katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Amuwakilisha Rais Samia Katika Kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu Mteule wa KKKT Dayosisi Ya Mwanga.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa,Leo hii Tarehe 13 Amemuwailisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Katika kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kutenda haki kwa Mahakama: Ni kuifumua Mahakama Kuu na mahakaka za chini na kuweka utaratibu usio mhusisha Rais kabisa katika kuwasaili/kuwaajili.

    Kwa kufanya hivyo watakuwa independent kutenda haki! AS long as wanateuliwa na Rais, basi lazima wampendelee incumbent president katika kila kitu. Tunaona wa sasa wanavyofanya katika kesi za Lisu! shida ni hawa majaji wa HIGH COURT.....Universal High Court Judges (UHICOJU).........TAKE NOTE...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hakumlaani Adam alipokula tunda la katikati katika bustani ya Eden?

    Habari wakuu. Je Kuna sababu yoyote iliyomfanya Mungu aweze kumlaani nyoka na Hawa pale katika bustani ya Edeni na kutoku mlaani Adam ikiwa wote walikosa? Ni kitu gani special Adam alikuwa nacho mpaka Mungu anaamua kuilaani ardhi kwaajili ya Adam na si laana juu ya Adamu? Mwanzo 3:17...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Katika watu 20 utakao kutana nao msoga 18 wana HIV . Kuweni makini na msoga.

    Huku si watoto,si watu wazima wengi wanaishi na VVU tena zile advanced stages (stage 3-4) Ogopa unaenda hospitali unakuta top ten diseases miongoni mwao ni HIV.
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini jamii ya Waafrika imekuwa nyuma sana katika kubuni na kujenga majengo ?

    Tangu karne za zamani civilisations nyingi zimekuwa zinajenga majengo ya kustaajabisha sana kasoro ya Waafrika weusi tu. Mpaka sasa hivi bado hali ni hiyo hiyo tu. Shida ni nini? Hembu linganisha hii mifano ya jamii nyingine na Waafrika.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Crystal palace aikosa nafasi ya kushiriki Europa ,Huku Bongo kuna mtu ana mkono katika timu 8

  7. JamiiForums Tanzania Katika MAISHA usichukulie kawaida , wenzako wanasukuma Mipira kama hii huku wewe unapewa baiskeli.

    Be smart Nigga , wenzako wanakaa katika mipira Kama hiii then wewe unapewa Baiskeli Jitambue.
  8. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu wana JF katika hili

    Naomba kuuliza hili WAKUU Mimi ni mwalimu wa sayansi masomo biology na geography, kwasasa nataka kuomba kufanya postgraduate diploma ya procurements and logistics management pale TIA, sasa kitu ambacho sielewi ni kuwa kwamfano kwenye maombi ya kazi utumishi naweza kuomba kazi ambazo vigezo ni...
  9. JamiiForums Tanzania John Mnyika: Tumetaka Jaji ajitoe kwenye kesi yetu kutokana na Historia yake katika Utumishi

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika akiizungumzia kesi Namba 8323/2025 ambayo inahusisha zuio la muda kwa Chama chake kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na oparesheni mpaka pale kesi ya msingi iliyofunguliwa itakapoanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu-Dar es Salaam. Kesi hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Nina shida ya watu wanomaofanya kazi katika Wizara inayohusika na mambo ya ajira, najitaji kuwapa wazo bora ambalo litasaidia kupunguza ajira

    Ikiwa wewe upo wizara husika naomba uje PM nikupe wazo bora . Wazo hili litawanufaisha Wasomi na ambao sio wasomi , naomba tuwasiliane haraka Njoo PM
  11. JamiiForums Tanzania Vijana muwe makini na wanaharakati wa msimu na wanasiasa maslahi mtaacha generation yenu katika hali mbaya, taifa litakufa play safe

    Salute to you all hustlers ..... Direct to the topic, Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k. Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka kwenye familia hizo kiuhalisia hawawezi kunielewa ni sawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi hawawezi...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Mkuu wa TAKUKURU - Iramba: Takrima za watiania ya kugombea katika Uchaguzi ni sawa na Rushwa

    “…Takrima za watia nia ya kugombea ni rushwa.” Haya yamesemwa na Bw. Ahmad Sungura, Mkuu wa TAKUKURU (W) Iramba wakati akijibu maswali katika semina ya elimu ya makosa ya rushwa katika uchaguzi kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani NA 1/2024 katika uwanja wa Ofisi ya CCM...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wagonjwa wengi wanadaiwa kupoteza maisha pindi wanapofanyiwa operation katika Hospitali ya Rufaa kanda ya Shinyanga

    Habari ni kwamba zipo taarifa za kuaminika kuwa hospitali ya rufaa kanda ya shinyanga iliyopo eneo la mwawaza watendaji wa hospitali hiyo wameingia kwenye kashfa kubwa za kushindwa kutoa huduma bora kwa jamii kwani malalamiko mengi ni kuwepo kwa vifo vingi vinavyotokana na operation za wagonjwa...
  14. JamiiForums Tanzania Israel yaanzisha mashambulizi katika maeneo lengwa ya Wahouthi huko Yemen

    Israel inasema imeanzisha mashambulizi kwenye bandari tatu na kiwanda cha nguvu za umeme katika maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi ya Yemen. Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz alithibitisha wanacholenga ikiwa ni pamoja na meli ya kibiashara ya Galaxy. Meli hiyo, iliyotekwa nyara na kikundi...
  15. JamiiForums Tanzania Katika utafutaji tunatarajia wenye umri mkubwa wawe na pesa nyingi na maisha mazuri

    Ni kweli! Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara Inashangaza...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Israeli ni simba dume katika kundi la Nyumbu

    Kapiga au kapigwa? Hiyo ni siri ya jeshi Lakini kitendo cha israeli kuivamia Iran na kupiga vinu vyake vya nyuklia ilikuwa ni ushindi mkubwa kwao pasipo kujali kama mashambulizi ya Iran kwa israeli yalileta madhara kiasi gani. Kauli za kejeli na za kutatanisha kutoka kwa kiongozi mkuu wa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Commercial Bank (formerly Postal Bank) kuwa na consistency/predictability katika operations/services zenu. Mnakera sana!

    1. This is very disturbing, very stupid indeed! Ni vurugu tupu...... leo kuna salary advance, pension advance, nisogeze loan etc etc kesho vimefutwa/hakuna...na ujinga kama huo mwingi. Kibaya zaidi without notice! Toeni notice kuwa mwezi huu hakuna salary/pension etc advance! ili mtu ajipange...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Hujapitia msoto wa kweli kama hujawahi kuishi nyumba ambayo unajua hawakutaki nyumbani kwao ila tu hauna namna nyingine

    Kama umeishi kwenu au ulikuwa na kwenu penye familia yenu hadi ukaondoka kwenda kuanza maisha yako shukuru sana, watu wengi sana huwa mnachukulia poa kuwa na kwenu lakini ni utajiri mkubwa sana. kuishi nje ya kwenu "YATAKA MOYO" ni bahati kwenda sehemu isiyo kwenu na ukaishi vizuri. Unakaa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, kuzaa ni hitaji la msingi katika ndoa?

    Wengi tunakimbilia kuzaa tukiamini huko mbeleni, watoto tunaowazaa watakuja kutusaidia. Hii inatokana na kutokuwepo kwa kambi za wazee katika huu ukanda wetu, inayopelekea ufikapo uzeeni kukosa mtu wa kukusaidia pale utakapohitaji msaada. Tumekuwa tukiwazaa watoto, na kuwagharamia kila kitu...
  20. JamiiForums Tanzania Mitume na manabii ni watu wa aina gani katika Uislamu?

    Kwenye ukristo na katika Uyahudi huko agano la kalii nabii alichukuliwa kama ni mtu muonaji/seer wa mambo ya yajayo mbeleni, pia katika agano la kale na Uyahudi hakuna mtume au mitume. Katika agano jipya ndio kumekuwepo na cheo cha mtume(apostle) ambapo kinahusu wale wafuasi 12 waliokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…