa kiasi tulichokubaliana nasepa, Nafanya usafi vyooni kama kukiweka safi kila siku kiasi...
  14. JamiiForums Tanzania Maafisa biashara, maendeleo ya jamii na maendeleo ya vijana wana kazi gani?

    Hawa watumishi ni muhimu sana, lakini tunajua kazi zao, maana bado maendeleo ni kizungumkuti, vijana wanahama miji yao kwenda kutafuta fursa sehemu nyingine. Japo sio vibaya wao kuhama, lakini maafisa hawa si ndio inabidi wafikirie namna ya kuongeza fursa ili vijana wabaki kwenye maeneo yao. Je...
  15. JamiiForums Tanzania TAKUKURU fanyeni kazi zenu, mimi hizi messages hazinihusu, kila siku natimiza wajibu wangu kama mzalendo wa nchi yangu

    Kila siku tunawaletea taarifa, juzi tu nimewaletea taaarifa hapo ofisini. Fanyeni kazi zenu
  16. JamiiForums Tanzania Hivi huwa yana kazi gani?

    Katika vitu sipendi katika mwili ni mvvvz, hivi huwa yana kazi gani? Yani yaliwekwa kwaajili gani? Any scientific or moral explanation??? Yani ikifika muda wa kuyanyoa ndo kabiiisaaa naboreka mno. Siyapendi kuyaona. Wapi nitapata huduma ya kwenda kuchanua yatolewe sinza au tabata naomba nitajie...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Laptop Gani Inafaa Kazi Yako Hasa — Na Kwanini Watu Wengi Huchagua Vibaya?

    Laptop Gani Inafaa Kazi Yangu ? Kwa Nini Swali Hili ni Muhimu? Kila mnunuzi wa laptop anapofika sokoni au anapotafuta mtandaoni hukutana na swali moja kuu 👉 “Laptop hii itaendesha software zangu kweli? Itakubali printer na projector zangu? Itakuwa na speed Kwenye kazi zangu?” Na hapa ndipo hofu...
  18. JamiiForums Tanzania Makocha hao hapo sasa simba kazi kwenu

    Mnaotafuta Kocha kuna huyo Romuald Rakotondrabe pale Madagascar ✍️👊 Mwalimu sana huyu! Nabi Nessredine pia hana kazi kwa sasa✅ Jose Riveiro naye hakijaeleweka saaana ✅ Miloud Hamdi atafukuzwa pale Ismailia muda wowote wiki hii ✅ Wengine mnaoweza kuwatafuta: Miguel Gamondi - Singida Huwa...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kazi ya hili gari la polisi lenye kama radar hapa Morocco

    Barabarani hapa karibu kabisa na kituo cha osterbay polisi kuna gari NI la polisi ila linafanana na Yale ya jeshi la IDF kwa juu kina kama radar inazunguka Ile kazi yake ni Ku detect kitu gani naomba mwenye uelewa
  20. JamiiForums Tanzania Nilipata kazi sababu ya uzuri

    Pamoja na kua na vigezo, ila muonekano wangu ulifanya mkuu wa panel awe mpole sana na kuonesha kuvutiwa na mimi, nilipata kazi kirahisi sana. Baada ya kuingia kazini, nikawa namkwesikutaka ku date eneo la kazi. Kuna vitu haviwezi ongelewa ila vina athar sana mupnekano ikiwepo, people do judge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…