katoliki

  1. English Learner

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Kanisa Katoliki kwa Kusimamia Kidete Msimamo wa TEC

    Katika picha mjongeo inayoonekana hapo chini, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mbalali ambaye sasa ni Mgombea ubunge ndani ya CCM, Jimbo la Kyerwa, Karagwe anaonekana akizuiwa kutumia jukwaa la Ibada ya mazishi ya Padre Vitalis huko Karagwe kupiga siasa. Nalipongeza kanisa Katoliki kwa kwa kuwa firm...
  2. BarakaMkekusi

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya freemason na kanisa katoliki

    June 24 mwaka wa 1717 kundi la freemason walifanya kikao sehemu iitwayo Gridion ambayo ilikuwa katikankiwanja cha mtakatifu paulo huko wingereza.. Kwenye kikao hicho moja ya ajenda kubwa ilikuwa ni kuunganisha kundi la freemason liwe moja, kwa maana kipindi hicho walikuwa wamegawanyika bila ya...
  3. ibrah0102

    JamiiForums Tanzania IDF yashumbilia kanisa katoliki Gaza

    Jeshi la Israel (IDF) lashutumiwa kwa kulenga kanisa kwa makusudi Kardinali Pierbattista Pizzaballa amesema: “Tunachojua kwa hakika ni kwamba tanki — IDF wanasema kwa bahati mbaya — lakini sisi hatuna uhakika, lilipiga moja kwa moja Kanisa la Familia Takatifu, Kanisa la Kilatini.” Kanisa...
  4. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbr ule utaratibu wa kanisa katoliki ulikuwa serious!

    Jana nimeshirki misa katika mojawapo ya kanisa katoliki. Nilikaa benchi la nyuma. Mbele yangu alikuwepo mbunge wa zamani wa jimbo ninalolifahamu. Mpaka misa inamalizika hakupewa air time kusalimia kama ilivyokuwa siku za nyuma. Aliondoka kama mimi nilivyoondoka baada ya misa kumalizika! 💪💪
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu : Kanisa la Mwamposa " Arise and Shine" ndio taasisi ya kiimani inayo hitajika zaidi Tanzania kuliko hata kanisa Katoliki na Uislamu

    Sio Tanzania tu bali Afrika nzima. Kwa sababu, kanisa la Mwamposa ndio taasisi pekee ambayo ina waunganisha wakristu na waislamu kwa pamoja.( kiimani) Wakristu na waislamu kwa pamoja wanakusanyika kufanya Ibada ya pamoja kwa pamoja wakiwa wanaongozwa na kiongozi mmoja. Ni kitu kikubwa sana...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Padre Lui Shayo wa Jimbo Katoliki Moshi aadhimisha Jubilei ya almasi (miaka 75) ya Upadre akiwa na umri wa miaka 106

    Tumsifu Yesu Kristo! Katika Kathedrali ya Jimbo Katoliki Moshi imefanyika ibada ya Misa Takatifu ya Jubilee ya Miaka 75 ya Upadre wa Padre Lui Shayo. Padre Lui Shayo alipata daraja Takatifu la Upadre mnamo June 25, 1950. Pamoja na Jubilee ya miaka 75 ya Upadre, pia Padre Lui anaadhimisha...
  7. ommytk

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa makongo mwisho kuelekea kanisa katoliki karibu na josam apartment

    Wadau eneo linauzwa lipo makongo mwisho njia kwenda kanisa katoliki lina ukubwa sqm 2231 lina hati ya wizara.halina shida yoyote ni tambalale na bei ya kutupa linuzwa kwa ajili ya shida tu bei ni 300m Karibu
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki linahitaji reforms

    Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye wanaona haendi vile wanavyotaka wao. Tunajua huu mwongozo wao wa kutaka viongozi...
  9. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Kanisa Katoliki kufanya ‘sala maalum’ kuombea uwepo wa Haki na Amani katika nchini

    Huu ndo mwongozo maalum umetolewa leo
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Askofu Rweyongeza: Kanisani si mahali pakufanya siasa

    Kanisa si mahali pajukwaa la kisiasa, kuja kanisa umevaa mavazi ya chama chako zinapaswa kupaki nje huko. Maandiko matakatifu ni sauti ya Mungu, kwahiyo kanisani ni shughuli za Ibada, sala, kumtukuza Mungu, kuongea matakatifu alisema Askofu Rweyongeza
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa: Ukiona jirani yako hayuko salama nawe pia hauko salama

    Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Wolfgang Pisa, OFM Cap ametoa habari njema kwa Waamini wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania na wote wenye mapenzi mema kuwa afya ya Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania(TEC), Padri Charles Kitima imeimarika na sasa ameanza...
  12. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Serikali fungieni na makanisa ya Katoliki, Lutheri na Anglikana

    Sina haja ya kuleta ushahidi kwa viongozi wakuu wa haya makanisa kutoa kauli za "kiuchochezi" na "taharuki" kwa taifa kuhusu haya haya masuala ya utekaji na uuaji Katibu wa TEC "amechochea" mara nyingi Kalikawe Benson Bagonza naye ni "mchochezi" mkubwa Alex Malasusa naye tumemshuhudia...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Just for curiosity, inafuata zamu ya kanisa gani kufungiwa?

    Katoliki wamekuwa vocal, though at a low profile. Lakini kitenda cha kumdhuru Fr. Kitima ni hatua moja kuelekea kulifungia Katoliki!
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Songwe: Mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki yametokana na wivu wa mapenzi, alituhumiwa kutembea na mke wa mtu

    Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda ambaye alifariki Mei 10, 2025 kwa kushambuliwa na kitu chenye ncha kali. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema wanamshikilia Lameck Mwamlima (29), Fundi...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Siri ya chumba cha Amani kilichombeba kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani, Papa Leo XIV ipo parokia ya mahanje Ruvuma

    Katika kijiji kidogo chenye utulivu wa kimungu kilichopo Mahanje,Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, kuna chumba cha kawaida – lakini historia yake si ya kawaida hata kidogo. Ndani ya chumba hiki, miaka 22 iliyopita, alilala mtu ambaye hivi sasa ni Kiongozi Mkuu wa Kanisa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Songwe: Katekista wa Kanisa Katoliki auawa kikatili nyumbani kwake

    Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda amepoteza maisha kwa kushambuliwa na watu ambao utambulisho wao haujajulikana Mjini Tunduma. Diwani wa Kata ya Kaloleni, Mji wa Tunduma, Mkoa wa Songwe, Hamis Chuma amesema kiongozi hiyo wa Dini alifariki Mei 10, 2025 baada ya kushambuliwa akiwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Bila uimara wa Kanisa Katoliki Shetani angetawala dunia kwa kiasi cha kutisha

    Kwa zaidi ya miaka 2000 kumekuwa na vita kubwa na kali sana kati ya utawala wa giza na utawala wa Mwanga, Mbinu nyingi zikitumika na tawala na falme za giza katika kuuondoa na kuitawala dunia kwa nguvu zote. Shetani aliibua na anaendelea kuibua mbinu chafu za kuiteka dunia lakini uimara wa...
  18. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Pope Benedict wa 16 ana salia kuwa Pope bora kuwahi kutokea katika Kanisa Katoliki

    Awali ya yote shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kujalia makadnali kumchagua kiongozi mpya wa kanisa kwa muda mfupi kuliko ilivyo dhaniwa. Shukrani na pongezi kwa Pope mpya kwa jina la Leo wa 14, matarajio kama kanisa chini ya uongozi wake ni makubwa sana haswa wakati huu dunia ikikabiliana na...
  19. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Nchi hii bila Kanisa Katoliki tungekuwa wapi?

    Wasalaam Juzi nimeona Kanisa Katoliki wamepeleka huduma za afya Kisarawe kupitia Caritas eneo ambalo asilimia kubwa ilionesha lina waislam wengi...walishukuru wanasema tangu uhuru hawakuwa na huduma za afya Wahudhuriaji wengi walikuwa waislamu pamoja na kuwa viongozi wa mradi alikuwa Askofu...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki hatarini kuingia mikononi mwa mayahudi. Papa mtarajiwa ni adui kwa wapalestina na rafiki wa Isaac Herzog

    Ule uchuro wa rais Donald Trump wa Marekani wa kuvaa mavazi ya papa wakati wakristo wakiomboleza unaonesha aliufanya kwa malengo maalum kwani unaonekana kujidhihirisha katika ukweli. Kwa mara nyengine mafunzo ya kanisa katoliki yanaelekea kuvurugwa na mafunzo ya kiyahudi na huenda ikawa ndio...
Back
Top Bottom