kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Ufaransa: Marubani wasimamishwa kazi kwa kupigana wakiwa angani

    Shirika la Ndege la Ufaransa, limewasimamisha kazi marubani wake wawili wa Air-France kwa kosa la kupigana wakati wakirusha ndege ya Airbus A320 kutoka Geneva kwenda Paris mwezi Juni. Wafanyakazi wengine waliingilia kati ugomvi baada ya kusikia kelele ambapo waliamua kuwatenganisha vyumba...
  2. JamiiForums Tanzania Pegasus Spyware: Ni nini na Inafanyaje kazi?

    Serikali duniani kote zinakabiliwa na madai ya kutisha kwamba zilitumia programu hasidi iliyotengenezwa na Israel kwaajili ya kupeleleza simu za wanaharakati, waandishi wa habari, wasimamizi wa mashirika na wanasiasa. Lakini je, spyware ya Pegasus inafanya kazi vipi hasa? Je, inaingiaje kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania mtaacha lini kufanya kazi kisiasa?

    Aliyefukuzwa TRC apekuliwa na polisi Summary Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limefanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Meneja wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Kanda ya...
  4. JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi kada ya afya

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Mashariki imepata kibali cha ajira 6 za Watumishi wa Kada za afya kwa ajili ya Hospitali na vituo vya afya. Sifa za waombaji ni kama ifuatavyo; DAKTARI DARAJA LA II (NAFASI 1) Waombaji wawe na Shahada ya Udaktari wa binadamu...
  5. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ushauri unavyofanya kazi na kubadili maisha ya mtu

    Ni nafasi nyingine tena kukutana katika jukwaa hili. Leo nataka tuzungumze kwa habari ya ushauri vile ambavyo unafanya kazi, na vile ambavyo unaweza kubadilisha maisha ya mtu yakawa mazuri au mabaya kulingana na vile utakavyotumika huu ushauri kwa aliyeupokea. Maisha ya mwanadamu anaeishi...
  6. JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi wamuomba Rais Samia kumfukuza kazi Jaji Mutungi

    Chama cha NCCR-Mageuzi, upande wa Mwenyekiti James Mbatia umemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi wakidai inashindwa kutekeleza majukumu yake kwa weledi ikiwamo kusuluhisha mgogoro unaoendelea ndani ya chama hicho. Chama hicho...
  7. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Walimu, wapeni kazi watoto wanaofaulu darasani

    Mwalimu John alikuwa akifundisha katika shule moja ya umma, katika kufundisha kwake Kwa miaka kadhaa, utendaji kazi wake umekuwa watofauti Sana na walimu wenzake. Ilifikia hatua walimu wenzake walishindwa kumuelewa kabisa, hali iliyopelekea utendaji wake wa kazi kuwa ni wa Maswali mengi sana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Tozo zimekuwa nyingi na hazionekani zinafanya kazi gani

  9. R

    JamiiForums Tanzania Leo tuachane na siasa, tujifunze magari yetu yanafanyaje kazi

    majority humu mnaendesha magari. Je, engine yako inafanyaje kazi? C&P
  10. B

    JamiiForums Tanzania KAZI KATIKA TAASISI ZA KIMATAIFA

    UNITED NATIONS CAREERS https://careers.un.org › lbw › jobfeed United Nations Job Openings - UN Careers Posted Date : 8/26/2022 ... Department/Office : Economic Commission for Africa ... UNCTAD Intenship Programme in the International ....
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana tufanye kazi, nyakati zinabadilika, uchumi wako unategemea utendaji kazi wako

    Salaam kwenu wapenda maendeleo. Najua Kuna wakati tunawachosha kwa makala nyingi za mfululizo , tusichoke kushiriki Hanna kwasababu kupitia platform hii, Kuna watu wanabadili mitazamo. Kuna wengine tunaandika siyo tu kwaajili ya shindano la story of change, No, wengine tunaitumia platform hii...
  12. JamiiForums Tanzania Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

    Taarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo, AMEKAMATWA NA POLISI. Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala, amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao...
  13. JamiiForums Tanzania Sensa na Changamoto ya Intaneti: Karani wa Sensa Akutwa Juu ya Mti akitafuta Mtandao Butiama, Mara

    Ni huko wilaya ya Butiama kwa Baba wa taifa hili Mwl J. K. Nyerere. Kwa jinsi ambavyo viongozi wetu wasivyopenda kukosolewa, si ajabu karani huyu wa sensa anafukuzwa kazi kwa kuposti picha hii na kueleza changamoto hii. Anaweza kuwa charged kuwa anahujumu zoezi la sensa. ======== Makarani wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mawakili wanena kuhusu Mfanyakazi wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kupinga tozo

    Wanasheria mbalimbali wametoa maoni tofauti kuhusu kufukuzwa kazi kwa Meneja wa Shirika la Reli nchini (TRC) Kanda ya Dar es Salaam, Jonas Afumwisye huku baadhi yao wakionyesha nia ya kumpatia msaada wa kisheria. Juzi, Afumwisye alipokea barua iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja...
  15. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Dell latitude E6510(Machine ya kazi) 8GB RAM, core i7 and 500Gb ROM Kwa 475,000 tu

    ,nauza machi
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri uliotolewa na Mwigulu kuwa wakurugenzi wa mashirika ya umma waombe kazi ajira portal, umeanza kufanyiwa kazi.

    Sasa hivi ni mwendo wa ajira portal. Hakuna cha kusubiri uteuzi kama ilivyokua https://www.jamiiforums.com/threads/waziri-nchemba-napendekeza-wakuu-wa-mashirika-ya-umma-wafanyiwe-usaili-kwa-ushindani-badala-ya-teuzi-kama-awali.1992080/
  17. JamiiForums Tanzania Thailand: Mahakama yamsimamisha kazi Waziri Mkuu

    Mahakama ya Katiba imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Prayuth Chan-ocha baada ya kuwekewa pingamizi na vyama vya Upinzani vilivyodai kiongozi huyo amemaliza muhula wake wa miaka minne Inaelezwa kuwa pingamizi hilo la kisheria linaweza kumuondoa kazini Kiongozi huyo ikiwa ni miezi michache imesalia...
  18. JamiiForums Tanzania TUCTA yapinga kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa meneja wa TRC kanda ya Dar es Salaam

    Baada ya aliyekuwa Meneja wa Kanda wa Shirika la Reli Tanzania, Jonas Afumwisye, kuthibitisha kupokea barua ya kufutwa kazi, Rais wa Chama cha Wafanyakazi nchini amesema wanapinga hatua hiyo kwa kuwa alitimiza haki yake ya kutoa maoni. Meneja huyo anadai, kusimamishwa kazi kutokana na kupinga...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kazi za Ubalozi wa Marekani hukuchua muda gani kuitwa?

    Wakuu samahani, Naomba kufahamu usahili wa kazi kwenye Ubalozi wa Marekani huwa inachukuwa muda gani mpaka kuitwa huko
  20. JamiiForums Tanzania Njombe Karani wa Sensa afutwa kazi baada ya kuibiwa Kishkwambi

    Mratibu wa zoezi la sensa mkoani Njombe Amewafuta kazi makarani wawili, baada ya mmoja kuibiwa Kishkwambi, akiwa na mwenzake kwenye ulevi ulipitiliza Pamoja na kuwafuta kazi hao, Mratibu amesema zoezi litakwenda vema japo hao wawili wameondolewa Mambo ya ngoswe yameanza mapema kujitokeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…