kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kauli ya "No reform no Election" -2025 yaiangamiza "UPINZANI"

    Inawezekana kauli hii ilipenyezwa kwa walengwa bila wao "kung'amua" Faida iliyopatikana mpaka Sasa ni 100% kwani imewasambaratisha vipande vipande kupitia mtu wao (Urusi ilisambaratika vipande vipande kupitia Mikhail Goberchov mwaka 1990). Hasara; wale wanaokatwa vichwa kwa Sasa wanashindwa...
  2. CHADEMA Mungu akiwapa Nguvu na Ufufuo basi fikirieni hii Kauli Mbiu iwe ni Nuru ya Uzima kisiasa "Hasta La Victoria Siimpre"

    Kwa uchache niseme siasa zenye ushindani ni Nuru ya Uzima wa afya na akili kwa Taifa na jamii yeyote hapa Duniani. Sidhani kama ni afya chama Dola kukosa siasa za upinzani, basi ikawe neema yake Mungu pamoja na kwamba mimi si mwana CHADEMA, bado nina haki ya kuwa na utashi na akili ya kuelewa...
  3. Jicho la tatu la kijasusi kauli za kagame:"tunaweza kuja hadi hapo mnapofanyia mashambulizi dhidi ya Kigali na kuwafanyizia".

    Je tunaweza kumtambua kagame kama kiranja wa ujasusi ukanda wa maziwa makuu , na kusini mwa jangwa la Sahara? Tumeona umairi wake uko goma, kushirikiana na M23, tumeona akipeleka vikosi vyake Msumbiji kulinda amani na ushikiano zaidi ya askari 1000, akitumia mpaka wa rwanda kupitisha balozi...
  4. Kuelekea October 2025 unaenda na kauli upi?

    1. October Tunatiki 2. No Reforms No Election Haya kazi kwako
  5. E

    Kauli za Rais Samia zilizokosa uzalendo

    1.Kifo ni kifo tu. 2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse. 3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe. 4.Utekaji ni drama za wapinzani. 5.Katiba ni kijitabu tu. 6.Kula urefu wa kamba yako ila usivimbewe. Ongezea kauli za Rais Samia...
  6. Maneno huumba? Kauli ya channel ya vichekesho mbinguni. Je wachekeshaji na wafanya vituko kutaka kujazana bungeni ndio mwanzo wa taifa la vituko?

    Hamjambo Wote! Kuna msemo na Imani kuwa kauli na maneno ya mara kwa mara huumba. Kisaikolojia ni kweli. Kujitamkia au kutamkiwa maneno yaleyale mara kwa mara huyafanya yatokee. Na kuwa kweli. Kwa sababu maneno huathiri mfumo wa ufahamu, kufikiri, na hatimaye mtazamo. Je watu kusema taifa kuwa...
  7. Kauli za kufikirisha za waziri mkuu Majaliwa akijiondoea kugombea ubunge Ruangwa.

    Amesema, 1. Sasa amewaruhusu watu wengine wakashike nafasi yake ya ubunge wa Ruangwa. 2. Wagombea wote wa ubunge waliojitokeza ni wazaliwa wa Ruangwa, wana uwezo wa kuleta maendeleo. 3.Hatua yake ya kuacha ubunge wa Ruangwa imeongozwa na Mungu.
  8. Kauli ya Rais wa TLS kuhusu kufunga kanisa la Gwajima

    NINA LAANI NA KUKEMEA UNYANYASAJI NA SHAMBULIO LA KIIMANI LINALOFANYWA DHIDI YA WAUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.Ni Vema Viongozi wa Serikali wakatambua kwamba 1.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Tanganyika nitachagua Yesu. 2.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Ukimya munao uita amani...
  9. U

    Askofu & Mch J. M. Gwajia toa kauli yako t. Yaliyotokea leo J'pili polisi kutuvamia tukiwa ibadani, kutupiga na kuwakamata baadhi ya wenzetu sio sawa!

    https://youtu.be/EQnhTrDiykk?si=c1X_I-Sskz3-cwZR Baba Askofu, toka tulipokuona mara ya mwisho tarehe 2/6/2025 siku ya kwanza ya mkesha kanisa kuu ulipotea Lakini leo tumeona picha zimezagaa ukichukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kawe Ni jumapili ya nne mfululizo serikali kupitia jeshi la...
  10. Kwa tulioenda shule, hii kauli ya Trump ilikuwa ya mzaa saana kwa Iran

    "TRUMP JUST NOW: “ISRAEL was REALLY HIT HARD. Boy, those ballistic missiles took out a lot of buildings!” ...ikiwa alisema kwa dhihaka (sarcastically), basi ni kweli — ni mzaha wa kejeli kwa Iran, na inaonekana kulenga kubeza au kupuuza mafanikio ya shambulizi la Iran dhidi ya Israel. 🧠...
  11. Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ?

    Kauli ya kikwete "zakuambiwa changanya na zako" na ile kauli nyengine ya kusifia uchaguzi wa Kenya kuwa wa uwazi zaidi inatupa picha gani ? Nilimsikia kikwete anasema ukienda kupiga kura "za kuambiwa chanyanya na zako" pia alisema uchaguzi wa Kenya ni wa uwazi sana kiasi kwamba mtu anaweza...
  12. D

    Kauli na mambo kama haya yaliashiria tangu mapema kabisa viatu vya mama Tanzania havimtoshi sema tulipuuzia

    Watumishi wengi walielewa tofauti kauli ya mama kila alipohutubia alisema. "HILI NALO MKALITIZAME" Hii kauli huko Zanzibar kwa watu wa pwani inamaanisha kwenda kumaliza tatizo! Lakini ukiwa waambia watumishi wa Tanzanja Bara kwamba HILI NALO MKALITIZAME; Kwa vichwa vya watu wa bara halina...
  13. Waswahili na Kiswahili

    KAULI YA LEO Neno 'SWAHILI' kimatamshi linaweza kutokana na 'ZIWA HILI' au likatafsiriwa 'SAWAHILI' kutokana na neno la Kiarabu 'SAHIL' linalomaanisha 'PWANI' likirejelea 'lugha', 'tamaduni' na 'watu' wanaoishi 'kando kando ya bahari' au 'Pwani'. 'Wamijikenda' na 'wandigo' waliwaita 'Wajomba'...
  14. Unataka kuamini kauli za chadema kwamba CCM hawajaleta maendeleo yoyote tangu uhuru? Ushahidi huu hapa, jionee mwenyewe.

    CCM wamekuwa wakijigamba kwamba nchi wameitoa mbali, wameleta maendeleo. Upande wa upinzani wanasema nchi imekuwa ya hovyo kabisa ni afadhali mkoloni. Sasa mimi naweka ushahidi wote hapa kuunga mkono hoja za Chadema.
  15. Kauli ambazo za wanafalsafa mpaka leo zinaishi kwenye maisha yetu mifano tunayo

    Kauli maarufu inayohusiana na kwa sasa wanaitwa chawa chawa na ilitamkwa na mwanafalsafa wa Kirumi Tacitus, ambaye aliandika. “Even the worst rulers always find men who will praise them.” (Hata watawala wabaya kabisa huwapata watu wa kuwashangilia.) Au katika Kilatini kama alivyoandika...
  16. Oktoba linda kura ni kauli mbiu inayoashiria uchochezi na uvunjifu wa amani wakati wa uchaguzi, waliotoa kauli hii wadhibitiwe haraka

    Ni wazi kabisa ACT wazalendo walisaini maadili ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 mwezi October kuonesha kuwa walilidhia kanuni hizo, wanajua kanuni hizo ziliwaelekeza kuwaelimisha wafuasi wao kuwa hawataruhusiwa kuwa na simu eneo la uchaguzi wakat uchaguzi ukiendelea, pia wanajua wazi kuwa...
  17. Je?, umeshawahi ambiwa na mwanamke una sura ya upole, hii kauli uliipokeaje?

    No reforms no election. Wakuu kama mada inavojieleza, kuna mwanamke nimekua nikimfukuzia kwa mda kidogo sasa leo katika maongezi mara ghafla akaniambh nina sura ya upole. hii kauli niliipokea kwa mshtuko mana ilikua ghafla sikujua kawaza nini hadi aniambie hivo. je, wewe ulishawahi ambiwa hvo...
  18. Kwa kauli hii Dodoma hakuna ujenzi wa kiwanja kipya cha AFCON

    Arusha, tumeona maendeleo, Benjani tumeona maboresho, Dom mbona hata ramani hatuoni?
  19. O

    Mange Kimambi na Kauli ya 'No Reforms, No Election': Je Vijana wa Instagram Wanaamka Kisiasa?

    Katika hali ya kushangaza, kauli mbiu ya "No Reforms, No Election" inachipuka kwa kasi kubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, jukwaa ambalo lilizoea kudharauliwa na wachambuzi wa kisiasa kama sehemu ya "wajinga", wasiojali siasa wala mustakabali wa taifa. Instagram, mtandao wa picha...
  20. Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

    Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima. Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…