katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtendaji Mkuu wa TANROADS: Tanzania inashika nafasi ya 9 kwa miundombinu ya barabara na madaraja kati ya nchi 54 za Afrika

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6. Aidha, Serikali kupitia TANROADS...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Apongezwe Mtu wa Yanga SC aliyetoa siri kwa Watu wa Azam TV kuwa Yanga SC inatumia Dawa za Kuongeza Nguvu katika mechi zake

    Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao. Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC)...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ni nani anapanda mbegu ya uongo, wizi, uhuni katika Uongozi na Utawala wa Tanzania?

    Tumsikilize Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam
  4. JamiiForums Tanzania Mradi wa Tsh. Bilioni 8 wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kutumika kupeleka umeme katika Visiwa 118

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza rasmi safari ya kupeleka umeme katika visiwa vyote Tanzania Bara huku ikiwahakikishia wananchi hao kuwa wote watafikiwa. Akizungumza wakati wa ziara ya Wabia wa Maendeleo walipotembelea miradi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wanaopanga ratiba ya ligi ya Tanzania hawaweki usawa katika timu

    Habari za mchana, kwa uchache wa maneno ukijaribu kufatilia kuanzi mechi ya kwanza had imefikia sasa mzunguko wa8 kwa baadhi ya timu, utaona utaona hamna mechi hata moja iliyoihusisha Simba, Yanga au Azam wakicheza majira ya sa8 mchana na ukifatilia ratiba yote haikuonyeshi mda huo kwa hizo...
  6. JamiiForums Tanzania Ikibainika Wanao hujumu miundo mbinu ya SGR wahusika katika kijiji husika basi Kifutwe!!

    Kama kichwa cha habari, Naiomba serikali na Wizara husika ikibainika miundombinu imehujumiwa basi Uongozi wakijiji ukamatwe na kijiji husika kifutwe. Hii itasaidia hujuma hili ni pendekezo langu.
  7. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA isijifiche katika uchaguzi wa Marekani, Lissu aeleza madhaifu yao

    CHADEMA ISIJIFICHE KATIKA UCHAGUZI WA MAREKANI, LISSU AELEZA MADHAIFU YAO Uchaguzi wa Marekani kwa sehemu kubwa unahusu maslahi ya Marekani. Wamarekani hawapigi kura kwa maslahi ya taifa au watu wa taifa jingine. Kuna kamjadala kaovyo kidogo kututoa katika mstari wa kujadili mambo yetu! Trump...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume nendeni katika Mtandao wa Anti Ezekiel wa Instagram muwasikie Wanawake walivyosema kuhusu Sisi kutokuwa na Pesa

    Wa Kwanza kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Sufuria iliyotoboka. Wa Pili kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Jalala Wa Tatu kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Kinyesi Kibichi Halafu kwa haya Majibu yenu / yao Wanawake ndiyo mnataka tukizikamata na Kuwahongeni...
  9. JamiiForums Tanzania Muendano wa kimawazo katika ndoa.

    Ndoa nyingi za sasa zinavunjika kwakua watu wanaoa au kuolewa na watu ambao hawaendani nao. Mnaweza nyote mkawa na dini, tabia nzuri lakini ndoa ikafa kwakukosa muendano wa kimawazo. Kuna wanaume wao ndo wanataka wawe dominate kwa 100% yaani huna Cha kumwambia, neno lake ndo katiba huyu...
  10. JamiiForums Tanzania Sadaka katika mtazamo wa kiroho

    Sadaka ni tenda la kiimani la kiroho .. Sadaka haitolewi kwenye nyumba za ibada tuu.. Hizi zenye imani juu ya Mungu moja na dini zake Sadaka pia hutolewa kwa miungu Sadaka pia hutolewa na wapagani Sadaka pia hutolewa kwenye vilinge vya mambo ya giza Sadaka pia hutolewa kwa masanamu Sadaka pia...
  11. JamiiForums Tanzania MAKINIKIA: Hekaya fupi ya kaburi la wanapendanao lililopo katika jiji kongwe la Tanga ambalo linasemwa kuwa ndiyo kitovu cha mapenzi

    #MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA KABURI LA WAPENDANAO LILILOPO KATIKA JIJI KONGWE LA TANGA AMBALO LINASEMWA KUWA NDIO KITOVU CHA MAPENZI Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey, kuna makaburi ya zamani yenye sehemu ya Kikristo na sehemu nyingine ya kijeshi ya Vita ya Kwanza ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna watu kiu yao ya vurugu inayotokana na msukumo wa itikadi zao au hamasa binafsi inafanya nikumbuke quote hii katika movie ya The Dark Knight

    Baada ya kuwa Batman ameshindwa kumuelewa The Joker kuhusiana na njia zake za vurugu pamoja na makusudio yake maana waharifu wengi makusudio yao ni kujipatia pesa ila the joker haeleweki. Ndio hapo, yule mzee ambaye ndio Guardian wa Batman tangu utoto akamwambia Batman maneno haya: "Because...
  13. JamiiForums Tanzania Mufti Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979) Mchango Wake Katika Uasisi wa TANU na Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/WdiQykUgOys?si=fcaPooTUouxWutKI
  14. M

    JamiiForums Tanzania Haya yanayoongelewa katika hili je ni kweli

    😀😀
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  17. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI KATIKA PICHA

    HII ILIKIWA MATOKEO YA MARA YA MWISHO WATANZANIA WALIVYOJARIBU KUIONDOA CCM MADARAKANI KUPITIA SANDUKU LA KURA.
  18. JamiiForums Tanzania Mwanza: Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria

    Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria Mwanza. Idadi ya abiria wanaosafiri katika Ziwa Victoria inatarajiwa kuongezeka mara mbili mwaka ujao, kutokana na miradi mikubwa ya upanuzi wa bandari na uzinduzi unaosubiriwa wa meli ya MV Mwanza...
  19. JamiiForums Tanzania Ifahamu tarehe 01 November na tarehe 02 November katika mapokeo na kumbukizi katika Kanisa Katoliki

    Karibuni kwa maada ..... Tarehe 1 Novemba, ni siku muhimu katika kalenda ya Kanisa Katoliki. Siku hii inawakumbuka watakatifu wote wa Kanisa, wale ambao walishi maisha ya mfano na sasa wanachukuliwa kuwa na uhusiano wa karibu na Mungu. Wakati huu, waumini wanajikusanya kuwakumbuka na kuwasifu...
  20. JamiiForums Tanzania Clouds Media katika mahojiano yake na Israel Mbonyi wamefanya vitu unprofessional, unethical na vitu vya kijinga na kuliabisha taifa

    Leo katika mahojiano yao na mwimbaji wa injili kutoka Rwanda Israel Mbonyi kuna mtangazaji ( Nadhani ni Sudi Brown) wakati Israel akijibu swali kuhusu kama ana mahusiano ama la (japo nalo sikuona kama ni swali la msingi) baada ya Israel kujibu kwamba hana mke ndipo Sudi akachomokea kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…