katoliki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kanisa Katoliki hawavunji Mkataba wa Fedha MoU?

    KANISA KATOLIKI KWANINI HAWAVUNJI MKATABA WA FEDHA ZA MOU? Katika hati hiyo, iliyotiwa saini Februari 21, mwaka 1992, upande wa serikali uliwakilishwa na mmoja wa mawaziri wake waandamizi wa wakati huo. Makubaliano hayo yalifanyika kwa kuzingatia mambo kadhaa, ambayo ni pamoja na hali ya...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki ndio taasisi inayoweza kumuokoa Lissu na kuirudisha CHADEMA katika uchaguzi kwa sasa.

    Kati ya taasisi ambazo zingeweza kupiga kelele kushinikiza Lissu asihukumiwe kwa uhaini ni balozi za Marekani na Umoja wa Ulaya lakini kwa sasa ni dhaifu sana na zimepoteza hadhi na heshima ya kutiliwa maanani na dola. Taasisi muhimu iliyobaki yenye ushawishi mkubwa katika jamii inayoweza...
  3. Inside10

    JamiiForums Tanzania Padri William Ntengi Wa Jimbo Katoliki Geita Aondolewa Daraja La Upadri(Ukasisi)

    Papa Francis ameridhia ombi kutoka kwa padri William Ntengi wa jimbo katoliki Geita la kuondolewa daraja takatifu la upadri. Barua ya uamuzi huo imesomwa kanisani na askofu Flavian Matindi Kassala wa jimbo katoliki Geita, kufuatia ombi binafsi la padri huyo. Mungu ambariki katika yake mapya...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

    Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
  5. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Nimefikia Conclusion Kanisa Katoliki ni waungwana, na wavumilivu, dini zote zina ibada za sanamu ukiwemo Uislamu

    Hili kanisa katoliki lipewe mauwa yake, unajuwa utandawazi unakuja na mengi sana na kuyafahamu hata yaliyojificha. Kwa muda mrefu Kanisa katoliki limekuwa likishambuliwa na madhehebu mengine ya kikristo hasa Wasabato na waislamu kwamba wanaabudu sanamu, kumbe hizi rituals zinafanywa na dini...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Mhe. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa mamaono ya kujenga Kanisa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongeza Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge -Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi kwa maono ya kujenga Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki la Rulenge - Ngara mkoani Kagera. “ Nakupongeza Baba Askofu kwa kuwa na maono makubwa ya kujenga...
  7. U

    JamiiForums Tanzania rafiki yangu msabato akiri yapo mafundisho kinyume na Biblia yaliyoingizwa kanisani mwao analaumu kanisa katoliki lengo lao kuwavuruga kiimani

    Wadau hamjamboni nyote? Nilikuwa naongea na Msabato mmoja rafiki yangu kuhusu Kanisa kuruhusu baadhi ya mafundisho au Imani zinazoenda kinyume na Biblia Katika mazungumzo yetu nilimtajia mambo mawili tu ambayo yameruhusiwa Kanisani karibuni kuwa ni kuruhusu wachungaji wanawake , idara ya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mgawanyiko wa vitabu vya biblia kadiri ya katekisimu ya komunio na kipaimara ya jimbo katoliki Moshi

    Mgawanyiko wa vitabu vya biblia kadiri ya katekisimu ya komunio na kipaimara ya jimbo katoliki Moshi Anaujua mgawanyiko huo tafadhali atuwekee hapo
  9. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Historia Ya Watakatifu ( Kama Inavyotambuliwa Na Kanisa Takatifu Katoliki )

    Kanisa Katoliki ( Roman Catholic ) ndio kanisa la kale zaidi huku likishika historia nzima ya ukristo na likirekodi matukio mbalimbali tangu kuanza kwa ukristo hadi sasa... Katika ku rekodi matukio na mambo muhimu ya ukristo, kanisa katoliki kuanzia lilipo anzishwa limeweza ku hakiki mambo...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kanisa Katoliki na kanisa la kristo nchini DRC wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23

    VIONGOZI wa Makanisa Katoliki Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENCO) pamoja na Kanisa la Kristo nchini humo (ECC), mapema leo Februari 12, 2025 wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23 lengo likiwa ni kujadili udumishaji amani nchini humo. Viongozi hao...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki halipaswi kufanya mambo ambayo wengine wanaweza kuyafanya vizuri

    Ni wakati sasa wa Kanisa Katoliki kwenda level nyingine na kuachana na kufanya mambo ambayo kila mtu anaweza kuyafanya vizuri. Kanisa linapaswa kujikita kutoa special education na sio tena universal education ambayo sasa inatolewa na taasisi nyingi tu nchini. Kwa kuwa Kanisa lengo lake sio...
  12. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Dada yangu amerudi nyumbani amesema wito wa usister wa Kanisa Katoliki umemshinda na anataka kuolewa

    Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa Daaah familia mzima tumepigwa na...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Pamoja na madhaifu ya Kanisa Katoliki lakini kwenye kipengele cha kukemea na kuonya watawala ambayo ni Kazi ya kinabii na kitume, Hongereni Sana

    Kwema Wakuu! Ingawaje Mimi ni mtibeli msabato lakini hiyo hainifanyi nisione mazuri ya madhehebu na dini zingine. Sisi wasabato tunajinadi na huenda kwa sehemu tunajulikana kwa kufuata maandiko matakatifu ya Biblia. Hiyo inatufanya tuwakalie kooni watu wa dini na madhehebu mengine yasiyofuata...
  14. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa michango yote iliyotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto Jumapili. Katika taarifa yao, Maaskofu walieleza wasiwasi juu ya kutumia majukwaa ya kanisa kwa faida za...
  15. W

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Maaskofu wa Kanisa Katoliki "Kiongozi anayepatikana kwa mbavu na Uongo, hutumia Ulaghai kuongoza"

    Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limetoa tamko kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, leo Novemba 15, 2024 likisistiza una umuhimu mkubwa kwa ustawi wa Jamii na Nchi kwa ujumla Tamko hili limewasilishwa na Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa, amesema "Tunasisitiza TAMISEMI...
  16. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki wamwambia Ruto kuwa Utamaduni wa Uongo lazima Ukomeshwe

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limeikosoa serikali ya Rais William Ruto kwa kushindwa kutimiza ahadi zake kwa Wakenya na kudumisha utamaduni wa uongo na kutumia mitambo ya Serikali kunyamazisha wapinzani Aidha, Mwenyekiti wa Baraza hilo, Askofu Maurice Muhatia amewashutumu viongozi...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Aongoza Harambee Jimbo Katoliki Bunda, Milioni 272.6 Zakusanywa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameshiriki Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo na kuongoza harambee ya kumalizia ujenzi wa jengo la ofisi za Jimbo Katoliki la Bunda ambapo jumla ya Shilingi Milioni 272.6 imekusanywa. Harambee hiyo imefanyika leo Novemba 10, 2024 Wilayani Bunda...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aongoza harambee jimbo Katoliki Bunda, milioni 272.6 zakusanywa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameshiriki Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo na kuongoza harambee ya kumalizia ujenzi wa jengo la ofisi za Jimbo Katoliki la Bunda ambapo jumla ya Shilingi Milioni 272.6 imekusanywa. Harambee hiyo imefanyika leo Novemba 10, 2024 Wilayani Bunda...
  19. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Ifahamu tarehe 01 November na tarehe 02 November katika mapokeo na kumbukizi katika Kanisa Katoliki

    Karibuni kwa maada ..... Tarehe 1 Novemba, ni siku muhimu katika kalenda ya Kanisa Katoliki. Siku hii inawakumbuka watakatifu wote wa Kanisa, wale ambao walishi maisha ya mfano na sasa wanachukuliwa kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu. Wakati huu, waumini wanajikusanya kuwakumbuka na kuwasifu...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi achangia milioni 100 ukarabati wa Kanisa Katoliki Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuimarisha Uhuru wa Kuabudu na kuziagiza Taasisi za Kidini kuendelea kuiombea Nchi amani na umoja. Rais Dk, Mwinyi amefahamisha kuwa Taasisi za kidini zina wajibu mkubwa wa kushirikiana na...
Back
Top Bottom