kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kikundi cha KIMAUCHA kinachofanya kazi za umeme chini ya TANESCO – Chanika kinafanya dhuluma kwa Wafanyakazi wake

    Kuna kikundi kinaitwa KIMAUCHA kinafanya kazi za umeme chini ya TANESCO Wilaya ya Chanika, Dar es Salaam, watu wanaohusika hasa viongozi wa kikundi hicho wamekuwa na tabia ya kudhulumu hela, ukijidai mdomo kuuliza unafukuzwa kazi. Jambo lingine linalokera hapo ni kuwa malipo yanachelewa sana...
  2. JamiiForums Tanzania Mabasi mengi yanayopata ajali 'VTC' zimechezewa hazifanyi kazi

    Hivi karibuni tumeona baadhi ya viongozi nanwatendaji wakikemea kuhusu mwendokasi wa madereva lakini ajali bado ni nyingi, tulijaribu kufanya research ndogo kwa nini hasa hii hali. Na dereva mmoja alithibitsha kua vile vidhibiti mwendo katika basi nyingi vimechezewa na Ratra baadhi ya watendaji...
  3. JamiiForums Tanzania Kuzuia yaliyotokea ni sawa na kuzuia mkojo, kazi ambayo ni ngumu sana lakini mwisho wake mkojo utatakiwa kutoka nje kwasababu ulishaingia

    Kinachotakiwa sasa ni kumwaga mkojo nje sio kuzuia ndani kwasababu utaharibu figo Hata White wasipoingia ndani bado watafikishiwa taarifa zote huko waliko Wengi washazuia wamechoka wameamua kukimbia
  4. JamiiForums Tanzania Ongeza thamani yako; Sio unahangaika kuomba kazi kumbe kazi yenyewe hata ukipata utaishia kulipwa laki 3

    ONGEZA THAMANI YAKO; SIO UNAHANGAIKA KUOMBA KAZI, KUMBE KAZI YENYEWE HATA UKIIPATA UTAISHIA KULIPWA LAKI 3. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Binti na kijana wangu. Umri wa miaka 10-25 ni umri wa kujijenga hasa kiujuzi, kielimu, kiuzoefu na kimaarifa. 2. Umri wa kuongeza value yako. Utu...
  5. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Saratani Ocean Road yamuonesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya jinsi Mtambo wa Cyclotron unavyofanya kazi

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe ametembelea kwenye banda la Taasisi ya Saratani Ocean Road lililopo kwenye Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma na kueleza kuwa anahitaji maelezo mengi kutambua ubora wa kazi za Taasisi hiyo akieleza kuwa inajulikana kuwa ni Taasisi imara sana ndani...
  6. JamiiForums Tanzania Na hiki ndicho AI huweza kukifanya pindi unapoiacha ifanye kila kitu yenyewe

    Angalia hiyo code hapo imeandikwa na Claude AI, ni code ambayo ukiipitia mstari hadi mstari haina shida yoyote na hata ukiirun itafanya kazi vizuri kwa maana lengo la hiyo method litakua linatimia bila shida ambalo ni kutengeneza parent ambae ni user. Shida kubwa itaanza kujitokeza taratibu...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha yamebana wakuu, natafuta kazi yoyote ya halali

    Habari wakuu, Naomba msaada wa connection ya kazi yoyote halali, hasa kwenye viwanda, maghala, site za miradi au sehemu yoyote yenye uhitaji wa wafanyakazi. Nina Degree ya Finance lakini imekuwa ngumu kupata nafasi ya kazi ya fani yangu, hivyo kwa sasa niko tayari kufanya kazi yoyote ya halali...
  8. JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tuombe kazi kupata inawezekana ata kama competition ni kubwa hasa kupitia ajira portal

    Kwa Msaada wa ajira portal na mifumo mingine.* Kama umesahau password, umesahau email,nk natoa msaada binafsi tuwasiliane kwa 0792715343
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kusimamia Airbnb, Lodge, Camp Lodge na Hotel.

    Habari za Jumapili.? Kama heading inavyojieleza hapo, Ninao uzoefu wa kusimamia na kuendesha Airbnb na Hotel (3*) na kwa uzoefu huo ninaweza kusimamia na kuendesha Lodge na Camp Lodges pia. Nipo Zanzibar lakini ninaweza kuhama na kurudi Bara kama nitapata kazi huko. Kwa sasa nilipokuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ualimu

    Job Advertisement A Secondary School located in Dar es Salaam is URGENTLY looking for qualified teachers in the following areas: 1. Chemistry and Biology 2. ICS/Physics/Mathematics 3. English and Chinese Qualified persons to submit their application letter and CV to 0717 905 715...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya saidia fundi

    Habari wakuu natafuta kazi ya kulipwa iwe kibarua au saidia fundi wa ujenzi, umeme, kuweka VIGAE au kupska rangi na nk, Mimi ni kijana wa kiume. Nipo Kanda ya ziwa elimu 2 ujuzi nipo nao pia wa kufanya usafi mazingira ya nje na ndani naombeni kazi? Waeshimimwa wakuu🙏
  13. E

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi

    Location Zanzibar, Pemba
  14. JamiiForums Tanzania Yanga yamfuta kazi Kocha Mkuu Pedro Gonçalves

    Young Africans Sports Club (Yanga) imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves. Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Mei 6, 2026, uongozi wa klabu hiyo umeeleza umechukua uamuzi huo kama sehemu ya mabadiliko ndani ya timu, bila kueleza sababu za kina...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu Nina shida ya buku

  16. JamiiForums Tanzania FT: Bayern München 0 - 1 PSG | UEFA Semi Final 2nd Leg | Allianz Arena | 6 Mei 2026

    Bayern Munich Vs PSG; Leo! leo! leo! kazi ipo Ubavu chuma upande mwanaume mashine Bayern Munich, wakiwa nyumbani katika dimba la Allianz Arena mbele ya mashabiki wao, wanawakaribisha Paris Saint-Germain kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League. Mchezo huu utapigwa saa nne...
  17. JamiiForums Tanzania EWURA hawazalishi chochote ila kazi yao kupanga bei ya mafuta. Ifutwe kama tulivyofuta SSRA

    NB: Table hii haihusiani na bei mpya iliyotangazwa leo. Imetumika tu kujenga hoja. Jumla ya tozo ambazo zipo kwenye bidhaa ya mafuta ya Petrol na Dizeli kwa kila lita moja ni kama 30% ya bei. Serikali iiangalie namna ya kupunguza tozo hizi hata kwa 50%. Nchi kadhaa za Afrika kama Namibia...
  18. JamiiForums Tanzania Unapojenga kazi kubwa nunua mchanga kwa gari kubwa sio canter kuepuka hasara

    Nitaeleza leo umuhimu wa kununua mchanga kwa gari kubwa kama unaproject kubwa ya ujenzi UMUHIMU WA KUNUNUA MCHANGA KWA GARI KUBWA UKIWA NA PROJECT KUBWA 1. Unaokoa pesa nyingi FAW/Mende trip 1 = TZS 350,000 inaleta 18 cubic metre Canter kuleta 18 cubic metre = trip 6 × 60,000 = TZS 360,000...
  19. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mungu alifanya kazi siku sita ya saba akapumzika! Ina maana alichoka si ndio?

    Kusema akapumzika maana yake kazi ilikuwa ngumu sana ikamchosha hivyo ikamlazimu apumzike tena maandiko yanasema akastarehe kwa sasa tunaweza kusema akala Bata (BATA BATANI) Mwanzo2:1-3. Au Ninyi huwa mnaelewaje wajuvi wa maandiko? Ninachojifunza kupumzisha mwili na akili ni jambo la msingi...
  20. JamiiForums Tanzania Nitajie ma superstars wawili wanaopewa sifa ila kazi zao huzielewi kabisa

    1.Taylor swift- huyu anasikilizwa sana duniani na ni mmoja mwenye ma followers wengi ila hakuna hata kazi yake moja naijua wala kuisikiliza 2-Migos-hata sielewi nyimbo wanazoimba trap gani imepooza hivyo si bora african trap.sina kazi yao ninayoipenda hata moja
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…