katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Mwaka mpya na mambo mapya JF: Nitawa-unblock wote niliowa-block nikitegemea nao watabadilika na kuwa waungwana katika maandiko yao JF

    Nina list ndefu. Tuanze 2025 na UUNGWANA zaidi katika kuwasilisha mada zetu na kujibu mada za wengine kiungwana bila matusi, dharau and the like. 2025 MOTTO: USICHOPENDA KUTENDEWA USIMTENDEE MWENZAKO. BY THAT PRINCIPLE, KILA MMOJA WETU AKIISHIKA, TUTAKUWA WATU WEMA THROUGHT 2025. Nawatakia...
  2. Yajue baadhi ya mambo ya Upagani yaliyoingizwa na kufuatawa katika Ukristo.

    Bila kupoteza muda... Hapa kuna baadhi ya mafundisho ya kipagani ambayo yamekuwa yakihusishwa na Ukristo kutokana na mchanganyiko wa tamaduni za kipagani na imani za Kikristo kupitia historia. Mafundisho haya mara nyingi yamechukuliwa kutoka katika dini za kipagani na kuingizwa katika taratibu...
  3. Je, kuanzishwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ina maaana Mawasiliano yameondolewa katika mambo ya Muungano?

    Kwa mwenye ufahamu kinachoendelea Zanzibar baada ya kuundwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ni nini? Mimi nijuavyo mambo ya mawasiliano ikiwemo Posta na Simu ni mambo ya Muungano. Hata sheria iliyoanzisha Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Act 12 of 2017 imetamka wazi kuwa itatumika...
  4. Hivi ni kwanini Misikiti mingi inakodisha Frame za biashara na kulaza Magari katika maeneo yao ya msikiti?

    Hivi niseme kutafuta vyanzo vya mapato katika msikiti na kwanini ni wao tu mbona Makanisa katoliki hakunaga utaratibu huu? Na wale wazee wanakuwepo pale Kkoo na bango la msaada wa ujenzi Msikiti huwa ni kweli au imani anakaa juan kuanzia asubuhi hadi jion au ni imani imemtuma?
  5. B

    Nimekutana na huu ujumbe, vijana kazi ipo

    Hivi Sasa ni mwendo wa kuwindana, kila mtu anakula timing kwa mwenzie. Ila huu ujumbe unafikirisha sana
  6. Familia Takatifu: Mtindo wa Kiroho wa Kimungu katika Janga la Kivunjiko cha Familia za Kisasa na Mfano wa Maisha ya Kimungu Katika uhalisia

    👉🏾Katika ulimwengu wa leo, ambapo familia nyingi zinapitia majaribu makubwa ya kijamii na kiuchumi, ni vigumu kuzipata familia zinazoonyesha umoja, upendo, na utakatifu wa kweli. Hata hivyo, Familia Takatifu Yesu, Maria, na Yosefu ,inaendelea kuwa kivuli cha matumaini, ikitufundisha kuwa familia...
  7. BOT wameacha Kutoa sarafu mpya Ili ziingie katika mzunguko hili linamaana gani kiuchumi?

    Wataalamu wa uchumi mkuje mutuelezee Kwa sababu gani Bank kuu wameacha Kutoa sarafu mpya Yani 50, 100 na 200 na kufanya ziadimike katika mzunguko wa biashara Ni kwamba Kuna ishu yoyote ya kiuchumi imewalazimu kufanya hivi au Kuna kigogo tu Fulani ameshiba ugali wake na maharage akasema sitaki...
  8. I

    Hivi ni kweli kuna satellite uko angani yaweza piga picha watu na kurekodi sauti katika uso wa dunia?

    Habarini wanajukwaa Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,ni kwamba nilimsikia mtu mmoja akisema,ati wazungu ni balaa maana wamepiga hatua kubwa kitekinolojia,kwamba wamefikia hatua yakutengeneza satellite inayoweza kukupiga picha,kuchukua video yako,hadi sauti yako,(lkn ni kama wakihamua...
  9. Sijawahi na sitakuja kukutana na kitu kitamu walahi kama kile katika maisha yangu yote yaliyobakia

    Wakuu inafikirisha kidogo! Naomba nitoe rai kwa mamlaka kuandaa mafunzo ya kutengeneza juisi bora kwa wajasiriamali wadogo wadogo mana mtaani huku wanautuua haki ya mungu. Leo katika pitapita zangu tandika nikaona juisi ya miwa nikajikoki ya jero. Dah! 🤔🤔 wakuu sijawhi kukutana na kitu kitamu...
  10. Faida za Marekani katika dunia yetu

    Ni kweli marekani imesababisha maafa na hasara katika angle mbalimbali za dunia na wote tunajua lakini pia kila nchi ina mazuri na mabaya yake hili hakuna wa kupinga Sasa leo tuwape maua yao hawa marekani kwa gunduzi zilizofanywa kuisaidia dunia Mimi nitaanza hapaa 1. Internet kagundua...
  11. Mkurugenzi Mkuu wa WHO 'alinusurika kifo' katika shambulio la uwanja wa ndege wa Yemen

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema yeye na wenzake "wameponea kifo chupuchupu" katika shambulio la anga la Israel kwenye uwanja wa ndege nchini Yemen. Tedros Adhanom Ghebreyesus alisimulia kuhisi "amefichuliwa kabisa" wakati wa shambulio hilo, ambalo liliua takriban watu...
  12. PreGE2025 CHADEMA ifanye mabadiliko ya katiba kumaliza mnyukano wa kugombea madaraka katika chama

    Katika nchi nyingi za demokrasia halisi uongozi wa vyama vya siasa huwa unabadilishwa punde tu baada ya matokeo ya uchaguzi, hicho ndicho kipindi kizuri cha kufanya tathmini ya uongozi kutokana na performance baada ya uchaguzi. CHADEMA kuwa inafanya mabadiliko ya uongozi mwaka mmoja kabla ya...
  13. Kaka nilikutana na huyu mwanamke akiwa amepigika nikamzoa Hadi Akawa mtu katika watu

    Kaka nilikutana na huyu mwanamke akiwa amepigika nikamzoa Hadi Akawa mtu katika watu, alikuwa anatembeza soksi na nguo za nd0ani mtaa Kwa mtaa amepauka miguu ndara zimekatika. Nilimpa Msaada nikamnunulia sendo hapo ndipo ikawa mwanzo wa kufahamiana niliona mwanga ndani yake na nilitarajia...
  14. F

    Sultan Jamsid bin Abdullah aliyepinduliwa 1964 kurejea Zanzibar Januari 9 2025: Je apewe nafasi katika uongozi? Urejeo wake ni shinikizo la Oman?

    Uchambuzi wa Mapinduzi ya Zanzibar ya Mwaka 1964 Kwanini Mapinduzi Yalitokea Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea kutokana na mchanganyiko wa sababu za kisiasa, kiuchumi, na kijamii. Wakati wa utawala wa Sultan Jamshid bin Abdullah, kulikuwa na tofauti kubwa kati ya Wazanzibari wa asili ya Kiafrika...
  15. Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii

    Wasanii wa Bongo Flava Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii Wasanii hawa wanaendelea kutengeneza maudhui machafu yanayozidi kusambaratisha maadili ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla kwa kupandikiza vishawishi vya ngono...
  16. Demokrasia katika Karne ya 21; Ni nini Tunachokitegemea, Uhalisia na Shabaha yetu ni Wapi tunataka Kufika ?

    Kinadharia Demokrasia ni Nguvu ya UMMA; ila kiuhalisia kuna utofauti mkubwa sana kutokana na ugumu katika utendaji au kwa ujanja na makusudi ya mifumo ambayo inanufaisha Status Quo Je Demokrasia tunayotegemea imebakia kwenye Kuchagua watu wa Kutuamulia mambo au Kuchagua watu wa kuwakilisha...
  17. LEO KATIKA HISTORIA

    Siku kama ya ya leo December 27 mwaka 2007 aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke nchini Pakistan Benazir Bhutto aliuwawa kwenye shambulio la kujitolea mhanga huko Rawalpindi, Pakistan alipohudhuria kwenye mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa kisiasa.
  18. A

    Je, Waujua ulimwengu ukupao kila kitu katika kanuni za asili za maumbile?

    JE, WAUJUA ULIMWENGU UKUPAO KILA KITU KATIKA KANUNI ZA ASILI ZA MAUMBILE? Apiov S. Lwiwa, PhD. UTANGULIZI Kama ulikua hutambui ni kwamba tunaishi katika Ulimwengu ambao umefungamana, wenye kuongozwa na Kanuni za kimaumbile. Kanuni hizi zinatawala kila kitu na kila mtu. Ingawa Ulimwengu huu...
  19. A

    KERO Ucheleweshaji wa pesa za refund Mbeya University of Science and Technology (MUST)

    Hii changamoto imetokea tangu mwaka 2022 ikatulazimu tuendelee kusubiri maana bado tulikuwa tunasoma , hivyo hela iliyokuwa imezidi ikawa inatumika kwa michango mingine kama direct cost na tuition fees hii haikupelekea hiyo hela iliyozidi kutokana na uongezewaji wa Ada kipindi ambacho Sisi...
  20. "Hadithi za Ushujaa: Wajibu wa Wanaharakati katika Siasa za Upinzani"

    👉🏾Katika ulimwengu wa siasa, ambapo nguvu za madaraka mara nyingi hujificha nyuma ya pazia la kusadikika na wanaharakati wanajitokeza kama nyota za mwangaza katika giza la mang’amung’amu. Wakiwa na dhamira isiyoyumbishwa, wanapambana na vikwazo vya kisiasa, kiuchumi, na kijamii, wakijitolea kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…