kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kauli mbalimbali za mwisho za Marubani kabla kupoteza maisha kwa ajali

    Hizi ni kauli za mwisho za binadamu baada ya kuona hamna tena matumaini ya kuendelea na uhai wake pindi anapokumbana na hitilafu au ajali inayompata wa nini kifuatacho
  2. JamiiForums Tanzania Hatimaye TLS yamjibu Waziri Ndumbaro juu ya kauli ya "Kukurupuka" vita ni vita Muraaa.

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimekosoa kauli ya Dk. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria; na kusema chama hicho kiko imara na kitaendelea kuishauri Serikali, Bunge na Mahakama katika masuala anayohusu sheria, kukosoa kwa maslahi ya umma bila woga, hofu wala upendeleo, Aidha...
  3. JamiiForums Tanzania KAULI NYINGINE HUIBUA FIKRA MCHANGANYIKO

    Habari za wakati huu By nature mimi ni mkimya sana,napenda sana kukaa mwenyewe na huwa nafeel comfortable sana, sipendi kuongea sana ila nikimatch na mtu ni mtu wa kucheka na kuongea sana..Napenda utani. Kimuonekano niko very humbe,i mean sura yangu ni very innocent kiasi kwamba ni rahisi sana...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa karibia wote ni wachawi. Makonda asibagazwe kwa kauli yake kuwa mama anarogwa sana.

    1. Zitto Zubery Kabwe alitamka bungeni kuwa atawageuza kuwa Nyenyere wale wote watakaothubutu kumfuata tuata. Hansard ipo mkasome. ZittoZubery Kabwe, mpk leo anaogopwa kama ukoma. 2. Propesa (siyo profesa) Maji Marefu (RIP) alitamka bungeni kuwa asilimia kubwa ya wabunge amewashika makalio...
  5. JamiiForums Tanzania Ile kauli ya Hayati Magufuli ya kwamba wapinzani wanachelewesha maendeleo ni ya kweli kabisa

    Sijui Hayati Magufuli niseme ni nabii au aliona mbali hadi kutamka kauli ile, maanake mm binafsi nimekuja sasa kujua kuwa hawa jamaa ni watu wa ajabu sana kila kitu wanapinga na hata wamefika mbali kuzusha uongo ili mradi tu wazusshe taharuki katika jamii Embu fikiria jana train yetu pendwa ya...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM imekata kauli na pumzi, inasubiri maamuzi ya wananchi tu

    Haiwezekani watanzania wooote wasijue kuwa CCM inafanya hila kwenye uchaguzi. CCM wanajua kuwa zama hizi sio zama za vya vyama vya ukombozi kutawala ila wasubiri ukakamavu wa watanzania na ukomavu wa vyama vingine vya siasa kuamua wafanye nini.
  7. JamiiForums Tanzania Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

    Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao. 1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police. 2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja. 3. Police haraka wametoa tamko...
  8. JamiiForums Tanzania Kauli ya Sean Paul imewashtua wengi baada yakusema hamjui Diamond wala Alikiba alipotua Tanzania, ila anatamani kufanya nao kazi

    Wakuu Mwanamuziki maarufu wa dancehall kutoka Jamaica, Sean Paul, aliwasili Tanzania jana (Novemba 29) kwa ajili ya show yake inayotarajiwa kufanyika leo. Katika mahojiano na Bongo 5, alipoulizwa kuhusu Diamond Platnumz, Sean Paul alikiri kwamba hamfahamu msanii huyo lakini yuko tayari kukutana...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za akina Tundu Lissu, Boniface Jacob, Twaha Mwaipaya, Mdude Nyagali, Pambalu, Sativa, Heche ndizo zimesababisha 4R kusahaulika

    Tangu mwanzo wanasiasa hawa walikuwa wakiongea maneno ya hovyo, kwenye mikutano ya TCD, mikutano ya kutoa maoni ya dira ya Taifa, mikutano yoyote yenye mikusanyiko ya watu, walikuwa wakitoa kauli za kibabe sana. Mfano Boni Yai anawaambia wana chadema msinipigie simu nataka mtu akinipigia simu...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kauli gani uliwahi kuambiwa na baba, mama au mlezi wako ambayo baadae kabisa ndio ulikuja kuielewa?

    Kwema wakuu? Binafsi nilikulia kwenye familia ambayo wazazi wanazingatia sana kuhusu watoto wao, nikimaanisha ni watu wenye kufuatilia Kwa ukaribu sana mienendo yetu, sio watu waliotuachaniza kufanya mambo Kwa kujiamulia. Kipindi nasoma nilikuwa na rafiki zangu ambao wazazi wao walikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Miaka ni namba tu, je ukweli wa kauli hii uko wapi?

    Ndoa ni moja ya agizo la Mungu kwetu wanadamu,lakini agizo hili limekuwa na changamoto kutimizwa nasi hasa Katika karne hii ya 21,kwani vijana wengi tumekuwa na kaulimbiu Ambayo inachochea kukataa agizo hili"Kataa ndoa,tengeneza Maisha" Hata hivyo kuna minong'ono kuwa"Umri wa wanandoa huchangia...
  12. JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Mollel: Hii sio kodi yenu, ni CCM ndio imeleta hela

    Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wa nafasi za uenyekiti wa mitaa kupitia chama hicho.
  13. X

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

    Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume. Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mnyika apinga kauli ya Waziri Mchengerwa Kuhusu Ushirikishwaji wa Vyama Vya Siasa

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amekanusha vikali kauli ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, inayodai kuwa vyama vyote vya siasa, ikiwemo CHADEMA, vilishirikishwa na kukubaliana na taratibu...
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kuongea(kupoteza kauli)

    Shida ni hiyo imempata binti yangu mkubwa tu gafla hawezi zungumza kabisa hospitali wanasema hawaoni tatizo Je yawezekana kupona hii shida
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Nilipoambiwa ACT Wazalendo ni chama mamluki nimeamini na ile kauli ya Nchimbi kuwa kuna vyama wameshiriki kuanzisha

    Nimeshangazwa na chama cha ACT-WAZALENDO siku ya kesho wanaenda kuzindua ilani ya chama chao kwajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa uchaguzi upi? Kwa wagombea wepi? Katika jukwaa ili kuna mtu aliwahi kusema siasa ambazo wanafanya ACT-WAZALENDO ni siasa ambazo wanajiona kama wapo ndani ya...
  17. JamiiForums Tanzania Hii Kauli "Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke" huwa ni ya uongo

    Ngoja tuambiane ukweli mchungu. ‘Nyuma ya mafanikio ya mwanaume kuna mwanamke.’ Ondoa jambo hilo kichwani mwako. Tena liondoe kabisa. Nafuatilia namna matajiri walivyofanikiwa, hakuna aliyefanikiwa kwa ajili ya mwanamke. Kama yupo nikumbusheni. Mwanamke hapendi shida, mwanamke ni muoga, kama...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli katika kauli hizi kisaikolojia

    Mosi,Kukaa kimya kuna nguvu zaidi kuliko pale unapotaka kudhibitisha ukweli au kujitetea. Na hii kweli kabisa wakati mwengine unaweza kupata kashfa ambayo jinsi kadri unavyotaka kujitetea unajikuta unazidi kuharibu,kwahiyo wakati mwingine kunyamaza ni jibu zuri sana,watu wanabaki njia panda...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi hii kauli ya "ndio hivyo sasa" ina maana gani ukijibiwa na mke wako

    Wakuu, iko hivi: Wife alikuwa na ratiba ya kwenda saloon, kitu ambacho alilazimisha sana. Sikupenda kumzuia, kwa hiyo nikamuelekeza kuwa atachukua ten kwenye hesabu ya mauzo dukani, lakini ahakikishe anawahi kufunga ili ratiba zingine za nyumbani zisiharibike, maana anapenda sana kupika usiku...
  20. JamiiForums Tanzania Historia ya TANU: Umoja na Mshikamano Kauli Mbiu ya Wananchi Uhuru na Umoja

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…