kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Mbowe, Katiba si muhimu sana bali tuombe Tanzania isimpate Rais Katili na Mwendawazimu

    "Kwa Madaraka makubwa aliyonayo Rais kutokana na Katiba iliyopo akiwa ni Rais mzuri haina shida, ila akiwa ni Rais Katili au Chizi anaweza kuipeleka nchi kubaya sana " Chanzo: BBC Dira ya Dunia Leo hii. Haya mnaoshupalia Katiba mpya na kutupigia Kelele zenu za 'Nongwa' kila Siku Mh. Mbowe hana...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli hii ni rasmi kuwa Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli ana Akili Kubwa kuliko Wanayanga wote na mpaka Injinia Hersi wa GSM

    "Hivi ni kwanini Waandishi wa Habari wa Michezo wa Tanzania mnapenda sana Kuzusha na Kutuchonganisha Yanga SC na Vilabu vyenye hao Wachezaji mnaotuhusisha nao kuwa tumeshawasajili? Ukweli ni kwamba mpaka hivi sasa naongea nawe hivi Yanga SC haijasajili Mchezaji yoyote yule kutoka nchi yoyote na...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri (Mwanayanga) Innocent Bashungwa toa kauli ya mwisho ya Serikali je, Dar es Salaam "Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ipo au haipo?

    Katika ile Barua ya Kusimamisha Mchezo (Mechi) ilisema Serikali yako na kupitia Wizara yako ya Michezo ndiyo mliisimamisha. Siku zinakaribia na kuna Timu inasema haitocheza hadi ipewe sababu ya maana ya Kusimamisha ile ya awali. Tafadhali Waziri Bashungwa jitokeze hadharani, toa sababu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mchepuko anapenda kumtaja mke wangu hata wakati wa tendo

    Mambo vipi ndugu zangu? Ama baada ya salamu, ngoja sasa nielekee katika mada husika. Kwanza kabla ya yote ningependa ieleweke kuwa mimi ni mume wa mtu, lakini kwa sasa mke wangu kasafiri kaenda kujifungua mtoto wetu wa pili kwao. Kutokana na upweke wa hapa na pale ikabidi nitafute bebee wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli za Chuki za Mbunge Tarimba Abbas (CCM) dhidi ya Simba SC na TFF naiomba Simba SC iachane rasmi na SpotiPesa yake

    "TFF ni Simba SC na Simba SC ni TFF na tumeshaona jinsi Simba SC inavyobebwa na TFF kiasi cha wengine Kuchoshwa na Upuuzi huu ", Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas Tarimba. Chanzo: Sports Court Wasafi FM leo. Simba SC nadhani tumeshauvumilia huu unafiki uliopitiliza wa Mbunge wa Kinondoni...
  6. JamiiForums Tanzania Kauli hii Moja tu ya Sabaya inatosha kabisa kumkamatisha Makonda na kuhojiwa na kisha kupelekwa Mahakamani

    Akinukuliwa na makamera, mlalamikaji ambae ni mfanyabiashara wa hoteli alisikika na akionekana kusema kuwa amejitoa Mhanga, yuko tayari kwa lolote. Alisema hivi,"Sabaya alinitaka nimpe milioni tano, na utaamua mwenyewe uiite rushwa au MAKONDA style". Mwisho wa kunukuu. Hii kauli ikitokea kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kauli za Chalamila zinazua maswali mengi

    CHALAMILA KAULI ZAKE ZINAZUA MASWALI MENGI. Na Robert Heriel. Nani aliyemuambia wananchi wa Mwanza Wanakinyongo na Kifo cha Magufuli? Chalamila hajamaliza hata wiki mbili tangu awe Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, sasa je aliwezaje kuzipata taarifa za Wakazi wa Mwanza kwa muda mfupi tuu kuwa watu...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, acha kuwadharau Watanzania kwa kauli hizi

    Kuna maneno yanatrend mtandaoni kua Mwigulu anasema kwamba hahitaji kupendwa na wengi wapigakura wake wanatosha kumpenda. Hii ni baada ya bajeti yake kuzua taharuki kubwa kuhusu kuongeza tozo kwenye miamala ya line simu.Anadai kua yeye amependekeza bajeti ili mambo yaende hajali watu wanaumia...
  9. JamiiForums Tanzania Kauli, matamko ya Rais Samia yaliyoleta umoja na utulivu wa nchi

    Amani iwe nanyi, Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea Watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara baada ya msiba mzito wa kuondokewa na rais Magufuli. Binafsi ninazo kauli mbili ,kama na wewe...
  10. JamiiForums Tanzania Mwendazake na kipenga uwanjani, nimekumbuka kauli ya kata miwa badala kupuliza kipenga. Awamu ya mwendazake panahitajika kitabu Cha somo tosha darasan

    Wana ndugu. Habari zenu? Nimeyasoma ya Sabaya nimesikitika sana Kama ni kweli. Kama ni kweli shutuma zinazosemwa basi watu wa Mkoa wa Kilimanjaro na Arusha tuwape pole. Lakini najiuliza alikuwa anajiamini namna gani? Je lilikuwa ni kosa la watanzania, Katiba na sheria zilizondani yake...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanahalisi imeamua kupotosha kwa makusudi kauli ya mbunge Mwanaisha Mlenge au wametumwa?

    Mwanahalisi imeamua kupotosha kwa makusudi kauli ya Mbunge wa Viti Maalum Tanga Mwanaisha Mlenge. Mwanaisha ameshauri Serikali iwe na Ofisi moja tu ya Tathmini na Ufuatiliaji (Monitoring and Evaluation) badala ya kuwa na ofisi ndogo sita ambazo hazina nguvu kwa kuwa zipo chini ya Wizara...
  12. JamiiForums Tanzania Kauli ya Kufikirisha ya Dkt. Tedros Adhanom wa WHO

    Nimejaribu kuifikiri na kuichambua kauli iliyotolewa na WHO Director General sijafika mwisho ila ni kauli inayofikirisha sana. "COVID-19 not a priority: COVID-19 does not register as a priority for the millions of people affected by the conflict because of the myriad other threats they face...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa upole huo usiokuwa na kauli ya kukemea tegemea kukwamishwa

    Mh Rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako. Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea ukasikika na utekelezaji ukawa wa haraka? lakin kwa namna unavyo toa maelekezo yako kwa hakika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Mrejesho ubovu wa stendi ya mabasi; Uamuzi na kauli ya Mbunge

    Wana JF. Kwa mkoa wa Kagera takribani wiki sasa mjadala mkuu ni hali halisi ya Stendi ya mabus ya mkoa ambayo hakika ni iabu kusema hii stendi ni ya mkoa. Hapa JF kuna thread na michango mingi iliyojadili stendi hii. Sitaki kuendeleza majadala unaweza kurejea thread hizi hapa chini...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Samia ni Malkia mwenye kauli tamu

    Hahahaa Tundu Lissu is on some shyt for real! Anywho, ana hoja za msingi sana kama ukimsikiliza kwa utulivu na kwa kutumia akili na si hisia. Intellect over emotions. Companero 😉😁
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga awatibua mashabiki kwa kauli yake

    Hii kauli imewatibua sana wana yanga haikubaliki inaonekana kama kakata tamaa au anauza mechi ya kesho, wan yanga inabidi wawe naye makini sana huyu mwarabu,yaani anaisifia simba kwa kandanda safi? Utalinganisha mibichwa ya sarpong?michenga ya tusila kisinda,mi control ya kalinyo,mi saves ya...
  17. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Kauli patanishi na unganishi za Rais Samia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu

    Kauli patanishi na unganishi za Rais Suluhu Samia nchini Kenya zimeleta tabasamu pande zote mbili za nchi zetu. Dunia imeona, imesikia & inasubiri vitendo. Hongera Mama. Tanzania uharibifu ni mkubwa zaidi. Rejesha tabasamu la Haki, Uhuru na Demokrasia. Tunakusubiri. #NeverAgain
  18. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari na Watangazaji wa Michezo pamoja na Mashabiki wa Yanga SC iepukeni hii kauli ya kinafiki inakera

    Kumekuwa na Utamaduni wa Kipuuzi kutoka hasa kwa Waandishi wa Habari, Watangazaji wa Michezo nchini pamoja na Mashabiki wa Yanga SC juu ya Kauli hii ya Kinafiki. Kila ambapo Klabu ya Simba (hasa pale tu Kikosi chake) kikiwa imara na kinafanya vyema katika Mechi zake kuliko Klabu ya Yanga...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri wa Utumishi inatia shaka. Madaraja naona yamebebwa na mafuriko

    Tuliwahi kuambiwa kuwa siku hizi mfumo wa utumishi wa umma uko kidijitali. Hata barua za promotions za madaraja zitawafikia watumishi baada ya kufanyika mabadiliko na si ile ya zamani kwamba uletewe barua kisha ukubali ndipo promotion ifuate. Sasa cha ajabu huyu Waziri ameanza kuwachimbia...
  20. JamiiForums Tanzania Je, niliyestushwa na hii kauli 'tata' ya Naibu Katibu Mkuu CCM Mpogole ni peke yangu tu au tupo wengi? Mama kuwa makini sana!

    " Uchaguzi Mkuu halali Kikatiba CCM tutaufanya mwakani 2022 ila huu wa leo ni wa Kuziba tu nafasi na hata Rais Mama Samia akishika hatamu atakuwa ni Mfariji Mkuu kwa Viongozi wa CCM pamoja na Wanachama wote ndani na nje ya nchi " Ukitulia kabisa, Kuichambua na hata Kuidadavua vyema hii Kauli ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…