kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie kupata Nafasi ya Kazi kwenye Ofisi yoyote, NGO au Microfinance

    Asante sana. Nilishafanikiwa kupitia jamii forum kupata nafasi
  2. JamiiForums Tanzania Tunaenda kumaliza kazi Misri, Al Ahly ni wa kawaida mno

    Kazi inaenda kumalizika Misri, Tukitumia mapungufu waliyoonyesha hapa kwa Mkapa tunatoboa Al Ahly ni wepesi tu, tunawaweza
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mkandarasi wa Reli ya SGR ameishiwa Mafuta ya Diesel, Mradi umesimama, hatufanyi chochote

    Serikali iangalie ifanye jambo kuhusu Mradi wa SGR hali inapoelekea sio nzuri, wakati wafanyakazi wenzetu wakipambana na Mkandarasi Yapi Merkezi kuhusu kuondolewa kazini, huku sisi ambao bado tupo kwenye uhakika wa ajira tupotupo tu. Mchongo upo hivi, kwa siku kadhaa sasa kazi zimesimama...
  4. JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani kazi bado ngumu

    Elimu ya matumizi ya zebra na taa za kuongoza magari na waenda kea miguu bado haijawafika wananchi wengi hasa kwenye Manispaa mbalimbali, walau kwenye majiji watu wanaelewa. Ongezeni jitihada ya elimu hii live in majority siyo mnatumia vyombo vya habari tu. Leo nimepita mahala taa ya kuzuia...
  5. JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani kazi bado ngumu

    Elimu ya matumizi ya zebra na taa za kuongoza magari na waenda kea miguu bado haijawafika wananchi wengi hasa kwenye Manispaa mbalimbali, walau kwenye majiji watu wanaelewa. Ongezeni jitihada ya elimu hii live in majority siyo mnatumia vyombo vya habari tu. Leo nimepita mahala taa ya kuzuia...
  6. JamiiForums Tanzania Ualimu kazi iliyotukuka zaidi. Mvinyo mpya Kiriba kipya

    Ndani ya shamrashamra za kazi bora zaidi kuwahi kutokea duniani nakutana na santuri hii iliyorejesha matumaini kwa Walimu. Twende tuendavyo Mwalimu anabaki kuwa Mwalimu. Mother of all professionals.
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) Oktoba, 2023

    Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) linatangaza nafasi kama ifuatavyo:
  8. JamiiForums Tanzania Shemeji yenu anaficha pochi kwenye chumba cha mabinti wa kazi.

    Wakuu napitia kipindi kigumu sana. Baada ya mzazi kugeuka mtetezi wa wanangu. Shemeji yenu amekua akiweka hand bag yake kwenye chumba cha mabinti wa kazi. Nahisi mwanzo wa jambo la hatari. Kwanini afiche hand bag.??
  9. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Tanga-Pasadit OVC-kizazi hodari -hho position

    EMPLOYMENT OPPORTUNITY – PASADIT TANGA PASADIT is a non-governmental organization operating under the Catholic Diocese of Tanga. PASADIT strives to ensure that the Most Vulnerable and Marginalized groups have dignity and secure life through social accountability, capacity building, service...
  10. M

    JamiiForums Tanzania NMB "Mshiko Fasta" ilitakiwa ifanye kazi kama Songesha na ''Nipige Tafu" za makampuni ya simu. Mnafeli wapi?

    Hivi NMB . Mnashindwa nini kufanya "Mshiko Fasta " ifanye kazi kama "Songesha" ama "nipigetafu? Yaani nyie ni bank kufungua account mnaitaji vitu kibao wakati Voda na Tigo wao wanataka kitambulisho tuu. Lakini bado hamuwaamini wateja wenu na viela vidogo. Mnakosa fedha
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya utendaji mtaa au kijiji

    Habari ya muda huu. Natafuta kazi ya afisa mtendaji mtaa au kijiji popote nchini nina cheti cha form four na form six.
  12. JamiiForums Tanzania Kuweni serious na vijana, msiongee tu

    Kila ninapopita nakutana na sakata la vijana, jinsi viongozi wanavyowazungumzia ni watu wasiojituma, wasiopenda kufanya kazi, yaani vijana wa Kitanzania wanaonekana hawapendi kazi kuliko vijana wengine duniani. Viongozi walioajiriwa wanatuambia sisi tujiajiri. Mtu unaweza vipi kujiajiri pasipo...
  13. JamiiForums Tanzania Kazi nzuri za Rais Samia zituachie Katiba Mpya

    KAZI NZURI YA RAIS DKT SAMIA INAHITAJI KATIBA MPYA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kumekuwa na mjadala wa Katiba mpya ambao umekuwa ukiibuka na kufifia. Mjadala umekuwa unaibuka na kufifia kwa kuwa una sura mbili. Sura ya kwanza wanahitaji katiba mpya na sura ya pili hawahitaji katiba mpya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nina degree katika field ya mazingira, natafuta kazi

    Habari Wana JF, Mimi ni binti wa miaka 23 napatikana dodoma level Yangu ya elimu ni degree katika field ya mazingira Naomba msaada wa connection ya kazi au kwa yoyote Mwenye kuhitaji kibarua aniajiri Ili niweze kujikimu Nb: kazi yoyote halali nina uwezo wa kuifanya 🙏
  15. JamiiForums Tanzania Hii Ap ya voda ina kazi gani

    Sijaelewa hii ap ya voda je ni kuni track kuingilia mawasiliano yangu au nimeitoa haikubali naitoaje.
  16. JamiiForums Tanzania Hizi ndio mada chokonozi za Media za Tanzania, kazi ipo!

    Jisomee Mwenyewe halafu toa maoni yako.
  17. JamiiForums Tanzania Kuna kazi mtu akiipata lazima tu tabia itabadilika kwa asilimia kadhaa kuendana na mazingira

    Kuna kazi ukiipata hata kama uwe na roho nzuri kiasi gani itakubadilisha tu kwa asilimia kubwa ili uendane nayo Mfano: kazi ya utrafiki,ukondakta hasa kwa mikoa ya Arusha na dar,kukusanya ushuru, Hizo ni baadhi tu
  18. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi vijijini nilikuwa nasikiaga tu kwa jirani

    Yamenikuta natamani kulia, nimepata ajira somewhere jamani chumba ni wadudu tu mda wote hata raha hamna masisimizi kibao hadi kitandani, kipindi cha mvua kinaanza chumba kinavuja, majongoo yanaingiaga ndani unaweza sema Niko nje network hakuna ni baadhi tu ya maeneo network inakamata. Ajira...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole kapotelea Cuba, ameungana na Kabudi na Dr. Bashiru Ali kujisomea majarida. Maskini kutoboa si kazi ndogo!

    Polepole amejitahidi kuandika andika na kusema ila mwisho ameishiwa pumzi baada ya vyombo vya habari kumkataa pamoja na mvuto kwenye social media kupotea. Huyu ni moja ya watu waliotoka familia maskini kama ilivyo kwa Bashiru na Kabudi. Kwa kuonekana wanataka kukitutumua familia za kifalme...
  20. JamiiForums Tanzania Kazi chafu: Hamas wanategeshea mabomu wanaohama Gaza Kaskazini ili kuwatisha wabaki, wanawasingizia Israel kuwalipua wanaohama

    Hamas wanategesha mabomu kwenye magari yanayohamisha watu Gaza kaskazini, Hamas hawaoni taabu kuua wapalestina kwa lengo la kutengeneza propaganda kuwasingizia Israel ndio wanafanya haya mashambulizi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…