katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Katika wote waliooa watoto wa maraisi, ipi imekuvutia zaidi?

    Kwa upande wangu ilionivutia zaidi kuliko hata hii ya kijana wa kisukuma,msomi,Mtu mashuhuri Isaya yunge kumuoa mtoto wa Ruto, Ilionivutia zaidi ni ile ya Mwamba wa kimasai kumuoa mtoto wa raisi mwinyi. Na ambayo Haina mvuto hata kwa muonekano wao ni wale __ na __ (sijataja mtu), msije...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wawekezaji wote Katika soka hawaongei Sana kama Mo Dewij kanjibhai ?

    Kuanzia bakharesa, Azim Dewij , Yusuph Manji, Ghalib Mohammed na hata ukienda ulaya na duniani kote matajiri wote wawekezaji Katika soka wanapenda kubaki kama mashujaa nyuma ya camera, na sio kubwabwaja bwabwaja hovyo na kutafuta justification na public sympathy kama huyu muhindi mzaramo. Au...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali imetenga Sh. Bilioni 1.2 kujenga daraja la kisasa la chuma (Mita 30) katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya - Kilosa

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa wameelezwa kuwa watanufaika na Shilingi Bilioni 1.2 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa ajili ya ujenzi wa daraja la kisasa la chuma lenye urefu wa Mita 30 katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya, mradi...
  6. JamiiForums Tanzania Sababu za Marekani kukosa ushawishi dhidi ya China katika ushirikiano wa miundombinu na Afrika

    China na Angola hivi karibuni zimesaini makubaliano kuhusu mradi wa ujenzi wa bandari mpya huko Barra do Dande wenye thamani ya dola milioni 900 za Kimarekani. Angola ni moja ya nchi muhimu zaidi ambayo Marekani na China zinashindania ushawishi barani Afrika. Marekani imewekeza sana katika njia...
  7. JamiiForums Tanzania Falsafa ya 'Mvuli wa Giza': Jinsi ya Kuishi Kijasusi Katika Ulimwengu Unaoabudu Kelele

    Wana-JamiiForums,Tunaishi kwenye kizazi cha "Angalia nini ninafanya." Kila mtu anataka kuonekana. Watu wanapost mafanikio, safari, hadi migogoro ya kifamilia. Lakini leo nataka tuongelee Usiri wa Kiwango cha Juu (Strategic Secrecy)—sio kama tabia tu, bali kama silaha ya kiakili na kiulinzi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ardhi na Gharama yake katika Mikoa na Wilaya

    Naomba tushare gharama za maeneo kulingana na
  9. JamiiForums Tanzania Wazungu wakiendelea kukaza hivi hivi hadi mwisho inaweza kutuchukua muda gani kuingia katika total economic crisis?

    Economists, Planners, Financial analysts, Insiders, Strategists, JFers, Karibuni.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kipi katika hivi unaamini visingekuwepo, tungeishi kwa afadhali kuzidi sasa

    Ujambazi / wizi wa mabavu - Kupora watu mali zao kwa mabavu Tamaa na ubinafsi, Uzinzi yakiwemo madhara yake kama kuathiri uchumi na magonjwam Matatizo ya ndoa - Kuchepuka, kukosekana amani, ndoa kuvunjika, n.k. Unafki - Kuvaa kinyago cha kuficha nia za kweli mtu awapo mbele ya mwenzie...
  11. JamiiForums Tanzania Katika sehemu wanaoongoza kwa ku judge ni mikoani sio kwa Dar.

    Hii nafasi ya ku judge mikoani inaongoza sana.Ndio maana ngumu kutoboa au kufanikiwa kwa asilimia fulani. Mikoani mtu anaweza kujionesha yeye ni nafasi gani,wewe utakuwa hivi au wakupangie hivi. Ndio maana asilimia kubwa ya watumishi wa mikoani wamechoka sana. Kwa wananchi wa mikoani hapo...
  12. JamiiForums Tanzania Ni nani ana majeraha mabaya zaidi mpaka sasa miongoni mwa team zinazopambana katika vita vya ufisadi ndani ya CHADEMA?

    Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Mtu yako katika Uhaminifu

    Leo nilipata nilipata nafasi ya kutafakari habari kutoka Njombe kutoka katika mitandao ya kijamii Mkuu wa Mkoa wa Njombe katika ujumbe ambao alikuwa anatoa alilielezea kisa cha kijana mmoja ambaye alipewa kazi ya kukusanya maparachichi kutoka kqa wakulima na mfanyabiashara wakiasia...
  14. JamiiForums Tanzania Mzee Said, unaforce kutengeneza tatizo ambao halipo. Tz ilijijenga katika misingi ya kuheshimiana dini zetu. Wewe ni udini ndio unakusumbua.

    Mohamed Said Unatamani sana nchi hii ingekuwa chini ya caliphate, sasa kwa kuwa misingi ya dini katika siasa iliminywa na sera za nyeerere ili isipelekee taifa kugawanyika kidini na kugeuka kuwa lebanon sasa inapelekea kukuumiza sana kwa kudanganya watu kuwa TANU na nyerere waliua historia na...
  15. JamiiForums Tanzania Simba waliokula watu katika bonde la Rufiji

    Miaka ya nyuma wakati wa ukoloni bonde la mto Rufiji lilijaa sana wanyama. Pengine nchi hii hakukuwa na sehemu yenye wanyama wengi kama bonde la Rufiji. Simba walikuwa wengi na waliua sana wenyeji. Wenyeji nao wakawa mafundi sana wa kuwinda na kuua simba. Hata kuna kipindi watu wa huko Singida...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Angola, aambatana na Mama Maria Nyerere kuzindua hospitali ya Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage...
  17. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni zarejea baada ya kusitishwa kwa takribani mwaka mmoja

    Natumia nafasi hii kutoa mrejesho wa hoja iliyowasilishwa jukwaani kuhusu kero zilizokuwa zikijitokeza kufuatia kusitishwa kwa huduma za vyoo katika Kituo cha Mwendokasi Kivukoni. Baada ya zoezi la ukarabati, nimebaini kuwa huduma zimerejea katika hali nzuri. Miundombinu imekarabatiwa, na kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Uhifadhi wa mazingira wapewa kipaumbele katika mradi wa bomba la mafuta la EACOP

    Mshauri wa Masuala ya Mazingira katika Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)Ester Ibrahim Shemdoe, amesema mradi huo umeweka kipaumbele katika ulinzi na uhifadhi wa mazingira kwa kuzingatia sheria na viwango vya kitaifa na kimataifa vya mazingira. Akizungumza kuhusu...
  19. JamiiForums Tanzania Je, iran akimshambulia ukraine, umoja wa ulaya utaingia katika hii vita?

    Baada ya Ukraine kushambulia meli za Iran zilizokuwa zinaelekea Urusi, IRGC imeapa kushambulia bandari za Ukraine. Kumbuka Ukraine inasaidiwa pakubwa na umoja wa Ulaya kujihami dhidi ya Urusi. Will EU just watch?
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu utekelezaji wa Mfumo wa ufundishaji katika chuo cha DIT

    Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu hali ya ufundishaji katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), ambayo kwa maoni yangu imekuwa ikiwakwamisha wanafunzi wengi kupata ujuzi unaostahili. Kumekuwa na matukio ambapo baadhi ya walimu hawafundishi ipasavyo kwa kipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…