katoliki

  1. J

    JamiiForums Tanzania Bila uimara wa Kanisa Katoliki Shetani angetawala dunia kwa kiasi cha kutisha

    Kwa zaidi ya miaka 2000 kumekuwa na vita kubwa na kali sana kati ya utawala wa giza na utawala wa Mwanga, Mbinu nyingi zikitumika na tawala na falme za giza katika kuuondoa na kuitawala dunia kwa nguvu zote. Shetani aliibua na anaendelea kuibua mbinu chafu za kuiteka dunia lakini uimara wa...
  2. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Pope Benedict wa 16 ana salia kuwa Pope bora kuwahi kutokea katika Kanisa Katoliki

    Awali ya yote shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kujalia makadnali kumchagua kiongozi mpya wa kanisa kwa muda mfupi kuliko ilivyo dhaniwa. Shukrani na pongezi kwa Pope mpya kwa jina la Leo wa 14, matarajio kama kanisa chini ya uongozi wake ni makubwa sana haswa wakati huu dunia ikikabiliana na...
  3. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Nchi hii bila Kanisa Katoliki tungekuwa wapi?

    Wasalaam Juzi nimeona Kanisa Katoliki wamepeleka huduma za afya Kisarawe kupitia Caritas eneo ambalo asilimia kubwa ilionesha lina waislam wengi...walishukuru wanasema tangu uhuru hawakuwa na huduma za afya Wahudhuriaji wengi walikuwa waislamu pamoja na kuwa viongozi wa mradi alikuwa Askofu...
  4. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki hatarini kuingia mikononi mwa mayahudi. Papa mtarajiwa ni adui kwa wapalestina na rafiki wa Isaac Herzog

    Ule uchuro wa rais Donald Trump wa Marekani wa kuvaa mavazi ya papa wakati wakristo wakiomboleza unaonesha aliufanya kwa malengo maalum kwani unaonekana kujidhihirisha katika ukweli. Kwa mara nyengine mafunzo ya kanisa katoliki yanaelekea kuvurugwa na mafunzo ya kiyahudi na huenda ikawa ndio...
  5. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Jasusi alijipenyeza Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania kwa Miezi Miwili akiwa anapanga Shambulio dhidi ya Padre Kitima

    BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima. Wakati majibu ya maswali hayo yakiendelea kutafutwa, Pambazuko lina taarifa za kina kuhusu jinsi sehemu ya njama za kumdhuru kiongozi huyo...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Maaskofu katoliki kataeni rushwa ya wanasiasa

    Maaskofu wa Kenya walikataa na kumrudishia rais Ruto pesa aliyoitoa kusaidia kanisa kwa kuogopa kuweka uhuru wao rehani. Leo tumesikia Samia akimpa askofu wa Bagamoyo zawadi ya milioni 20. Hii sio rushwa ya kumfunga mdomo na kupora uhuru wake? Igeni wenzenu wa Kenya
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa Trump kupiga Picha akiwa amevalia kama Papa wa Katoliki na Ujio wa Mpanga Kristo ile 666?

    Naomba kuelimishwa kwa sababu dalili zote zinaonyesha ule mwisho umekaribia Matendo ya Trump na Upapa wapi na wapi jamani? Nimeogopa sana
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Katika Historia :Sakata la padre Tweve na uasi dhidi ya kanisa katoliki Tanzania

    Miaka kadhaa nyuma aliwahi kutokea padre muasi wa imani ya kanisa katoliki Tanzania. Padre huyu alikuwa na wafuasi wengi waliomkubali kwa mahubiri yake na hakika alileta changamoto na taharuki kubwa sio tu kwa waumini wa kanisa katoliki lakini pia kwa nchi nzima. sakata hili lilipelekea...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki undeni (Parallel) tallying centre ili kujiridhisha na matokeo ya Tume Huru

    1. Kwa hali ilivyo Katoliki ni kama hawana Imani na Tume Huru. Pengine ni wakati sasa na wao wakaunda (parallel) tallying centre ili kujumlisha Kura katika kila kituo. Zambia na DRC kanisa lilisimamia haki hadi leo Jenerali Joseph Kabila kastaafu huko DRC bila hivyo angekua bado madarakani. 2...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Ni ujumbe wa kanisa Katoliki kwa Rais Samia na serikali yake?

    Baba Padre anasema hii itume kama inavyotoka. Video inajitosheleza kabisa.
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi: Tunamshikilia Mtu mmoja kutokana na tukio la Padri Kitima kushambuliwa

    MMOJA ASHIKILIWA KWA KUHUSISHWA NA TUHUMA ZA KUJERUHIWA KWA PADRI KITIMA Tarehe 30 April 2025 majira ya saa nne usiku maeneo ya Baraza la Maaskofu Tanzania Kurasini Temeke Dar es salaam ilipokelewa taarifa ya kujeruhiwa kwa Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania...
  12. Leonce jr

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki ni kubwa kwa Nchi ambazo hazifungamani na upande wowote duniani.

    Kanisa roman catholic ni kubwa kuliko serikali ya Kenya na nchi zingine matumizi ya nguvu bila akili kitaonekanan kinachotafutwa kila mtu atakuwa anaongea lake kwenye serikali yake.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa taarifa za kukamatwa padri Kitima unaviashilia vya kumchafua na kuchafua taswira ya kanisa katoliki

    Taarifa ya awali ya jeshi la polisi kuhusu kushambuliwa kwa padri kitima ina viashiria vyote vya kumchafua na kuchafua taswira ya kanisa katoliki. Wanadai alikuwa katika kantini akipata vinywaji (Wakiwa na maana akilewa na kuwayawaya) HAKUNA SEHEMU WAMETAJA KWAMBA Alishambuliwa akiwa katika...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki sio sawa na CHADEMA, kulishambulia ni kuishambulia Vatican

    Siasa za Tanzania ziishie Tanzania zisivuke mipaka. Chuki za serikali kwa Chadema zisiliingize Kanisa. Kanisa ni kubwa kuliko chama chochote cha siasa nchini, kiwe CCM au CHADEMA kimuundo, kiuchumi, kiuwezo, idadi ya wanachama. Lipo dunia nzima. Ili Kanisa lijiendeshe duniani kiufasaha...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Memo za Kanisa Katoliki huwa Zinaandikwa kwa Ustadi Mkubwa Sana

    Huwa nikiona Memo zao zinakuwa zipo smart sana . Ni.nadra sana kuona memo kama hizi hapa Tanzania. Imagine hata memo kutoka ikulu huwaga nyepesi sana haitoi attention ya kusoma Tuna la kujifunza hapa. Memo za namna hii nazionaga kwenye nchi zilizoendelea mfano cheki hii hapa kutoka Bukoba.
  16. hamis77

    JamiiForums Tanzania Kuuziwa Msamaha (Indulgence) Katika Historia ya Kanisa: Asili, Matumizi, na Mapinduzi

    Kuuziwa Msamaha (Indulgence) Katika Historia ya Kanisa: Asili, Matumizi, na Mapinduzi Katika historia ya Ukristo, jambo lililozua mabishano makubwa na kuchochea mageuzi ya kidini ni biashara ya indulgence — kuuziwa msamaha wa dhambi. Kitendo hiki kilibadilisha mwenendo wa Kanisa la Magharibi na...
  17. hamis77

    JamiiForums Tanzania John Huss: Kichwa cha Mapinduzi ya Kidini na Vita dhidi ya Kanisa Katoliki

    John Huss: Kichwa cha Mapinduzi ya Kidini na Vita dhidi ya Kanisa Katoliki John Huss alikuwa mchungaji na mwana-theolojia kutoka Bohemia (leo inajulikana kama Jamhuri ya Czech), ambaye alijulikana kwa mafundisho yake ya kidini ambayo yalikuwa yakienda kinyume na mafundisho ya Kanisa Katoliki...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Dkt. Doto Biteko amwakilisha Rais Samia Uwekwaji Wakfu Askofu mteule wa jimbo katoliki Iringa

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akisalimiana na Askofu wa Mafinga, Mhashamu Vincent Mwagala wakati alipowasili katika Ibada ya kumsimika na kumuweka wakfu Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali iliyofanyika katika Viwanja vya Kichangani, Mjini Iringa...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anaeleza taratibu za kumpata Papa kwa Kanisa Katoliki

    Father Chesco Msaga ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania akiwa kwenye Kasri la Kikeke anaeleza taratibu za kumpata Papa kwa Kanisa Katoliki. Taratibu za Mazishi ya Papa Francis zikoje Father Chesco Msaga ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki...
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo Papa mweusi, je Kanisa katoliki ni taasisi ya kibaguzi?

    Sikumbuki kwa miaka ya karibuni kuwepo papa mweusi. Sikumbuki katika Uislam kuwepo kiongozi wake wa juu baada ya kifo cha Muhammad ukiachia mbali Bilal muethiopia aliyekuwa muadhini nafasi ambayo mara nyingi ni ya watu wa daraja la chini. Kwa misingi hiyo hapo juu, je Kanisa katoliki ni...
Back
Top Bottom