kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Mimi ni binti miaka 26 Nina elimu ya stashahada ya utunzaji fedha naishi Kibaha Pwani. Nipo hapa kuomba ajira ndugu zangu nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote 🧎🏻‍♀️🙏
  2. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la NHIf ni mpango kazi

    Tatizo la NHIF mpango kazi wao hauendani na mapato yao, na hii ni kwa sababu hakuweka watu sahihi katika kutengeneza, mpango kazi katika shughuli zao za kila siku na mipango yao ya muda mfupi na muda mrefu. Pili, inaonyesha pia wajumbe wa bodi pia unamapungufu katika kusimamia na kuthibitisha...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ni moja ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli

  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti Mkenya, Diana Chepkemoi apitia Jehanamu Saudi Arabia, baada ya kwenda kufanya kazi za Ndani

    This Kenyan girl called Diana Chepkemoi, Meru University student who went to find work in Saudi Arabia. She went healthy, now she is ENSLAVED. See her transformation. Our embassy has her location and employer's phone but they are sitting pretty waiting for her to die. Sad!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mkipanga hiki Kikosi changu MINOCYCLINE Leo Taifa Stars anashinda 3-1 au 2-0 hivyo Kazi Kwenu mlioko Kampala Uganda.

    1. Aishi Manula 2. Kibwana Shomary 3. Mohammed Hussein 4. Dickson Job 5. Kennedy Juma 6. Jonas Mkude 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum 9. Anwar Jabir 10. John Boko 11. Farid Mussa Tafadhali wanaoanza wawe hawa niliowataja na baadae waingizwe akina Lyanga, Sopu, Mwamnyeto, Kibu na Tepsi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini kuweka utamaduni wa uchapa kazi kwa vijana?

    Imefika wakati wa kuwauliza vijana ukikutana nao, wewe unafanya nini kama ilivyokuwa zamani. Vijana wetu tena wadogo ni zaidi ya 70% ya watanzania. Ni lazima tuweke utamaduni tofauti kwa vijana wetu ili waweze kushindana na vijana wenzao kwenye nyakati hizi za ushindani. Nchi zinaungana na...
  7. JamiiForums Tanzania Maombi ya kutafuta kazi

    Habari zenu ndugu zangu.jina langu ni SAIDI RAMADHANI.Nikijana mtanzania ninauhitaji wa kazi kwa kazi yeyote ile ya halali Niko tayari kuifanya.kwani ninauwezo wa kuzungumza kiingereza na kiswahili fasaha. kuhusu swala la mshahara nimaelewano na muajiri pale nitakapo pata kazi kikubwa ni kazi tu...
  8. JamiiForums Tanzania Simba Sports Club kazi mnayo

    Ninaangalia mechi ya kujipima nguvu dhidi ya Al Hilal Nina haya niliyoyaona. 1. Timu ina vipasi fulani hivi ambavyo havina impact yoyote. 2. Simba hamna timu ya ushindani tunacheza kitoto sana. 3. Nimependa physic na height ya wachezaji wa All Hilal na hizi ndizo height tunaenda kukutana nazo...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha vyombo vya muziki

    Habari wakuu natafuta kazi ya ya kufundisha muziki na kupiga vyombo vya music. Sina cheti ila nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika shughuli hii nina uwezo wa kupiga kinanda na gitaa pia ninaimba. Nafundisha rika zote. Kwa nafasi yoyote ya kazi naomba nijulishe inbox nafuatilia comments.
  10. JamiiForums Tanzania Liberia yaiomba Oman kusitisha utoaji wa Viza za Kazi za Nyumbani kwa Raia wake

    Serikali ya #Liberia imeiomba Oman kusitisha mara moja utoaji wa viza kwa raia wake kwa ajili ya ajira za nyumbani baada ya kundi la wanawake ambao tayari wako nchini humo kutuma picha zilizoashiria aina tofauti za unyanyasaji ikiwemo kubakwa na kufanyiwa ukatili na waajiri wao Afisa wa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, unafanya kazi inayoendana na masomo yako?

    Wanajamvi tumeshuhudia wasomi wengi wanaomaliza vyuo tofauti wakianza harakati za kutafuta ajira huku wengine wakijiajiri wenyewe kutokana na sababu tofauti ikiwemo kutaka manufaa makubwa ama kwasababu ya ukosefu wa ajira. Je ukiwa kama msomi, unafanya kazi zinazoendana na masomo yako? Kama...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Kazi ngumu na mvivu

    Kazi ngumu na Uvivu Katika nyumba kubwa, aliishi Kijana mvivu. Aliamka mchana, akala chakula chake kisha akalala kitandani tena. Alikuwa na kasuku aliyeitwa Polly. Alimwangalia mtu huyu mvivu na akashangazwa naye. Siku moja, Polly alimuuliza Kijana huyo, "Huchoki kulala kitandani mchana kutwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kipigo cha magoli 9 chamfuta kazi Kocha wa Bournemouth

    Klabu hiyo imemfuta kazi Scott Parker aliyekuwa meneja wake ikiwa ni siku chache baada ya kufungwa magoli 9 - 0 dhidi ya Liverpool. Parker anakuwa kocha wa kwanza ndani ya Ligi ya England kufungashiwa virago tangu msimu ulipoanza. Taarifa iliyothibitishwa na Mmiliki wa klabu hiyo, Maxim Demin...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia afungua kikao kazi cha Maafisa Wakuu Waandamizi wa Polisi, Shule ya Polisi TZ (TPS) Moshi, Agosti 30, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa / Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, leo tarehe 30 Agosti, 2022. Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania - IGP...
  15. JamiiForums Tanzania Hatuna kazi, tupo online muda wote ndiyo maana tunalalamika uchache wa MB

    Watanzania hatuko busy, hatuna kazi za kufanya, kila sekunde mtu yupo online Tweeter, JF, WhatsApp, Instagram, Facebook, MB zinaachaje kukauka? Si asubuhi, si mchana, si usiku, unakuta mtu anapost/kuview status, anaingia mtandaono kucheck videos, kwanini MB zisiishe? Wafanyakazi wengi wa umma...
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Pharma Dispenser

    Anatafutwa Pharma Dispenser mwenye usajiri wa pharmacy council, kuuza pharmacy uliyopo Dar es Salaam kiwalani. 0627345658
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nipo Mpanda

    Mimi ni binti nipo mkoa wa Katavi, wilaya ya Mpanda. Natafuta nafasi ya kazi yoyote hata duka ila nimesomea uuguzi, ila ninamatatizo ya masikio sisikii vizuri. Nimewahi kujitolea zahanati sehemu mbili. Mawasiliano yangu 0621364039 ila ujumbe pekee na sio kupiga kutokana na matatizo ya masikio
  18. J

    JamiiForums Tanzania TCRA imeendesha kikao Kazi na Wadau wa sekta ya Mawasiliano Kanda ya Kati

    TCRA imeendesha kikao Kazi na Wadau wa sekta ya Mawasiliano Kanda ya Kati Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari, ameongoza kikao kazi baina ya TCRA na Wadau wa Sekta ya Mawasiliano Kanda ya Kati, kilichofanyika Mkoani Tabora, katika ukumbi wa Isike...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Namna ya kufanya kazi na maadui sehemu ya kazi

    Umewahi kupata wazo kuwa mtu kazini kwako hana nia njema na wewe? Je, wakati mwingine unahisi kuna watu fulani unaofanya nao kazi ni wabaya wako? Inawezekana isiwe uadui wa moja kwa moja lakini kuna ile hali ya kutokuamni wenzako. Unajisikia haupo salama unapomsikiliza mtu lakini hujui ni...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Habari Wana JamiiForums! Kama kichwa kinavyojieleza, Kijana wenu nipo apa kuomba kazi. Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya halali. Kazi hilo iwe ndani ya taaluma yangu, au nje ya taaluma yangu nipo tayari kuifanya. Jinsia: Kiume Miaka: 23 Mahali Dar es salaam. Elimu: Chuo Kikuu. Nilichosomea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…