katoliki

  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu wa Katoliki: Hii ndio Tanzania mpya ya kazi na utu? Mnaofikiri kuua ndio kujibu maswali ya Watanzania, mnakosea

    Wakuu, Hapa Askofu alikuwa anaongea bila uoga tena na nadhani ujumbe wake utakuwa umefikia walengwa Hivi kama watawala hawataki hata kuwasikiliza viongozi wa dini wanataka wamsikilize nani? "Je hii ndio Tanzania mpya ya Kazi na Utu? Kanisa ikishindwa kuzungumza habari hizi imepoteza hadhi...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki, naomba maombi yenu ya tarehe 9.11 na misaada mtakayoikusanya viwaendee pia waliodhulumiwa Mali zao na kazi zao! Mungu awabariki sana

    Bwana asifiwe! Mmeamrishana kufanya Ibada maalumu jumapili hii ya tarehe 9.11.2025 kwa ajili ya kuwarehemu marehemu waliotokana na fujo za juzi katika uchaguzi mkuu pamoja na kuwaombea uzima majeruhi wote. Aidha, mmewataka watu kupeleka misaada kwenu kwa ajili ya majeruhi. Ni jambo jema...
  3. tpaul

    JamiiForums Tanzania Vatican: Mchango wa Bikira Maria ni mkubwa, lakini si Mkombozi wa Ulimwengu isipokuwa Yesu pekee

    Ofisi ya mafundisho ya Vatican chini ya Papa Leo wa Kumi na Nne imetoa tamko jipya ikieleza wazi kuwa Yesu Kristo pekee ndiye Mkombozi wa wanadamu, siyo Bikira Maria. Waraka huo unasema kwamba si sahihi kutumia jina “mkombozi mwenza (co-redeemer)” kwa ajili ya Maria, kwa sababu jambo hilo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki mlitakiwa kumtuma katekista na siyo padre kwenye sherehe za uapisho halamu

    Wana bodi poleni kwa msiba mkubwa. 1.Pamoja na kuwa uapisho halamu wa tarehe 03.11.2025 uliwakilishwa na padre na siyo ASKOFU. 2. Pamoja na kuwa Padre aliyewakilisha hakutia baraka na hakumbariki Rais wala makamu wa wake(DR. NCHIMBI alikuwa FRATERI WA SEMINARI KUU YA PERAMIHO )alielewa...
  5. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kanisa katoliki nchini Tanzania huenda likajitenga na serikali

    Zipo taarifa kuwa huenda kanisa katoliki nchini likajitenga mbali na shughuli zozote za kiserikali katika taarifa nilizopewa ni kwamba kanisa hilo kupitia Bazara lake la maaskofu wako mbioni kutoa tamko rasmi kabla Damu za watanzania zilozamwagwa na CCM hazijapoa.
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwakilishi wa TEC kwenye UAPISHO wa Rais Samia akiwaombea waliofariki dunia katika maandamano

    Kanisa katoliki sio wanafiki wamenyooka hii ni leo kwenye UAPISHO wa mchongo Mwenyezi Mungu,"Tunawaombea wotewaliopoteza Maisha Yao Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu Wa 2025 Uwapokee kwako Mbinguni. Pia wale wote Walioumia au Kupoteza Mali zao wapone Haraka, Tunaomba hayo kwa Njia ya kristo...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sikutegemea Katoliki wamuombee Dua Samia kwenye kuapishwa kwake

    Imekuaje Katoliki wamekubali mwaliko wa kwenda kwenye Sherehe za kuapishwa kwa Samia Suluhu Hassan? Halafu wanamuombea Dua yenye nguvu kabisa. Imekuaje? Nnimefarijika Mumetaja mauaji yaliyotikea wakati wa Uchaguzi na mumewaombea Dua.. Yule wa Ummoja wa Wakirisyo hajui hata kama kuna watu...
  8. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Naumia sana navyoshuhudia Kanisa langu Katoliki likishambuliwa na mamlaka

    Niwe mukweli roho inaniuma na ninapata hasira sana nikiona Kanisa Katoliki likishambuliwa na mamlaka zetu. Tunaona mapadre wetu wanatekwa na kudhalilishwa. Wanalazimisha watawa kufanya mambo ya kutufedheesha waumini. Kwa nini awamu hii inatunyanyasa sisi wakatoliki kwani kila mtu lazima...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki libadili mtazamo kuhusu jinsi linavyowatendea Mapadre na Watawa

    Binafsi nimesomea Katoke Seminary kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Nikiwa mtu niliyeishi ndani ya mfumo wa Kanisa Katoliki, ninaweza kusema kwa ukweli kuwa kanisa hili limejipanga vizuri sana katika idara na utendaji wake. Hata hivyo, bado kuna changamoto kubwa katika namna...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Sala Maalumu ya kuombea Haki na Amani ya nchini Tanzania kama ilivyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)

    SALA YA KUOMBEA HAKI NA AMANI Ee Mungu tunakusifu, tunakuheshimu, tunakutukuza, tunakuabudu na kukushukuru sisi Watanzania kwa kutujalia Nchi nzuri. Tunakushukuru pia kwa zawadi ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei 2025. Tukiwa Mahujaji katika Matumaini, tunakuomba utuepushe na changamoto zinazoweza...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Maandalizi yamekamilika 100%, kuendelea Kuteka Mapdre wa KATOLIKI, kumteka Polepole ni kuzidisha Hasira za Waandamanaji Oktoba 29

    Kila siku nawaambia humu, Hawa washenzi Chochote wanachoweza kukipanga ni rahisi kukisia nini itakua mwitikio wako. Hawana intellectual Capacity ya kudeal na masuala mazuri mazito. Utendaji wao wa kazi unategemea -Nguvu -Pesa -Na kuchomeshwa kama ilivyokúa Kwa Polepole Polepole Amekua...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwagala: Padri Jordan Kibiki alikutwa Mbeya akiwa na depression

    Vincent Cosmas Mwagala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Mafinga anaongea muda huu na waandishi wa habari kuhusu sakata la kupotea kwa Padri na kuonekana tena Mbeya.
  13. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Jimbo la Dar es Salaam laandaa Warsha ya Waamini wote Oktoba 29, 2025

    Habari zilizopo mjini ni hizi kwa sasa Kanisa Katoliki latoa ufafanuzi: Kanisa Katoliki Dar: Warsha yetu haifanyiki Oktoba 29 itafanyika Novemba 29, 2025
  14. B

    JamiiForums Tanzania Haki nchini kuelekea uchaguzi mkuu, haki za wapalestina Gaza: Kanisa katoliki ni la kupigiwa mfano dhidi ya madhehebu za kilokole, waisilamu nk!

    Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi: Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza huko, unajulikana: Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani Tofauti ya wazi kabisa baina yao...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Napenda kumwandika papa Leo alifute kanisa katoliki Tanzania mana limekuwa la kisiasa zaizi limepteza focus.

    Hivi maslahi yenu yameguswa? Mbona hamuwi wawazi tukawarudishia wizi wenu. Mtu mzima tena skofu unahubiri siasa eti jk asimshauri rais ni akili kweli hiyo? Rais ni asset ya serikali ndo mana analipwa till death ili atumike kisawasawa. Mboa Pengo alistaafu lakini bado yuko mimbalini na...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

  17. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kanisa Katoliki toeni tamko ya kugomea chaguzi za kitapeli

    Tumesali novena sawa lakini ni unafiki kwenda kwenye chaguzi ambazo kwa kila namna hazina maana na tayari tume imeweka mfumo wa kura fake. ! Sasa wakatoliki twende kupiga kura fake! Toeni tamko tuache uoga na unafiki
  18. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kulitenganisha Kanisa Katoliki na nchii...Hongera Roman Catholic Mungu atajibu maombi

    Kanisa katoliki kila siku ku a sala ya kuwaombea viongozi na kwa namna ya pekee Mhe. Raisi Kanisa Katoliki bado linashirikiana na selikari katika mambo mengi ikiwemo ustawi wa amani kwa mafundisho na utoaji wa huduma mbali mbali za kijamii kama afya na elimu bila kuchoka hata pale inapotokea...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kanisa Katoliki Tanzania: Mkombozi wa Kweli wa Taifa. Leo tumefunga Novena; Tunakesha na Kuomba, kuiombea Tanzania - A Very Powerful Prayer!

    Wanabodi Mimi mwanabodi mwenzenu,pamoja na mambo mengine yote,mimi pia ni Mkristo Mkatoliki, ila Ukatoliki wangu, ni wale Wakatoliki tulioendelea endelea, kwa Lugha ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. Kwa maelekezo ya Baraza la Maaskofu Katoliki la Tanzania, TEC, Kanisa Katoliki Tanzania,na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki linakuzwa sana, Sioni wanachofanya zaidi ya kupiga kelele, Wenye nguvu wanafanya watakalo bila breki

    Kwanza kabisa nitoe shukrani kwa kanisa katoliki, limekuwa mstari wa mbele kupaza sauti lakini kwa bahati mbaya sauti hiyo masikioni mwa walengwa ni kama kelele tu, wanaendelea kufanya wanachotaka bila breki Kama ni DP World ilishapita, Kama ni uchaguzi utafanyika na CCM kwa mazingira...
Back
Top Bottom