katoliki

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Aongoza Harambee Jimbo Katoliki Bunda, Milioni 272.6 Zakusanywa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameshiriki Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo na kuongoza harambee ya kumalizia ujenzi wa jengo la ofisi za Jimbo Katoliki la Bunda ambapo jumla ya Shilingi Milioni 272.6 imekusanywa. Harambee hiyo imefanyika leo Novemba 10, 2024 Wilayani Bunda...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aongoza harambee jimbo Katoliki Bunda, milioni 272.6 zakusanywa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameshiriki Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo na kuongoza harambee ya kumalizia ujenzi wa jengo la ofisi za Jimbo Katoliki la Bunda ambapo jumla ya Shilingi Milioni 272.6 imekusanywa. Harambee hiyo imefanyika leo Novemba 10, 2024 Wilayani Bunda...
  3. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Ifahamu tarehe 01 November na tarehe 02 November katika mapokeo na kumbukizi katika Kanisa Katoliki

    Karibuni kwa maada ..... Tarehe 1 Novemba, ni siku muhimu katika kalenda ya Kanisa Katoliki. Siku hii inawakumbuka watakatifu wote wa Kanisa, wale ambao walishi maisha ya mfano na sasa wanachukuliwa kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu. Wakati huu, waumini wanajikusanya kuwakumbuka na kuwasifu...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi achangia milioni 100 ukarabati wa Kanisa Katoliki Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuimarisha Uhuru wa Kuabudu na kuziagiza Taasisi za Kidini kuendelea kuiombea Nchi amani na umoja. Rais Dk, Mwinyi amefahamisha kuwa Taasisi za kidini zina wajibu mkubwa wa kushirikiana na...
  5. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania MTAZAMO: Nini tofauti ya vifaa vya upako vya manabii (maji, mafuta, chumvi) na vifaa vya baraka vya kanisa Katoliki (maji, misalaba, rosali, picha)?

    Nimejaribu kuwaza na kutafakari haya yanayoendelea sasa katika madhehebu ya kisasa ya kikristo (makanisa ya manabii?) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji, mafuta, chumvi, vitambaa ili waumini wao wabarikiwe na yale yanayoendelea kwenye dhehebu kongwe zaidi la kikristo (kanisa...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Askofu Jimbo Katoliki Mwanza: Tusibeze maendeleo tuliyoyapata, wanaobeza, wakaulize mama zao

    Hakika..... Nchi ina maendeleo, hata viongozi wa dini wanajua. Kigoma bado kilomita chache iungane na mikoa mingine kwa lami, pale kigongo watu walikuwa wanakaa hata masaa matatu, SGR, SoKo kuu mwanza, kutoka enzi ya stendi ya Tanganyila mpaka Nyamhongolo na Nyegera waitu (nyegezi) Asiye na...
  7. Chrismoris

    JamiiForums Tanzania Just imagine haya mambo yangetokea kwa hili Kanisa Katoliki

    Ushawahi kujiuliza kwanini Mungu aliwaandaa Simeoni na Anna kumpokea mtoto Yesu pale hekaluni kabla ya umauti kuwakuta? Soma Injili ya Mtakatifu Luka (Lk 2:25-38) Sasa Imagine Yusufu na Maria wangekutana na Kuhani au mapadri wa kwetu huku kukiwa na tetesi mtaani kuwa mtoto si wa Yusufu...
  8. Mapambano Yetu

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki haliwezi kujibiwa kihuni

    Serikali ya awamu ya 4 ilijaribu kulitikisa KANISA na kulitaka liwe linapeleka nyaraka zake serikalini ili zipitiwe kabla ya kuzisoma kwa waumini wake. Nakumbuka kupitia kwa Cardinal Pengo KANISA liliwajibu kwamba ni vema waache kuandika nyaraka kuliko kuandika kitu ambacho kimeandaliwa na...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kadri siku zinavyoenda kanisa katoliki linapotea slowly kwa sababu watu hawataki kusali kimprinsiple preiple.

    Leo nimeona nyomi ile ya watu aliowakusanya Mwamposa kule Arusha hakika nimelisikitia kanisa langu. Kadri maaskofu na mapadre wanavyompinga mwamposa ndo anazidi kuchanja mbuga. Imekuwaje kanisa katoliki likakosa mvuto hivyo ghafla jamani.
  10. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Baraza la maaskofu katoliki TEC aligoma kuwapa wanasiasa mike tundulisu, mnyika na chimbi kwanini mwamposa alimpa mike makonda

    Amani iwe nanyi wana wa MUNGU Juzi kanisa katoliki liliitisha kongamano la ekarist takatifu pale uwanja wa uhuru Katika watu ambao walikuwepo eneo hilo siku hiyo ni wanasiasa mashuhuri tundulisu, mnyika na Emmanuel chimbi katibu mkuu wa chama cha ccm Wanasiasa hao waliitwa madhabahuni...
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Wachawi: Kanisa ni katoliki mengine ni vibanda tu

    Habari JF, Hapa pastor Dominic -kiboko ya wachawi alikuwa na maana gani? Je, na yeye alikuwa ana miliki kibanda? Je, hii kauli ina ukweli kiasi gani?
  12. youngkato

    JamiiForums Tanzania Adhabu niliyowahi kupewa na mapadre wa katoliki

    Kosa langu ilikuwa ni kupita dirishani kuingia bwenini kutoa jembe langu nililokuwa nimetunza chini ya kitanda changu Adhabu niliyopewa nikiwa darasa ka saba na miaka 13 1. Kulima shamba la miti (kutifua) masaa 12. 2. Kuchapwa viboko 30 3. Kufukuzwa shule MUNGU NI WETU SOTE
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mifumo yote ya dunia hii wameiga kutoka kanisa katoliki. Padre hawezi 'kum outsmart' Askofu wake lazima atafukuzwa tu

    Ili chama chochote au serikali youote hata familia idumu lazima ifate hii principal ya kanisa katoliki kwamba mdogo akifikia hatua ya kushine sana kuliko mkubwa lazima institution husika ife tu. Ndiyo mana hata hivi makanisa vidogo kama vya akina Mwamposa vina life span ndogo sana mika saba au...
  14. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kanisa katoliki adakwa na vyombo vya usalama

    ⚠️😳 Kiongozi wa kanisa Katoliki adakwa na vyombo vya usalama Marekani na kuvuliwa wadhifa huo kwa kuishi maisha ya kifahari kwa kufanya utapeli wa zaidi ya shilingi bilioni 1.7 ($650k) ambazo ni michango ya wahisani na waumini kwa ajili ya kusaidia wagonjwa/wahanga wa vita nchini Lebanon...
  15. USSR

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki latoa tahadhari ya homa ya nyani

    Barua hii hapa USSR
  16. U

    JamiiForums Tanzania Naomba nyimbo MAARUFU za audio za kwaya Kanisa Katoliki tanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Niwe muwazi mimi ni muumini wa Kanisa la Waadvetista wasabato ila napenda sana kusiliza nyimbo za kwaya za Kanisa Katoliki Hivyo siku ya leo kwa heshima kubwa naomba mwenye nyimbo za audios za kwaya maarufu za Kanisa Katoliki tanzania. anipatie Napendelea zaidi...
  17. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki ufaransa la laani maonesho ya ufunguzi wa mashindano ya olimpiki parisi 2024.

    Catholics, others respond to mockery of Last Supper at Paris Olympics In reparation for the blasphemy, Bishop Donald Hying of Madison, Wisconsin, called on Catholics to “fast and pray, renew our devotion to the Eucharist, the Sacred Heart and the Virgin Mary.”/ Credit: "EWTN News Nightly" /...
  18. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

    hi
  19. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini muonekano wa jengo Kanisa Katoliki Salasala uko tofauti na unafanana na makanisa ya KKKT?

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu tumezoea kuona majengo ya Kanisa Katoliki maeneo mbalimbali yakiwa na muonekano wa kipekee unaoakisi majengo ya asili ya karne nyingi zilizopita. Lakini ukitazama jengo la Kanisa Katoliki Salasala Dar es salaam muonekano wake uko tofauti kabisa. Yaani...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kanisa Katoliki linahamasisha umaskini na halitaki kabisa watu waponywe na maradhi? Au wanafaidika nao

    Ukisikiliza mahubili ya maaskofu wa kanisa katoliki au mapadre, wanapiga vita sana wachungaji wanaowaombea watu kufanikiw kifedha au maisha kiujumla. Kwa sasa maaskofu wote wa katoliki wamemlia kolabo mwamposa. Mahubili yote ni yeye. Wanaponda sana kwamba kwa nini anawaombea watu wafanikiwe. Na...
Back
Top Bottom