Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.
Chombo cha mkuu wa anga
Kamanda ni shabiki kindakindaki wa mashetani wekundu "Manchester United" toka mwaka 1940😅😅😅
Kwa ambao hamuujui "UNGO" hebu tazameni hapa
Hili dege wanaweza kupanda hadi watu 50😅😅😅
Likiwa ncha yake imeelekezwa kwenye jua katika uwanja wa gwaride huko Beijing, makombora ya Jeshi la Jamhuri ya China yalisogea polepole kupita umati wa watu waliokuwa kwenye kundi moja la lori kubwa lililofichwa
Yakiwa na Sindano yenye ncha kali mbele yake, yenye urefu wa mita 11 na uzani wa...
Naongea na wewe uliyekataa kumsamehe ndugu yako, jirani yako, mke wako, mme wako, mzazi wako nk
Hapo ulipo huenda una kinyongo naye; umejaa chuki dhidi yake, hutaki hata kumuona au kumsalimia. Yamkini unapanga pia kulipiza kisasi.
Inawezekana huyo uliyekataa kumsamehe, yumo humu humu JF na...
Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake.
Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza...
Halima Mdee nilimfahamu akiwa tayari amejiunga na CDM ni mwanamama nilimpenda sana japo hajui.
Miaka flan huko nilijiunga na chuo flan dodoma lengo nimuone Kwa ukaribu.
Kuna wakati alikuwa akinunua matunda sehemu flan Dodoma na mimi nikasogea kununua matunda wakati sikuwa na bajeti nayo...
1. Ni kwamba ccm na serikali kwa mda mrefu imekuwa na chaguzi ambazo siyo za kweli na za kihuni mbele ya jamii na ndiyo maana viongozi wao hata kwa macho yao walikuwa na kiburi cha kuwasikiliza wananchi.
2. Imeonekana wazi kabisa kama haramu hii itaendelea tujiandae watanzania kuwa na kizazi...
1: RAIS
2: WAZIRI MKUU
3: WAZIRI WA HABARI/MAWASILIANO
4: SPEAKER WA BUNGE
5: WAZIRI WA UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO
6: MKUU WA T.I.S.S
7: IGP
8: WAZIRI WA FEDHA
9: MSHAURI WA RAIS
10: WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII
HALI HIYO IMEPELEKEA BAADHI YA WALIMU KUKOSA FEDHA ZA KUJIKIMU NA KUPELEKEA KULALA MADARASANI KUTOKANA NA KUKOSA FEDHA ZA KODI.
PIA WALIMU WENGI TUNANAISHI MBALI NA FAMILIA ZETU KWANI TULIKOSA FEDHA ZA KUSAFIRISHA FAMILIA NA MIZIGO YETU.
Anonymous
Thread
fedha
jana
kagera
katika
mkoani
mpaka
muda
mwaka
mwezi
ngara
walimu
wilaya
wilaya ya ngara
zaidi ya
Vyama hivi vinavyotumika kama stepping stone ya career za watu, kufanyiana unafiki wao kwa wao, loyalty chalii.., kurubunika, etc
Upande wangu, i dont think so.
ajabu
anaamini
bado
katika
kupinga
mageuzi
majirani
masikini
mganga
mtu
njiani
nyingi
siasa
taifa
topics
ukristo
upinzani
utajiri
vyama
vyama vya siasa
Mambo yanayoendelea nchini kila mmoja anajua, watu wanatekwa, kuumizwa, na kuuwawa lakini viongozi wetu wa kiislam mpo kimya na wengine mmekuwa watetezi juu ya mambo ya haya. Kimsingi mimi ni Muislam lakini kwenye kusimama upande wa haki nawapa kongole viongozi wa madhehebu ya kikristo. Mnafanya...
Hao watu wamejipanga siku nyingi kuandaa media mbalimbali endapo tu wanapoguswa maslahi yao hushambulia watu kwa kuwapa kashifa mbalimbali.
Kwa sasa media hii iliyopo huko x zamani tweeter kazi yake kubwa ni kusifia serikali na yeyote anayeonekana yupo kinyume na serikali hushambuliwa kwa matusi...
Huu ni wito tu ili tusije kuparurana huko mbele, habari za Samia kajenga nyumba za Walimu, Samia katoa pesa za ujenzi wa barabara zinapaswa kuwa wazi kulingana na vipato vyao. Ni hayo tu
Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.
Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.
Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya...
Kuna mambo mawili hapa ya kuthibitisha kuwa mtume hakuwahi kuwa katika mahusiano:
#1. Paulo alisema wazi kabisa kuwa alikuwa mseja (1Kor. 7:7-8).
Aliandika mafundisho mengi kuhusu ndoa mara nyingi sana - lakini kamwe hakuwahi kuandika kuhusu yeye mwenyewe kuwa katika ndoa.
Katika...
Wakuu -Je kutokana na ujio wa AI unaitumiaje katika kukuongezea kipato ?
Binafsi naitumia kuandika kitabu ambacho kitaelezea MAISHA yangu binafsi na inspiration kadhaa kuhusu MAISHA.
Hizi nchi za Afrika Mashariki ziache kulazimisha ubingwa kwa njia za panya.
Katika mechi ya Uganda vs South Africa, goli la kwanza la Uganda lilikuwa clear offside. Inakuwaje mshika kibendera hadi wasaidizi wa VAR waliruhusu lile goli? Katika zama hizi za VAR, kukubali goli kama lile ni...
Hili ni bomba la maji lililosahaulika kutoka enzi za Zakhiem wakati wa ujenzi wa barabara. Liko maeneo ya Mkolani Nida.
Limekuwa kero maana maji yanatiririka muda wote na kutuama kama bwawa.Inasemekana mamlaka inataarifa na hili lakini haijachukua hatua ya kulifunga bomba hilo labda kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.