Wale wanaotamani kuwekeza katika Appartments piteni hapa

Hharyson

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
2,146
Reaction score
632
2 bedrooms, sebule, jiko each unit (JENGP LINA UNITS 2)

Plot size ya 600SQM zinaingia units 5.

CALL US TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM +255624004650
3d_2 - Photo.jpg

4d_2 - Photo.jpg
4d_3 - Photo.jpg
 
Hiyo miradi mara nyingi halipi.
Ni mpaka ubahatike kumpata wapangaji wa muda mrefu. Nyumba isikose mpangaji hata kwa mwaka mmoja, ndipo gharama zako zinaweza kurudi after some years. Vinginevyo it is just another loss making fixed asset.
 
Mradi wa nyumba ya kupangisha lengo lake sio pesa yako irudi kwa kodi. Lengo ni kutunza ile capital katika utaratibu ambao haipotezi thamani.

Kwahiyo, kodi zote unazolipwa ni faida. Capital yako ipo kwenye nyumba. Hiyo kodi unaweza kuiwekeza kwenye mifuko ya mitaji au biashara nyingine.

Siku ukiitaka capital yako, uza nyumba. Nyumba inawezesha capital yako isiathirike na inflation. Vilevile mara nyingi nyumba huongezeka thamani kwa kasi kuliko inflation. Kwahiyo inakupa capital growth.

Kwahiyo, sio sahihi kusema kuwa mradi wa nyumba ni loss making. Cha muhimu ni kuzingatia hali yako ya uchumi. Kama una kipato kinachoruhusu,nyumba ni biashara nzuri. Hata hivyo, kila biashara ina changamoto zake. Kwa upande wa nyumba, kuna changamoto za kudai kodi, nyumba kuharibiwa, mpangaji kukataa kutoka etc.
 
Mimi natamani nikijenga nyumba ya kupangisha, tuseme kwa gharama ya TZS 50,000, pesa nitakazo zipata kutoka kwa wapangaji, ziwe zaidi ya hicho kiasi cha 50,000. Muda ambapo gharama zangu zimerudi na bado faida inaendelea kuja, ndipo nitachukulia hiyo biashara kuwa ni YA FAIDA.
 
Back
Top Bottom