katika

Kathikas (Greek: Κάθηκας) is one of the Laona villages in the Paphos District of Cyprus. It is situated on a plateau 23 kilometers north of Paphos. It has an altitude of 655m and a population of 333.
It is well known for its grape production, such as xynisteri grapes.
It also has a flourishing agrotourism industry.
Kathikas has a very active Residents Association Additionally, Kathikas has residences that are over a century old and serve as examples of folkloric architecture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usishindane na watu katika maisha bali shindana na wewe wa jana

    Nimeamua kuandika uzi huu kutokana na yale ambayo yananisikitisha sana nionayo katika jamii yetu Huwa tunapenda kushindana na watu katika maisha yetu bila kujua kwamba mwisho wa siku tunajiumiza wenyewe na kuathirika sisi wenyewe. Katu hata siku moja wanadamu hatuwezi kuwa sawa,ridhika na...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanamke wa kwanza kuwania Urais Zanzibar ni katika Uchaguzi wa 2025

    Laila Rajab Khamis Katika historia ndefu ya siasa za Zanzibar, jina la Laila Rajab Khamis sasa limeandikwa kwa herufi kubwa si kwa sababu ya nafasi aliyopewa, bali kwa nafasi aliyoamua kuichukua mwenyewe. Mwaka 2025, Laila amekuwa mgombea pekee wa urais mwanamke visiwani Zanzibar, na wa kwanza...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa usambazaji maji uliojengwa na China wanufaisha maisha katika mji mkuu wa Angola

    Katika eneo la ujenzi wa Mradi wa Usambazaji Maji wa Quilonga unaotekelezwa na Shirika la Ujenzi wa Nishati la China (PowerChina) mashariki mwa Luanda, mji mkuu wa Angola, wafanyakazi wanashughulika na kazi zao kwa utaratibu mzuri. Figueira Kalunga, fundi wa usimamizi wa usalama, anazunguka...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili POLEPOLE umechemsha! Ulijiaminishaje kuwa nchini na kutamka haki dhidi ya wenye madaraka? Na hali ya kisiasa tuliyonayo

    Ulishauriwa vibaya kuwa hapa na kusema uliyoyasema. Aliyekushauri alikupoteza sana. Wewe ni Sterling na Sterling hapashwi kufa! Nakuombea "uponyaji" wa Mungu maana kuna mashaka makubwa na uhai wako!
  5. JamiiForums Tanzania Pombe ni kinga ya ukweli katika asili.

    POMBE NI KINGA YA UKWELI KATIKA ASILI. Kuna maneno mazito sana katika ulimwengu wa kale: wakati babu zetu walipo tumia kinga ya ulevi kusema Ukweli. Walijua wazi kuwa “Ukweli ni mchungu na huumiza, lakini Uongo ni mtamu lakini Huua.” karibu katika meza ya Mkushi Dr. DOGOLI KINYAMKELA ☠️💀...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mdau kwa kutumia ujuzi ulionao bainisha dosari zinazoonekana katika video hii

    Wakuu, Kumekuwa na hiki kipande cha video huku ikielezwa kuwa hakuna kinachowashinda Bodaboda kubeba. Kwa kutumia ujuzi wako wa kubaini iwapo maudhui ni halisi au lah! Tuambie dosari zinazoonekana katika video hii
  7. JamiiForums Tanzania Watawala bora wa kijeshi katika Afrika waliobadilisha mataifa yao kutoka utawala mbovu mpaka utawala bora

    Hawa ni viongozi wa kijeshi Africa waliotwaa madaraka kutoka tawala za kiraia zilizoharibika na kujaa udhalimu kisha kuyaweka mataifa yao katika mkondo sahihi wa mageuzi, haki na utawala bora. 1. Jerry Rawlings- Ghana 2. Olusegun Obasanjo- Nigeria 3. Thomas Sankara- Burkinafaso 4. Meles...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiachilia Mbali Kutisha tisha, JWTZ haliwezi kamwe kugeuza Bunduki zake dhidi ya Raia ! Tujitokeze wengi sana katika Maandamano!!

    Gen Z na Watanzania wote ,hili nawahakikishia 100% hakuna Jeshi la Ulinzi liwezalo FYATUA RISASI zake dhidi ya Wananchi !!. Infact wanachokifanya ni kututisha, Kwani ni mara ngapi wakati wa Uchaguzi, Ma Vifaru yao huzagaa zagaa Barabarani ?. Mbinu wanayotumia CCM ni kuzijaza Barabara na...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri wangu Kwa CHADEMA na Taasisi za KIDINI na Gen Z katika Kufanikisha Maandamano yanafanikiwa na kuwaondoa Hawa Madhalimu !!.

    Ni wazi safari imeanza Rasimi, Ndugu zangu Watanzania hii ndio nafasi pekee tuliyonayo ya kuwaondoa Hawa wahuni !!. Wee Kijana Usiyekua na Ajira Wee mwenye Ajira lkn mishahara haiendan na hali ya Maisha. Wee unayehangaika na Usafiri Dar huku Abdul, Kijana wa Angela , Kijana wa DGIS, Vijana wa...
  10. 4

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unaenda vipi kwenye Uchaguzi nchi ikiwa katika alert kubwa namna hii?

    Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia. Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele. Leo wenda vijana wetu katika...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Sekta binafsi inapaswa kuwekeza katika Takwimu

    Takwimu zipo katika kiini cha maendeleo, zikichochea maamuzi na uwekezaji unaosaidia kupunguza umasikini na kujenga mustakabali endelevu. Hata hivyo, mifumo mingi ya kitaifa ya takwimu katika nchi za kipato cha chini na kipato cha kati haina rasilimali za kutosha na haijajiandaa kutoa takwimu...
  12. JamiiForums Tanzania Marehemu Justice Rugaibula , ambaye Nyumba yake ipo katika mgogoro ndo huyu huyu alikuwa akiimbwa katika band za wakomani?

    Hili sakata linaoendelea muda huu . Kuhusu Justice Rugaibula , ndo huyu muhaya pendeshee ambaye amekuwa akiimbwa na wakongomani katika nyimbo zao. If yes , basi hili jambo linatafakarisha Sana.
  13. D

    JamiiForums Tanzania RC kumtembelea aliyedhalilishwa kwa kufukuzwa katika nyumba ni dhihaka mbele ya umma

    Nchi yetu inaongozwa kwa sheria na taratibu! Watu wanakuwa wamefuata taratibu zote na kunyimwa haki katika serikali ile ile inayotoa pole! Huwezi kwenda kutoa pole kwa matokeo yaliyochangiwa na uovu wa kiutendaji. Ile siyo ajali bali ni jambo la makusudi kabisa lisilo na utu ndani yake...
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu zaidi ya maswala katika uendeshaji biashara chini ya kampuni

    Habari wanazengo, Nimekua na shauku sana la kusajili biashara yangu ya hardware itambulike rasmi kama kampuni, sasa katika kufuatilia nimekutana na vitisho vingi kutoka kwa watu mpaka inapelekea niwe na utulivu ili nipate elimu kwanza kabla ya kuingia moja kwa moja kwenye kusajili kampuni...
  15. JamiiForums Tanzania Msikilize Mchungaji Mwanamapinduzi akiongea Katika Space ya MariaT huko mjini X INASIKITISHA.

    Masikilize
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Je convoy ya Rais katika kampeni zake ina sanifu maisha ya mpiga kura?

    Wana jamvi Jana nimeona convoy ya mgombea urais tiketi ya CCM aisee ni kufuru tupu zaidi ya matoyota 500.Wakati wakazi kimara wanataabika na mwendo kasi kama wanyama .Hata mazao kama mihogo uwa ina pangwa vizuri kwenye gari..Ni Aibu
  17. JamiiForums Tanzania Samia aendeleza sifa katika msafara yake

    GT Ona maajabu ya Tanzagiza endeleeleni kulala.. NRNE
  18. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wameshtushwa sana na kuzorota kwa hali katika jimbo la al-Fasher la Sudan

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mara moja kwa mapigano katika jimbo la Darfur nchini Sudan baada ya shambulio baya la ndege isiyo na rubani siku ya Ijumaa kuwauwa waumini zaidi ya 70 huko El-Fasher, na kueleza hofu kubwa kuhusu hali inayozidi kuzorota. "Mapigano lazima...
  19. JamiiForums Tanzania Life lessons: Kwa muda uliokuwepo hapa duniani umejifunza nini Katika mapito yako!?

    Iwe mahusiano, uchumi utawala, sayansi na teknolojia nk. Funzo bora katika maisha ni lile linalokupata ukahangaika nalo mwisho wa siku ukavuka "tunajifunza Kutokana na makosa etc." sasa je wewe umepata funzo gani hapa duniani? Tizama hii video na karibu utushirikishe kwa chochote kile
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kweli hakuna trace yoyote kihistoria au katika vitabu vya dini kuonesha sisi watu weusi labda tuna laana fulani maana tunapigika vilivyo

    Hii tabu, mateso, jasho na damu kwa sisi watu weusi sio vya kawaida , nawaambia wakuu sio kawaida. Kila kitu cha hadhi ya duni lazima namba moja iwe afrika, upumbavu, ujinga, kuoneana, magonjwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…