katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji na akapata anaweza kugombea udiwani mwaka huo huo?

    Habari wanajf, Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji katika uchaguzi wa serikali za mitaa na akapata anaweza kugombea udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huo huo?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane Vipindi na Watangazaji Bora katika TV kwa Miaka ya nyuma

  3. JamiiForums Tanzania Pembezoni mwa Mkutano wa Mpango wa Mattei kwa Afrika na ‘EU Global Gateway’ jijini Roma, Italia, Waziri Kombo akutana na Waziri wa Ulinzi Dkt Tax

    Pembezoni mwa Mkutano wa Mpango wa Mattei kwa Afrika na ‘EU Global Gateway’ jijini Roma, Italia, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi, Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Waziri wa Ulinzi wa Tanzania, Mhe. Stergomena Tax aliyekuwa kwenye ziara ya kikazi...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Wajua mkopo uliokopwa katika awamu ya sita pekee ungetosha kufanya haya

    Kwa mujibu wa report ya CAG deni la taifa Kwa miaka minne pekee ya uwepo wa Rais Samia madarakani ni zaidi ya Trilioni 30. Kwa mujibu wa maelezo ya wasemaji mbalimbali wa serikali pesa hizo zimetumika kujenga shule, hospitali, barabara na miradi mbalimbali ya maendeleo. Mpaka sasa Tanzania ina...
  5. JamiiForums Tanzania Aibu kuu kwa nchi, CCM inalipia matangazo mengi ya mitandaoni kuwachafua upinzani, nchi zingine nguvu kubwa imeelekezwa katika kuzitangaza nchi husika

    Huu upuuzi unapatikana Tanzania tu, ukiingia mitandaoni hasa Twitter, Instagram, Threads utakutana na "Ads" nyingi za CCM kuichafua CHADEMA kuliko "Ads" zinazoitangaza nchi kwa mambo mbalimbali. "Ads" za nchi zingine kama Kenya, Rwanda na South Africa zimejikita kwenye kutangaza vivutio vya...
  6. JamiiForums Tanzania Wazo la kibiashara: Wekeza 280,000 kwa mwezi katika ng’ombe wa maziwa, upate hadi 930,000!

    Hivi karibuni tulitoa andiko kwamba ukifuga ng'ombe wa maziwa mmoja tu, unaweza kupata kati ya TSh 600,000 hadi 900,000 kwa mwezi. Pia, tulieleza jinsi hii ilivyo fursa kubwa kwa watu wengi, hasa wale wanaoishi mijini. Leo hii nakuletea mchanganuo wa gharama, mapato na faida, ili uone mwenyewe...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kubwa na la makusudi kabisa katika hili.

    Wanahamasisha watu wajiandikishe katika daftari la mpiga kura. Wanahamasisha watu wapige kura. Lakini hawa hamasishi uhuru wakati wa kupiga kura na kulinda kura. Hawahamasishi uwepo wa tume huru ya uchaguzi. Hawahamasishi uhuru wa vyombo vya Habari na usawa katika kutoa taarifa. Hawa...
  8. JamiiForums Tanzania Katika hii picha umelewa nini

    Karibuni wakuu kufumbua hili fumbo zito.
  9. JamiiForums Tanzania Wajenzi makini katika kazi zetu

    Design and build Mapwepande now we are working on landscape Kupata huduma zetu +255624004650
  10. JamiiForums Tanzania Kuna hii habari imekuwa ikiwachanganya watu katika mahusiano hasa wadada kudhani ni haki yao!

    Wadada wa mjini wengi wamekuwa wakijikuta katika mivutano mikubwa ya mahusiano bila wao kujua na kubaki wakilia mjini! Unakuta binti kaingia katika mahusiano na mtu wanaamua kusogezana pika pakua wakati akienda kwa mwanaume amemkuta na kiwanja na kibanda au nyumba kabisa! lakini baada ya miezi...
  11. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Samia kuirejesha Derby ya Simba na Yanga? Atuma kikosi cha mawaziri wakatekeleze "4R", yawezekana akawa mgeni rasmi katika mchezo

    Rais Samia kupitia mawaziri wake wameingilia mtanziko kuhusu Derby, kikao kinaendelea chini ya gwiji wa reconciliation Profesa nguli wa sheria (MVP) , genius wa wakati wote wa kitivo cha sheria kutoka chuo kikuu pekee (achana na High School zilizochangamka) , UDSM, Profesa Pamagamba John Aidan...
  12. JamiiForums Tanzania Hadi sasa sijaona online outlet hapa TZ ilio bora katika uandaaji wa content na habari hadimu zaidi hawa wanaitwa "The Chanzo". Tunasubiria TV chanel.

    https://youtu.be/oOR7rZHenKg?si=3XnIsvujJ8Er5PQp
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mikusanyiko mikubwa ya WANANCHI katika ziara ya chedema ya NO REFORMS NO ELECTION inaashiria nini? Kuna kitu hawaridhiki na CCM, siyo wajinga

    Kuna kitu kinawasumbua, Kuna kitu hawaridhiki nacho watanzania ndiyo maana wanakusanyika wakiamini drive aliyo nayo Lisu and chadema as a whole can make a difference kwa hicho kinachowasumbua! Wanajua ubaya wa CCM , wanajua mapungufu ya CCM, lakini bado wana UOGA, wana uoga wa kusema wakiogopa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vitu vingi vitabadilika, Mungu anasema hivyo katika uchaguzi ujao wa 2025. Rais atatoka Upinzani

    Mungu anasema Vitu Vingi vitabadilika. Katika uchaguzi Mkuu unaokuja. Maana watu wengi wamelia kuhusu maisha yao na Hatima za watoto wao , hapa imeangaziwa hali ya maisha ya watu, kiuchumi na mambo mengine kiujumla. Raisi atashinda atatoka Upinzani watu watakubali kuongozwa nae. Kwa kuwa huu...
  15. JamiiForums Tanzania Nitajie mada yako bora kabisa hapa Jf katika Robo ya kwanza ya mwaka 2025

    Me yangu hii nimei understand sana chuma ni kutoka kwa mtibeli Robertinho.. Thread 'Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa' Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa Kwanini NIMEIPENDA?? Kwa sasa nimerudi kwenye kiini changu...
  16. JamiiForums Tanzania Uchawi katika nyumba za kupanga

    UCHAWI KATIKA NYUMBA ZA KUPANGA. Umewahi ishi kwenye nyumba yenye mauza uza ya kutisha kiasi usilale usiku. Au umewahi kaa nyumba yenye skendo za uchawi yaaani wenye nyumba au wapangaji wenzio ni washirikina Share nasi ulikutana na mambo gani ya kichawi kwenye nyumba hadi ukaamua kuhama...
  17. JamiiForums Tanzania Ilikuwakuwaje ukajikuta unaabudu katika hilo kanisa au msikiti?

    Moja KWA moja, binafsi nilijikuta KWA sababu walionilea walikuwa wanasali humo (SDA). Yaani dini ya kurithishwa. Lakini katika ukubwa na kujitambua nilikaa upya kutathmini na kuanza kukagua upya ninachokiamini nikilinganisha na imani nyingine na kuamini upya kabisa katika imani hii. MENGI...
  18. JamiiForums Tanzania Katika nyakati ambazo Iran anapaswa awe mpole na afiche kichwa chake basi ni wakati huu wa hatari, maana anapitia majaribu makubwa

    Amani kwenu wakuu Iran kashasoma nyakati yupo kama hayupo na mimi pia namwombea akae kwa kutulia hivyo hivyo, maana wale wababe wa Dunia wana mtafuta kwa nguvu nyingi sana Anapitia majaribu makali sana lakin hana budi kunyenyekea na kutulia na kuutazama msalaba Atulie hivyo hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Lissu: Tathmini ya Miaka 64 ya Uhuru: Mafanikio ya Awamu ya Sita Katika Kuimarisha Uchumi, Miundombinu na Huduma za Jamii.

    Tathmini ya Miaka 64 ya Uhuru: Mafanikio ya Awamu ya Sita Katika Kuimarisha Uchumi, Miundombinu na Huduma za Jamii.
  20. JamiiForums Tanzania Faida za Kumuoa Binti wa Kwanza Katika Familia

    Katika familia zetu za Kitanzania Binti wa kwanza hulelewa akiwa na uwajibikaji mkubwa kutokana na majukumu aliyobeba tangu utotoni. Huwa na uzoefu wa kusimamia familia, uvumilivu, na ujuzi wa kutatua changamoto. Malezi haya humjenga kuwa mke anayejali, mwenye maamuzi sahihi na mshauri mzuri kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…